![]()
Hii ni familia ya Bashite haya oneni wenyewe.

We jamaa nawe umeshakuwa kama pasko mayala.. kaa pembeni usubiri mwisho wa hili swalaKwa hiyo huo ndo ushahidi kwamba Makonda ana vyeti feki?
Like seriously...?
Sheria..Hizo zingine hatutumii kama nchi.Hata kama mnajiona mku juu ya sharia na kuita whistle blowing ni ujinga you are days are numbered.
Vipi kwaya ya ufufuo ilikwenda kutumbuiza kituo cha polisi? Au kauli ya mkuu inafanya kazi.....weka nao ndani wakaimbie hukohuko.. Mkuu hataki ujingaWengi walifahamu kuwa elimu ya RC ina utata lakini hakuna aliyethubutu kufungua mdomo, leo hii Gwajima ameliweka hadharani tena amemleta mzee kutoka kijiji cha Kalomije anaemfahamu RC tangu enzi anasoma shule ya msingi kwa jina la Daudi Bashite.
Gwajima alikua amepanga mipango ya kuweka swala bayana J2, Ijumaa anawekwa ndani kumfunga mdomo.
FREE GWAJIMA, HE IS A WHISTLE BLOWER.
Me and Pasco could not be more disparate than we already are!We jamaa nawe umeshakuwa kama pasko mayala.. kaa pembeni usubiri mwisho wa hili swala
Huyu mchungaji naye haeleweki kabisa,Wengi walifahamu kuwa elimu ya RC ina utata lakini hakuna aliyethubutu kufungua mdomo, leo hii Gwajima ameliweka hadharani tena amemleta mzee kutoka kijiji cha Kalomije anaemfahamu RC tangu enzi anasoma shule ya msingi kwa jina la Daudi Bashite.
Gwajima alikua amepanga mipango ya kuweka swala bayana J2, Ijumaa anawekwa ndani kumfunga mdomo.
FREE GWAJIMA, HE IS A WHISTLE BLOWER.
Bashite atamshikilia gwiji Gwajima hadi lini?Wengi walifahamu kuwa elimu ya RC ina utata lakini hakuna aliyethubutu kufungua mdomo, leo hii Gwajima ameliweka hadharani tena amemleta mzee kutoka kijiji cha Kalomije anaemfahamu RC tangu enzi anasoma shule ya msingi kwa jina la Daudi Bashite.
Gwajima alikua amepanga mipango ya kuweka swala bayana J2, Ijumaa anawekwa ndani kumfunga mdomo.
FREE GWAJIMA, HE IS A WHISTLE BLOWER.
Baba Bashite na mdosi........Tena ndio wanatufanya tuzidi kufuatilia swala hili, tunae tu Daudi Bashite hata akiombewa na sisi tunaomba dua zetu.
Issue ya cheti haiwezi kuzuia mambo mengine yasiendelee kufanyika.Baba bashite anazunguka na ziara zake tu, elimu ya mwanae haimuhusu, mawaziri wote wa elimu kimyaaaa...hakuna aliyejitokeza kutoa ufafanuzi..maajizo kutoka juu ni kumkamata Gwajima...hakika elimu ya bashite inatia mashaka sanaa
Clueless 14 mimi ni ISIS!Wee ndo huyo hapo picha ya juu eti??mkyut
Me and Pasco could not be more disparate that we already are!
Distractions aside, where's the hard evidence?
Please show me...please...please...
You have no expertise in recognising the legal evidence
View attachment 476583
Clueless 14 mimi ni ISIS!