Gwajima is a whistle blower

Gwajima is a whistle blower

Whistle Blower wa wp???....ujinga ujinga tu...nae angefata utaratibu wa sheria angeenda polisi wafungue jalada la uchunguzi juu ya tuhuma zilizozagaa...kwa ujinga wake anageuza kanisa lake kama sehemu ya mahakama kusikiliza ushahidi..na kutoa hukumu..this is stupid....kila mtu angefanya hivyo kukiwa na tuhuma dhidi ya jambo fulani ...basi unaenda kwenye kijiwe chako kuhukumu...nchi haiendi hivyo bidada jiongeze
Bashite mpo wengi kweli " alipotangaza hadharani majina ya watuhumiwa mbona hakufata sheria nani kampa mamlaka yakuita watu kituoni " you deal with stupid vry stupidly gwajima hajakosea ......
 
Wengi walifahamu kuwa elimu ya RC ina utata lakini hakuna aliyethubutu kufungua mdomo, leo hii Gwajima ameliweka hadharani tena amemleta mzee kutoka kijiji cha Kalomije anaemfahamu RC tangu enzi anasoma shule ya msingi kwa jina la Daudi Bashite.

Gwajima alikua amepanga mipango ya kuweka swala bayana J2, Ijumaa anawekwa ndani kumfunga mdomo.

FREE GWAJIMA, HE IS A WHISTLE BLOWER.
Let us be objective. Makonda anaweza kuwa alifoji cheti/vyeti. Kwa maelezo ya Gwajima, anamfahamu tangu kijijini kwao alikosoma au kwa maana nyingine sakata hilo analifahamu siku nyingi kwa sababu Makonda hakuwa mafichoni. Ni mwanasiasa amekuwa majukwaani akionekana na wanaomfahamu, akina Gwajima walimuona siku nyingi, huku wakifahamu siyo anayeitwa Makonda.

Swali kwa Gwajima ni kwa nini alikaa kimya miaka yote hiyo, Makonda akapewa ukuu wa Wilaya na akapewa ukuu wa mkoa. Akaanza na mapambano ya ukahaba, Ushoga na shisha Gwajima akiwa kimya! Makonda akaja na mapambano ya madawa ya kulevya na hapo ndo Gwajima na wenzake wakaja juu! Hafai! hafai! hafai! Amefoji! namjua tangu Kolomije, ajitokeze.

Kwa Gwajima huu ni unafiki. Kwa kiongozi wa dini anayejinasibu ni mtumishi wa Mungu, hafai. Hata kama Makonda kafoji, Gwajima ameona asimamie haki, pale tu yeye anapoguswa. Walipoguswa wengine aliona ni sawa. Tunaomba atulie na naona busara haijamuingia ndo maana anafikia hatua ya kujikuza kiasi hicho. Bahati mbaya kwa maoni yangu, mchango wake ktk taifa hili hauonekani. Wapo viongozi wanaostahili kuteta na serikali kwa michango yao kwa miasha ya wananchi. Wanajenga shule, wanajenga hospitali, wanasaidia wenye njaa, nk. Not this self-styled askofu!
 
Me and Pasco could not be more disparate that we already are!

Distractions aside, where's the hard evidence?

Please show me...please...please...
If obama was persuaded to bring his birth certificate by trump trust me makonda will bring his thru gwajima and the few other whistle blowers give it time.....
 
Wengi walifahamu kuwa elimu ya RC ina utata lakini hakuna aliyethubutu kufungua mdomo, leo hii Gwajima ameliweka hadharani tena amemleta mzee kutoka kijiji cha Kalomije anaemfahamu RC tangu enzi anasoma shule ya msingi kwa jina la Daudi Bashite.

Gwajima alikua amepanga mipango ya kuweka swala bayana J2, Ijumaa anawekwa ndani kumfunga mdomo.

FREE GWAJIMA, HE IS A WHISTLE BLOWER.
Hivi ameweka hadharani ushahidi gani ambao anaweza akatuonesha? maneno hayawezi kuwa ushahidi.... hivi hata result slip ya anaye mtuhumu amewaonesha?
 
Mwachieni aonyeshe vyeti...alisema baba bashite asipochukua hatua atatoa vyeti hadharani...kwanini mnahaha kumshika Gwajima??...kwenye ZERO ya bashite Gwajima amehusika vipi?, mtuhumiwa ndio natakiwa ajisafishe dhidi ta tuhuma zinazomkumba...mwambie bashite aweke vyeti hadharani hata kama ana F sita(6) na D moja (1). Alete tu tutamuelewa kua alijitahid kwa kadri ya uwezo wake
 
hii nchi inatia aibu yaani wanafanya wanancho wote watoto na mazuzu tuna rais wa ajabu sana sisi kwa kweli yaani anafavot interest zake live bila chenga ila huyu we so called president atakufa kifo kibaya sana

yaani daahh!wabongo tulibugi sana huyu kupewa huo urais looo
 
Bashite yupo bize na kubadili staili za sala na swala...hakyananii, hii ya kuhudhuria swala ijumaa na ibada jumapili lazima ile ziro igeuke kua iv

Kule kwetu Naii huwa tunasema kuwa ni Bash...time
IMG-20170303-WA0025.jpg
 
Hivi kweli inaingia akilini Gwajima kwenda kuripoti kwa kamanda Sirro kuhusu vyeti vya RC, wenyewe liangalieni hili limekaaje?
Hawezi kwenda ndo maana kamstakia Kwa baba yake
 
Me and Pasco could not be more disparate that we already are!

