FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Kutoka kwenye vyanzo vyangu vya habali
= habari
Kutoka kwenye vyanzo vyangu vya habali
Unataka kusema sasa basi tena kaisha kawa maskini kama wewe?? . Hata iwe vipi haitatokea manji akawa kama wewe.Jamaa alikua anajifanya mbabe sana namba inasomeka kisawa sawa
Umesikia alichosema leo bishop Gwajima kuhusu Manji?Leo huyu mwenyeketi wetu wa kilabu ya kimataifa kilabu yenye wachezaji nguri na hodari kama msuva yanga sport klub anafikisha siku ya tano lupango akinyea ndoo hii inasikitisha sana kwakweli
Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hatari kwanza siku tu ya kwanza anatajwa kwenye ile karatasi ya dogo aliyoitoa mfukon jion yake aliitisha wandishi wa habari na kutoa lugha ya matusi ile mbaya hakuishia hapo kesho yake aliibuka kituo cha polis kwa mbwembwe zile zile akiwa na mawakili nane na gari moja kali kinoma nyeus
Huyu jamaa jion yake alipandishwa gari moja nyeus akapelekwa kuzungushwa mjin inasemekana alipelekwa kupimwa kwa mkemia mkuu alikutwa ni mtumiaji mkubwa sana wa madawa.
Ulichokiandika hapa je unahakika nacho? Wapi umepata taarifa hiyo?Leo huyu mwenyeketi wetu wa kilabu ya kimataifa kilabu yenye wachezaji nguri na hodari kama msuva yanga sport klub anafikisha siku ya tano lupango akinyea ndoo hii inasikitisha sana kwakweli
Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hatari kwanza siku tu ya kwanza anatajwa kwenye ile karatasi ya dogo aliyoitoa mfukon jion yake aliitisha wandishi wa habari na kutoa lugha ya matusi ile mbaya hakuishia hapo kesho yake aliibuka kituo cha polis kwa mbwembwe zile zile akiwa na mawakili nane na gari moja kali kinoma nyeus
Huyu jamaa jion yake alipandishwa gari moja nyeus akapelekwa kuzungushwa mjin inasemekana alipelekwa kupimwa kwa mkemia mkuu alikutwa ni mtumiaji mkubwa sana wa madawa.
Wewe nawe kaa mbali na mimi mi siyo saiz yako
Kifimbo cheza bado hajapita huku.Kutoka kwenye vyanzo vyangu vya habali
Njoo tena badae nakusubili
Huwezi kuongea hivi kama marinda yametimia idadi.....manji hakujua kama kuwja kupimwa ,ange delay then akanywa anti toxic kipimo kitasoma negative anadhani mbowe mjinga,yupo anasafisha damu
Ndio hivyo .,marinda yakitanduliwa huwezi reason hata kidogo....Mtumiaji wa madawa ni Mbow
Mungu anakuona......Shule niliyo soma hakuna hata ndugu yako mmoja mwenye uwezo wa kupeleka mtoto wake pale
Ohoooo!!kumbe umepita.= habari
Spot on brother. Hivi ndivyo watanzania wengi maskini na wenye mentality ya kimaskini (wakiongozwa na rais) wanavyofikiri. Wanafurahia matajiri wakipata suluba, utadhani suluba hizo zitawaondolea umaskini wao!! Kwa ujumla haya ni mawazo ya ki-sadist!akili za masikini bana, kwahio utafurahi tajir akipata janga unadhan itakupunguzia ugumu wa maisha