Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

Manji, Gwajima ni raia wa nchi hii, kama kwa dhati tunaheshimu katiba, hatupaswi kuwaonea!
Ilikuwa ni rahisi tu, kuwaambia leo hatutawasikiliza njooni kesho basi na mambo yakesha, sasa kuwatunishia misuli yafaa nini?
dunia ishakuwa na wababe kina Nebukadneza, Farao, Hiter, Saddam, Ghadafi, Leo wako wapi?

Na hao watenda mema wa enzi za akina Farao, Hitler, Saddam wako wapi?

Kudharau mamlaka ndio matikeo yake hayo
 
lakini kwa kwenda mapema zaidi hawajavunja sheria yoyote ya nchi
na hukumu ya kujipeleka polisi kabla ya siku waliyoitwa siyo kuwekwa ndani!
Kumbuka tangazo la Makonda liliwaogopesha, na kisaikolojia kusubiri siku mbili ili ukajue hatma yako ni jambo gumu, kwa maana unatamani uende hata saa hiyohiyo ujue hatma yako!. So mimi nawaelewa Gwajima na Manji, it is just an adrenaline rush ya kuface tatizo!!

sio walihisi kama wanafunguliwa mashtaka wapate dhamana siku ya ijumaa?

walijua wakienda ijuma hawatoki mpaka jumatatu

Manji na makampauni 23 na kuongoza Yanga hawezi kuvumilia?
 
Nimesikiliza hotuba ya Magufuli .... haki ya mama jamaa yuko serious. Hana mzaha
Gwajima na mkwara arudi aone km atazimia tena...! Wamemstahi anajifanya mjanja alitakiwa atoke kesho.
 
Nlidhan mna akili kumbw mtoa post na baadh ya wachangiaj wte vlaza na nahic ni wadada maana wadada ndio wambea na wanafki kutwa kukaa vibarazan kumjadili mtu alokupta ki maendeleo...mnahis mtatajirika kwa kumchukia tajir au kumfilisi....fanyen mamb ya kiume
 
Ujuaji na ujuha usio na mpango umewakosti mch Gwajima na tajiri wetu Bwans Manji.

Baada ya kuwa wametajwa kwenye list ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya na kumjia juu mh. Makonda kwa kitendo chake cha kuwataja watuhumiwa hao jambo ambalo limezua mjadala mpana nchini.

Binafsi baada ya hawa watu kuwa wametajwa na wakaja juu kwa kudai hawakutendewa haki na mh. Makonda kuwa amefanya kosa kuwataja hadharani huku akiwa hana uthibitisho nao walirudia makosa yale yale kwenda polisi kwa shari siku moja kabla ya tarehe ya kulipoti binafsi siku hiyo nilisema kwenye baadhi ya comments zangu nikiwaomba polisi kwanza wawatie ndani na kama polis walinisikia wakatiwa nguvuni.

Leo katika kujipata na kutoa lugha za ajabu utadhani siyo mtumishi wa Mungu nimemsikia mch. Gwajima akiapa kesho kurudi polisi eti akawatetee wale waliobaki wakishikiriwa akiwemo MANJI sasa kwa taarifa ya jioni mwenziwe manji kazimia naye naomba kesho ajipeleke tuone kama atarudi hapo ufufuo na uzima.

Upuuzi wa hali ya juu ni juu ya watu wanaotumia chuki binafsi kumuandama mh. Mkonda kwa chuki binafsi naomba Mungu amrehe na laana na mapepo aliyotumiwa na mch. Gwajima yamuepuke na kumwingia aliyemwombea adui yake mabaya.

Mwisho ninachoona kwa watanzania mnachezeshwa ngoma msiyo ijua, bunge kumshupalia makonda msione kitu cha ajabu kisa na mkasa ametaja majina ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya ni upuuzi mtupu. Tuhuma za ufisadi dhidi ya makonda zilingoja aanzishe hii vita ndiyo ziibuke? Ashukriwe mh. Rais wangu kwa kuonesha uzalendo na kuunga mkono vita hii bunge lisikutishe ni kama mwananchi wa kawaida nategemea kuona bunge likipambana na uhalifu siyo kusaport ujinga km wanavyofanya kwa kisingizio cha heshima ya bunge.

Mh. Mbowe asipo ripoti polis kama tia ndani tena ijumaa jioni tutamtoa jumatatu mahakamani.

ViVa Magufuri ViVa Makonda....! Go!Go! Go! No turning back.

Hapo penye nyekundu: Nimekuelewa mkuu-mbona kama umejaa chuki na kuwaombea watanzania wengine yawakute mabaya kisa wamemzodoa umpendae. Naona umefurahi kuugua kwa Manji na unaomba Gwajima "asirudi" huko kanisani kwake, na kama haitoshi unapendekeza Mbowe alie weekend sero. Tubakize maneno tutafakari kwa mapana zaidi jinsi ya kupigana vita hii na siyo "kuumizana" bila sababu za msingi. Kumbuka "the road to hell is paved with good intentions"
 
Ama raia wanaopambana na dola mbele ya mipaka ya kuzitetea haki zao au watawala wanaoitumia dola kupambana na raia wote wanakosa hekima!
 
Wewe utakuwa Makonda mwenyewe a.k.a marinda kwa mujibu wa Sugu, umejitoa fahamu kabsa umesahau kuwa uliwatukana wabunge kuwa wanasinzia na wengine ni wachekeshaji, Wewe mwenyewe ulala Gheto na masogange muuza unga mkubwa na wafadhili wako GSM wamekujengea nyumba na Magari wamekununulia, wewe si msafi alafu unajidai kuwanyooshea vidole wengine, Ujinga gani wanasapoti wananchi? Mbinu ya kutajana majina kwenye TV huwakimbiza wahalifu, hapo mjinga ni nani? Yule aliyewakimbiza wauza unga au wananchi?
 
Hapo penye nyekundu: Nimekuelewa mkuu-mbona kama umejaa chuki na kuwaombea watanzania wengine yawakute mabaya kisa wamemzodoa umpendae. Naona umefurahi kuugua kwa Manji na unaomba Gwajima "asirudi" huko kanisani kwake, na kama haitoshi unapendekeza Mbowe alie weekend sero. Tubakize maneno tutafakari kwa mapana zaidi jinsi ya kupigana vita hii na siyo "kuumizana" bila sababu za msingi. Kumbuka "the road to hell is paved with good intentions"
Hapo ndipo Utagundua kuwa kupigana vita ya Unga mbele ya watanzania inakuwa kazi ngumu sana Watu wengi wamejawa na Chuki na wivu wa kutisha, wengi watafungwa kwa kupakaziwa uongo hii ni hatari kubwa na hata wale ambao watapona kufungwa watakuwa wameingia gharama kupangua vifungo na kuepuka kwenda jela, Zoezi la Makonda limekaa kijinga jinga ndiyo maana wabaya wanatumia fursa hii kuwapakazia wenzao wapate rushwa na kuwakomoa pia.
 
Manji, Gwajima ni raia wa nchi hii, kama kwa dhati tunaheshimu katiba, hatupaswi kuwaonea!
Ilikuwa ni rahisi tu, kuwaambia leo hatutawasikiliza njooni kesho basi na mambo yakesha, sasa kuwatunishia misuli yafaa nini?
dunia ishakuwa na wababe kina Nebukadneza, Farao, Hiter, Saddam, Ghadafi, Leo wako wapi?
Ukiambiwa uripori polisi ukawahi mapema kuripoti inakuwa ni jambo jema zaidi, cha ajabu wale ambao wamewahi kwenda kuripoti sasa wanakomolewa na huenda wakawekewa Dawa huko makwao na hata vipimo vitachakachuliwa kutoa matokeo feki ili kumpa Ushindi Makonda na watu kuhukumiwa kwa Uonevu mkubwa, wewe Makonda mungu anakuona safari utakonda sana.
 
Kuchekelea Manji na Gwajima kudhalilishwa kaa sababu tu wanaonekana wajeuri ni ujinga uliopitiliza.
Hakuna sehemu kuwa mjeuri au kujivuna ni kosa kwenye katiba yetu.
Huwezi dhalilisha watu on public media halafu utegemee wakae kimya kwa kuwa wewe ni kiongozi. Hiyo si sawa, si busara. Wafanyakazi wa serikali wamezoea kutukanwa,kuitwa wezi, kudhalilishwa kwa makosa ambayo hawajayafanya wanakaa kimya kwa sababu hawana cha kufanya. Wana familia zao zinazotegemea kazi hizo. Manyanyaso yanavumiliwa. Manji hapewi hela ya kula serikalini, gwajima pia hivyo hawawezi kuwa na uvumilivu wa wafanyakazi wa serikali ambao ajira ikikata wanaishia kudhalilika mjini.

Dhambi ya ubaguzi mbaya sana, tusimbague manji kwa sababu ana rangi tofauti na watanzania wengi,tusimbague gwajima kwa sababu dhehebu lake dogo. Kila mtanz aka anatakiwa ajisikie faraja kuwa mtanzania.

Manyanyaso waliyopewa Manji na Gwajima, yamezoeleka kwa immigrants wakiwa nchi za watu. Sio kwa mtanzania ndani ya nchi yake.

Tofauti kati ya binadamu na mnyama ni utu. Tukikosa utu tunaanza kwa wanyama. Hakuna haja ya kufika huko kisa upigiwe makofi ya kinafki.
 
Ukiambiwa uripori polisi ukawahi mapema kuripoti inakuwa ni jambo jema zaidi, cha ajabu wale ambao wamewahi kwenda kuripoti sasa wanakomolewa na huenda wakawekewa Dawa huko makwao na hata vipimo vitachakachuliwa kutoa matokeo feki ili kumpa Ushindi Makonda na watu kuhukumiwa kwa Uonevu mkubwa, wewe Makonda mungu anakuona safari utakonda sana.

Ukishakuwa na inferiority complex vitukpmvyote duniani hutavimaliza kujionesha wewe ni mighty.
Hata Jammeh alikuwa anafokea na kutukana watu.,mwisho wa siku kakimbia nchi kama panya buku.,hizi power za muda zisilevye watu.
 
Power is the ability to make someone do something which otherwise he wouldn't do.

With great power comes great responsibility; ata wewe ungekuwa IGP kibarua chako kinasifiwa kwa kufanya anayotaka bosi wako na sio sheria za nchi utaweza kweli kuchukua risks za kumuudhi bwana mkubwa.

Hizi ndio sababu wengine tunaona nguvu za raisi lazima zipunguzwe or else people rights will be violated at whim.
 
Manji, Gwajima ni raia wa nchi hii, kama kwa dhati tunaheshimu katiba, hatupaswi kuwaonea!
Ilikuwa ni rahisi tu, kuwaambia leo hatutawasikiliza njooni kesho basi na mambo yakesha, sasa kuwatunishia misuli yafaa nini?
dunia ishakuwa na wababe kina Nebukadneza, Farao, Hiter, Saddam, Ghadafi, Leo wako wapi?
Ok If it was so simple, ile misafara iliyowasindikiza inaashria nini?
 
Back
Top Bottom