Distractions aside, where's the hard evidence?

Please show me...please...please...
Mwenzako kaandika kiswahili, wewe unamjibu kwa kidhungu, dah! Wabeba mabox bwana mna tabu sana. Andika tu kiswahili na wengine tuelewe hii lugha ya malkia siyo kila mtu anaijua, hata mkulu inampiga chenga.
 
You have no expertise in recognising the legal evidence, so dont ask for it, or if you can use your brain to atleast 0.5 percent of its capability then every piece of the puzzle is starting to come on its place beautifully!!
Aaaagh! Kwa nini mnabadili lugha? Mnatuachaaaa!!!!
 
Gwajima alikua amepanga mipango ya kuweka swala bayana J2, Ijumaa anawekwa ndani kumfunga mdomo.

Hivi amewekwa ndani kwa kosa gani hasa? Kwa nini huyu Kilaza kupitia Zerro anaachwa atambe namna hii hapa mjini? Juma Pumba hapa ndo anapochemsha na kudhihirisha mapenzi mubashara na upendeleo dhahiri kwa ngosha mwenzie. Huu sio utawala bora.
 
Hivi ameweka hadharani ushahidi gani ambao anaweza akatuonesha? maneno hayawezi kuwa ushahidi.... hivi hata result slip ya anaye mtuhumu amewaonesha?

Unauliza kinyeo cha Mbwa kiko wapi wakati umeshika mkia!
Mtoeni humo lupango, halafu Jumapili akiwa yeye pamoja na waalimu Daudi Albert Bashite Shule za Msingi na Upili wawawekee ushahidi.
Kwanini mmemficha huko?
 
Hao mashehe hawajielewi wamepewa elfu hamsini hamsini wakaanza kufanya upuuzi
 
Whistle Blower wa wp???....ujinga ujinga tu...nae angefata utaratibu wa sheria angeenda polisi wafungue jalada la uchunguzi juu ya tuhuma zilizozagaa...kwa ujinga wake anageuza kanisa lake kama sehemu ya mahakama kusikiliza ushahidi..na kutoa hukumu..this is stupid....kila mtu angefanya hivyo kukiwa na tuhuma dhidi ya jambo fulani ...basi unaenda kwenye kijiwe chako kuhukumu...nchi haiendi hivyo bidada jiongeze
Ha ha ha ha polisi wamchunguze bosi wao? Sijui kwa nini jamii imejaa mijinga jinga namna hii! Nadhani tatizo ni elimu yetu no wonder tuna watu Wa sampuli hizi... Hivi unajua kwa mini wenye tuhumu husimamishwa kazi kupisha uchunguzi? Anyway huenda naongea na fa fa fa!
 
Let us be objective. Makonda anaweza kuwa alifoji cheti/vyeti. Kwa maelezo ya Gwajima, anamfahamu tangu kijijini kwao alikosoma au kwa maana nyingine sakata hilo analifahamu siku nyingi kwa sababu Makonda hakuwa mafichoni. Ni mwanasiasa amekuwa majukwaani akionekana na wanaomfahamu, akina Gwajima walimuona siku nyingi, huku wakifahamu siyo anayeitwa Makonda.

Swali kwa Gwajima ni kwa nini alikaa kimya miaka yote hiyo, Makonda akapewa ukuu wa Wilaya na akapewa ukuu wa mkoa. Akaanza na mapambano ya ukahaba, Ushoga na shisha Gwajima akiwa kimya! Makonda akaja na mapambano ya madawa ya kulevya na hapo ndo Gwajima na wenzake wakaja juu! Hafai! hafai! hafai! Amefoji! namjua tangu Kolomije, ajitokeze.

Kwa Gwajima huu ni unafiki. Kwa kiongozi wa dini anayejinasibu ni mtumishi wa Mungu, hafai. Hata kama Makonda kafoji, Gwajima ameona asimamie haki, pale tu yeye anapoguswa. Walipoguswa wengine aliona ni sawa. Tunaomba atulie na naona busara haijamuingia ndo maana anafikia hatua ya kujikuza kiasi hicho. Bahati mbaya kwa maoni yangu, mchango wake ktk taifa hili hauonekani. Wapo viongozi wanaostahili kuteta na serikali kwa michango yao kwa miasha ya wananchi. Wanajenga shule, wanajenga hospitali, wanasaidia wenye njaa, nk. Not this self-styled askofu!
Umeandika vizuri,ila ushindwa kuelezea kiini cha ugomvi wa gwajima na makonda.MAKONDA ALITUMIA VIGEZO GANI KUMWEKA GWAJIMA KWENYE ILE ORODHA YA WAUZA MADAWA NA KWENDA KUMTANGAZA HADHARANI????

mkemia alimpima hatumii.nyumbani kwake alisachi hakuna kitu.KWANZA GWAJIMA ANA HEKIMA KAMA NI MIMI NINGEFUNGUA KESI MAHAKAMANI DHIDI YAKE KWA KUNI CHAFULIA JINA
 
Hivi kweli inaingia akilini Gwajima kwenda kuripoti kwa kamanda Sirro kuhusu vyeti vya RC, wenyewe liangalieni hili limekaaje?
Mi nipo na ww Sema kushindana na system kama kupaka rangi upepo vile askofu gwajima yupo ndani yule babu toka kolomije unaweza sikia amefarki njian
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom