Gwajima is a whistle blower

Gwajima is a whistle blower

3b49f73a3aadd427268719a59b7a7e4d.jpg

Hii ni familia ya Bashite haya oneni wenyewe.
 
Mkuu umeona wapi kiongozi wa madhehebu ya dini anawekwa ndani kwa kosa la utumiaji wa madawa ya kulevya na yakosekane nyumbani kwake na pia mwilini mwake.

Kwani hii vita iliyo anzishwa na mkuu wa mkoa na baadae kamishina baada ya kuteuliwa akapokea kijiti ilihusu utumiaji na kupimwa tu? Au madawa ya kikosekana nyumbani ndio cheti cha kuto kujihusisha hata kama awali ulituhumiwa? Je una kuwa ndio mwisho wa kuchunguzwa? Kumbuka kulikuwa na muda ambao watuhumiwa walipewa kujisalimisha pengine wakautumia na kujipanga.

Mkuu umena wapi kiongozi wa dini kuvunja utaratibu wa muda alio pangiwa wa kuripoti polisi na akaachwa bila kuchukuliwa hatua.

Na washawasha!
 
IMG_0023.JPG
Whistle Blower wa wp???....ujinga ujinga tu...nae angefata utaratibu wa sheria angeenda polisi wafungue jalada la uchunguzi juu ya tuhuma zilizozagaa...kwa ujinga wake anageuza kanisa lake kama sehemu ya mahakama kusikiliza ushahidi..na kutoa hukumu..this is stupid....kila mtu angefanya hivyo kukiwa na tuhuma dhidi ya jambo fulani ...basi unaenda kwenye kijiwe chako kuhukumu...nchi haiendi hivyo bidada jiongeze
Haya maneno hata Nyerere aliyaongea, na yana apply kwa josephat gwajima pia.
 
Hesabu hii ni rahisi, mpelekeni Gwajima mahakamani Kwa suala la vyeti vya RC. Kama mwongo apate adhabu anayostahili. Na Kama amesema kweli mahakama idhibitishe hayo ni kweli.
 
Wengi walifahamu kuwa elimu ya RC ina utata lakini hakuna aliyethubutu kufungua mdomo, leo hii Gwajima ameliweka hadharani tena amemleta mzee kutoka kijiji cha Kalomije anaemfahamu RC tangu enzi anasoma shule ya msingi kwa jina la Daudi Bashite.

Gwajima alikua amepanga mipango ya kuweka swala bayana J2, Ijumaa anawekwa ndani kumfunga mdomo.

FREE GWAJIMA, HE IS A WHISTLE BLOWER.
Ingekuwa baada ya kumtoa ndani Gwajima vyeti vya Daudi Bashite RC wa Dsm vinabadilika ingekuwa HERI sana..
Lakini Zero hata ukiifanyia maombi haibadiliki, will always remain zero.
 
Whistle Blower wa wp???....ujinga ujinga tu...nae angefata utaratibu wa sheria angeenda polisi wafungue jalada la uchunguzi juu ya tuhuma zilizozagaa...kwa ujinga wake anageuza kanisa lake kama sehemu ya mahakama kusikiliza ushahidi..na kutoa hukumu..this is stupid....kila mtu angefanya hivyo kukiwa na tuhuma dhidi ya jambo fulani ...basi unaenda kwenye kijiwe chako kuhukumu...nchi haiendi hivyo bidada jiongeze
Mbona yy aliyejitajia wenzake ajapelekwa ndani na akawavunjia heshima ? Kwanini yy amesema tu leo mmemnyaka kwa kisingizio cha kuwa mnamfanyia uchunguzi tena? This is unfair ,mnsjitekenya wenyewe af mnacheka ,[HASHTAG]#chenyemwanzokinamwisho[/HASHTAG]
 
Whistle Blower wa wp???....ujinga ujinga tu...nae angefata utaratibu wa sheria angeenda polisi wafungue jalada la uchunguzi juu ya tuhuma zilizozagaa...kwa ujinga wake anageuza kanisa lake kama sehemu ya mahakama kusikiliza ushahidi..na kutoa hukumu..this is stupid....kila mtu angefanya hivyo kukiwa na tuhuma dhidi ya jambo fulani ...basi unaenda kwenye kijiwe chako kuhukumu...nchi haiendi hivyo bidada jiongeze
Usitete ujinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom