agadinho
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 581
- 324
Kwa hakika maana inawezekana ulienda somea ujinga.Shule niliyo soma hakuna hata ndugu yako mmoja mwenye uwezo wa kupeleka mtoto wake pale
Kwa hakika maana inawezekana ulienda somea ujinga.Shule niliyo soma hakuna hata ndugu yako mmoja mwenye uwezo wa kupeleka mtoto wake pale
HahahaLeo huyu mwenyeketi wetu wa kilabu ya kimataifa kilabu yenye wachezaji nguri na hodari kama msuva yanga sport klub anafikisha siku ya tano lupango akinyea ndoo hii inasikitisha sana kwakweli
Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hatari kwanza siku tu ya kwanza anatajwa kwenye ile karatasi ya dogo aliyoitoa mfukon jion yake aliitisha wandishi wa habari na kutoa lugha ya matusi ile mbaya hakuishia hapo kesho yake aliibuka kituo cha polis kwa mbwembwe zile zile akiwa na mawakili nane na gari moja kali kinoma nyeus
Huyu jamaa jion yake alipandishwa gari moja nyeus akapelekwa kuzungushwa mjin inasemekana alipelekwa kupimwa kwa mkemia mkuu alikutwa ni mtumiaji mkubwa sana wa madawa.
Ulimbukeni sijui utakutoka lini ? Jitu kubwa halafu akili kama za mtoto wa miaka kumi na mbili. Wababaishe wasiyojitambua"Saiz" ni neno la lugha gani?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Leo huyu mwenyeketi wetu wa kilabu ya kimataifa kilabu yenye wachezaji nguri na hodari kama msuva yanga sport klub anafikisha siku ya tano lupango akinyea ndoo hii inasikitisha sana kwakweli
Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hatari kwanza siku tu ya kwanza anatajwa kwenye ile karatasi ya dogo aliyoitoa mfukon jion yake aliitisha wandishi wa habari na kutoa lugha ya matusi ile mbaya hakuishia hapo kesho yake aliibuka kituo cha polis kwa mbwembwe zile zile akiwa na mawakili nane na gari moja kali kinoma nyeus
Huyu jamaa jion yake alipandishwa gari moja nyeus akapelekwa kuzungushwa mjin inasemekana alipelekwa kupimwa kwa mkemia mkuu alikutwa ni mtumiaji mkubwa sana wa madawa.[/QUO kweli
Kwa namna ulivoandika unadhihirisha ule ukweli kuwa Tanzania tunapaswa kuweka ELIMU kuwa kipaumbele siku zote
kimya kimya dadadekiIlikuja ile kampuni iliyomuuzia hiyo ngano na kuthibitisha ngano ni nzuri na haijaijaisha muda wa matumizi, baadae serikali kwa kuona hivyo wakamlipa fidia.
Ulimbukeni sijui utakutoka lini ? Jitu kubwa halafu akili kama za mtoto wa miaka kumi na mbili. Wababaishe wasiyojitambua
Manji ameachiliwa leo na muda huu yupo kwake
Utajiju uteja hauna itikadi, upinzani wala chama tawala..
Huyo Gwajima kashakuwa Gwiji la central bcz alimtusi pengo na kuitwa huko.alikaa huko mpaka akalazwa na akahutubia kwa machela.Ujuaji na ujuha usio na mpango umewakosti mch Gwajima na tajiri wetu Bwans Manji.
Baada ya kuwa wametajwa kwenye list ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya na kumjia juu mh. Makonda kwa kitendo chake cha kuwataja watuhumiwa hao jambo ambalo limezua mjadala mpana nchini.
Binafsi baada ya hawa watu kuwa wametajwa na wakaja juu kwa kudai hawakutendewa haki na mh. Makonda kuwa amefanya kosa kuwataja hadharani huku akiwa hana uthibitisho nao walirudia makosa yale yale kwenda polisi kwa shari siku moja kabla ya tarehe ya kulipoti binafsi siku hiyo nilisema kwenye baadhi ya comments zangu nikiwaomba polisi kwanza wawatie ndani na kama polis walinisikia wakatiwa nguvuni.
Leo katika kujipata na kutoa lugha za ajabu utadhani siyo mtumishi wa Mungu nimemsikia mch. Gwajima akiapa kesho kurudi polisi eti akawatetee wale waliobaki wakishikiriwa akiwemo MANJI sasa kwa taarifa ya jioni mwenziwe manji kazimia naye naomba kesho ajipeleke tuone kama atarudi hapo ufufuo na uzima.
Upuuzi wa hali ya juu ni juu ya watu wanaotumia chuki binafsi kumuandama mh. Mkonda kwa chuki binafsi naomba Mungu amrehe na laana na mapepo aliyotumiwa na mch. Gwajima yamuepuke na kumwingia aliyemwombea adui yake mabaya.
Mwisho ninachoona kwa watanzania mnachezeshwa ngoma msiyo ijua, bunge kumshupalia makonda msione kitu cha ajabu kisa na mkasa ametaja majina ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya ni upuuzi mtupu. Tuhuma za ufisadi dhidi ya makonda zilingoja aanzishe hii vita ndiyo ziibuke? Ashukriwe mh. Rais wangu kwa kuonesha uzalendo na kuunga mkono vita hii bunge lisikutishe ni kama mwananchi wa kawaida nategemea kuona bunge likipambana na uhalifu siyo kusaport ujinga km wanavyofanya kwa kisingizio cha heshima ya bunge.
Mh. Mbowe asipo ripoti polis kama tia ndani tena ijumaa jioni tutamtoa jumatatu mahakamani.
ViVa Magufuri ViVa Makonda....! Go!Go! Go! No turning back.
Manji, Gwajima ni raia wa nchi hii, kama kwa dhati tunaheshimu katiba, hatupaswi kuwaonea!
Ilikuwa ni rahisi tu, kuwaambia leo hatutawasikiliza njooni kesho basi na mambo yakesha, sasa kuwatunishia misuli yafaa nini?
dunia ishakuwa na wababe kina Nebukadneza, Farao, Hiter, Saddam, Ghadafi, Leo wako wapi?
Tatizo wako na dharau sana! Manji kaenda na mkwara alidhani India hapa pole yake, mara ana makampuni sijui 100 who cares???Manji, Gwajima ni raia wa nchi hii, kama kwa dhati tunaheshimu katiba, hatupaswi kuwaonea!
Ilikuwa ni rahisi tu, kuwaambia leo hatutawasikiliza njooni kesho basi na mambo yakesha, sasa kuwatunishia misuli yafaa nini?
dunia ishakuwa na wababe kina Nebukadneza, Farao, Hiter, Saddam, Ghadafi, Leo wako wapi?
Kazuga kesho anaenda tena tutaona km atafika Central kuwatetea wavuta madawa.Mpaka adabu ije
unaambiwa njoo ijumaa unakuja alhamis!! si dharau hizo?
adabu za kama kipindi cha Nyerere inarudi tu, subiri
ni raia ila wamekosa busara, uvumilivu na wanaleta ujuaji
mimi ningewaweka miezi miwili zaidi
waendelee kuongea