Mkuu cheo cha mkuu wa mkoa kinatokana na uteuzi wa rais lakini mshahara wa mkuu wa mkoa ni sehemu ya kodi zetu. Pia kama hili halitapata ufumbuzi, tutawajibu nini vijana wetu ambao ni wanafunzi, na wanalijua hili sakata kupitia mass communication ambao sasa hivi wanatuhoji iweje mtu wa fa fa fa fa anakuwa mkuu wa mkoa. Tunaomba tamko kutoka kwa mheshimiwa rais.Kwa kweli kuna vitu vinginene tunavyo vikomalia lazima tuvifikirie kwanza, hivi kupoteza muda na nguvu zako kutaka kuoneshwa vyeti vya Makonda wewe ndiye umemuajiri? Mamlaka za ajira zinataratibu na vigezo zinazoangalia ili kumuweka mtu yeyote mahali popote zinapoona anafaa. Serikali hawezi kuendeshea kwa matamanio ya watufulani kwa kuwa tu wamelalamika JF au kwasababu Gwajima ameongea nini, sana sana huyo Gwajima anatafuta tu Kiki ili aonekane na yeye ana ubavu wa kuitingisha Serikari sababu tu ya hizo fedha alizo walubuni waumini wake wakamchangia kama sadaka! Kiasi akafikia mpaka kuvunja ndoa za watu lakini waumini wake wanaona sawa tu! Aliishawahi kumtukana Askof Pengo hadharani, waumini wake wakamuona yupo sawa tu aliisha toa mpaka siri za toba ya muumini wake Dr.Slaa waumini bado wanaona sawa tu. Akaja kuelewa ndoto yake aliyoota na akapatikana kwamba lazima ingetimia October 2015 lakini mambo yakaenda kinyume! Waumini wake bado wakonae tu! Mtu huyu anathubutu sasa hata kumpangia Rais kazi na kujaribu kumuelekeza nini cha kumfanyia Makonda! Kweli kwa Serikali makini mtu kama huyo ni sahihi kumuangalia tu akiendeleza hizo porojo zake tena akijaribu kuzipandikiza kwenye imani za watu?
Mkuu hawa kijani wana shida nyingi sanaaa, leo hii wanafikia hatua ya kuhoji kuna haja gan ya ndugu Daudi kuonyesha vyeti vyate ilihali utendaji wake unaonekana. Wamesahau waowao ndio walisitisha ajira na malipo ya malimbikizi kwa kigezo cha vyeti feki. Ni aibu raisi kumuacha bashite ilihali wengi wameshatimuliwa kazi kwa sababu kama hizo hizo za bashiteMkuu cheo cha mkuu wa mkoa kinatokana na uteuzi wa rais lakini mshahara wa mkuu wa mkoa ni sehemu ya kodi zetu. Pia kama hili halitapata ufumbuzi, tutawajibu nini vijana wetu ambao ni wanafunzi, na wanalijua hili sakata kupitia mass communication ambao sasa hivi wanatuhoji iweje mtu wa fa fa fa fa anakuwa mkuu wa mkoa. Tunaomba tamko kutoka kwa mheshimiwa rais.
Wiki nzima hii rais ameshindwa kabisa kuliongelea hili, akiwa Commender in Chief tunasumbiri kauli yake. Isiwe sharia moja kwa mmoja na nyingine kwa wengine.Mkuu hawa kijani wana shida nyingi sanaaa, leo hii wanafikia hatua ya kuhoji kuna haja gan ya ndugu Daudi kuonyesha vyeti vyate ilihali utendaji wake unaonekana. Wamesahau waowao ndio walisitisha ajira na malipo ya malimbikizi kwa kigezo cha vyeti feki. Ni aibu raisi kumuacha bashite ilihali wengi wameshatimuliwa kazi kwa sababu kama hizo hizo za bashite
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.Wengi walifahamu kuwa elimu ya RC ina utata lakini hakuna aliyethubutu kufungua mdomo, leo hii Gwajima ameliweka hadharani tena amemleta mzee kutoka kijiji cha Kolomije anaemfahamu RC tangu enzi anasoma shule ya msingi kwa jina la Daudi Bashite.
Gwajima alikua amepanga mipango ya kuweka swala bayana J2, Ijumaa anawekwa ndani kumfunga mdomo.
FREE GWAJIMA, HE IS A WHISTLE BLOWER.
Hahaha!Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P




Kuliko jimbo la Kawe lipotelee kwa mpwa wetu akheri tumpe Gwajima hili gunia la misumari.Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P