Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

Nilisema tangumwanzo mambo yanayoendelea yawezekana vikawa visasi kwawapinzani wa vyama vyakisisa pamoja naupinzani wa ndani ya ccm kwa ccm..pia nachuki binafsi nazo zikahusika..ninawaasa viongozi waache kuwa watu wavisssi..nawasiendeshe inchi kwavisasi..kiongizi anaejitambua na anaemuopa mungu hatakiwi kuwa kiongozi wavitisho ..bali anatakiwa kuwa kiongozi aneonesha njia wapi taifa linatoka nawapi linaenda
 
uNGEKUWA NA MDOGO WAKO MWAATHIRIKA WA MADAWA USINGEANDIKA HAYA ILA KWA KUWA UMEINGIWA NA SIHASA ACHA USEME BATI......
 
Marekani wao hawahangaiki na kuwanyanyasa Raia wake hata wale wageni wanaofukuzwa na Tramp wameamua kuwatetea bila uoga ni tofauti na Tanzania ambapo Mkulu akitoa Amri inakuwa ni Amri toka mbinguni kwa Mungu haipingwi wala kukosolewa na sasa yupo mtoto wa Mungu makonda amegeuka kutaka aabudiwe anatumia mbinu analogia kutaja majina kienyeji matokeo yake wauza unga olijino wengi wamahama Nchi na waliopo Tanzania wameficha ushahidi huku yy mwenyewe akilala gheto kwa masogange muuza unga sugu.
acha uongo ni mara ngapi polisi wanapiga na kuua raia kwa risasi marekani shida yenu mmebaki kuangalia chaneel moja ya TV ya jamii forum mnatiana ujinga na wehu
 
Nadhani alichokiongea mala ya kwanza ulikisikia hakuwa na sababu ya tambo zile na asingepungukiwa kitu kwa lile,lkn ukitaka kuiletea serikali ustaa utavuna ulichokipanda,na ndo haya tunayoyaona Leo baadhi ya wanasiasa wanaongea lugha za makusudi ili wawaudhi watu na linajulikana utasikia ******************* inajulikana wanamaanisha nini au tumepata Rais wa ajabuajabu ni lugha chafu kumtolea kiongozi wa nchi wa chini yake wakikuangukia unaanza kutaka huruma ya wananchi na malalamiko kibao serikali hii ya kidikteta kumbe ulikuwa unaweza kufikisha kero yako kwa lugha nzuri na ukaeleweka bila kuudhi wengine,kwetu wananchi kwa itikadi zetu ukiona mtu anadindia serikali ndio tunamjaza ujinga na kumuona anaonewa,ufike muda tubadilike.
Ni kiherehere tu, kwani wakisema ni "wa ajabu ajabu" wakati "sio wa ajabu ajabu" kuna tatizo gani? Bush alipigwa kiatu usoni kwenye press conference na maisha yanaendelea, Obama katukanwa kweli leo yuko nje ya Ikulu maisha yanaendelea, JK katukanwa weee leo yuko Msoga hana "jeraha lililotokana na kutukanwa" na maisha yanaendelea...! Wakati mwingine tunayapa nafasi mambo yanayostahili kupuuzwa, na kadri tunavyoyapa nafasi mambo hayo Tanzania inageuka kutoka kuwa mahali salama kuishi na kuwa mahali pa ajabu ajabu ambapo watu wanaishi kwa kutiliana mashaka!
 
Leo huyu mwenyeketi wetu wa kilabu ya kimataifa kilabu yenye wachezaji nguri na hodari kama msuva yanga sport klub anafikisha siku ya tano lupango akinyea ndoo hii inasikitisha sana kwakweli

Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hatari kwanza siku tu ya kwanza anatajwa kwenye ile karatasi ya dogo aliyoitoa mfukon jion yake aliitisha wandishi wa habari na kutoa lugha ya matusi ile mbaya hakuishia hapo kesho yake aliibuka kituo cha polis kwa mbwembwe zile zile akiwa na mawakili nane na gari moja kali kinoma nyeus

Huyu jamaa jion yake alipandishwa gari moja nyeus akapelekwa kuzungushwa mjin inasemekana alipelekwa kupimwa kwa mkemia mkuu alikutwa ni mtumiaji mkubwa sana wa madawa.
kwa hiyo jamaa wamemuweka ndani??
 
Ni kiherehere tu, kwani wakisema ni "wa ajabu ajabu" wakati "sio wa ajabu ajabu" kuna tatizo gani? Bush alipigwa kiatu usoni kwenye press conference na maisha yanaendelea, Obama katukanwa kweli leo yuko nje ya Ikulu maisha yanaendelea, JK katukanwa weee leo yuko Msoga hana "jeraha lililotokana na kutukanwa" na maisha yanaendelea...! Wakati mwingine tunayapa nafasi mambo yanayostahili kupuuzwa, na kadri tunavyoyapa nafasi mambo hayo Tanzania inageuka kutoka kuwa mahali salama kuishi na kuwa mahali pa ajabu ajabu ambapo watu wanaishi kwa kutiliana mashaka!
Watanzania baadhi yetu hawana adabu au nidhamu, ikitokea mtu katuhumiwa HAIMAANISHI n Muhusika,, dharau zao ndo zinawaponza
 
Kuku akifungwa kamba anafanya mazoezi! akifungiwa kabatini utaishia kunywa chai! umeme ukikatika timu yetu inafungwa!
 
uNGEKUWA NA MDOGO WAKO MWAATHIRIKA WA MADAWA USINGEANDIKA HAYA ILA KWA KUWA UMEINGIWA NA SIHASA ACHA USEME BATI......
Kwani huyo mdogo wako nani alimlazimisha atumie madawa ya kulevya si akili zake yeye mwenyew? Mbona wengine hawatumii fala wewe? Au mnavinasaba vya ulevi?
 
Pole sana Manji!!! Angalia sana pesa zote ulizowapa chama tawala kwenye deal zao kibao leo huthaminiwi!! Jitambue uwe makini.....!! Utawala huu wewe unaonekana mwizi na mpiga deal! Ulivyowabeba miaka yote hii ingawa kweli umefaidika sana ila na wao kama chama wamefaidika pia bila mitaji.....kwa pesa yako!! Leo wamekutupa!!!

Hacha mambo zako huu utawala mwingine....kama anauza ngada akanyee ndoo tu.
 
Acha akae tu huko ajifunze kuna sheria asilete mbwembwe na hela hapa.
 
Back
Top Bottom