Jitoe ufahamu mpaka uwe dcKwani hii vita iliyo anzishwa na mkuu wa mkoa na baadae kamishina baada ya kuteuliwa akapokea kijiti ilihusu utumiaji na kupimwa tu? Au madawa ya kikosekana nyumbani ndio cheti cha kuto kujihusisha hata kama awali ulituhumiwa? Je una kuwa ndio mwisho wa kuchunguzwa? Kumbuka kulikuwa na muda ambao watuhumiwa walipewa kujisalimisha pengine wakautumia na kujipanga.
Mkuu umena wapi kiongozi wa dini kuvunja utaratibu wa muda alio pangiwa wa kuripoti polisi na akaachwa bila kuchukuliwa hatua.
Na washawasha!