Gwajima is a whistle blower

Gwajima is a whistle blower

nafikiria bwana yule ataombaje kura 2020, mana mpaka sasa sijui katimiza lipi zaidi ya majungu, kajeli, dharau, kiburi na majivuno kwa wananchi wake
 
Shikamooo Tanzania . kwa masifa ya bwana mkubwa kuliko presidaaa angeweka vyeti hadharani ila kwa kuwa ni KIHIYO nadhani anabebwa na brooo wa tz
 
Hyo whistle ndo akaipigie central sasa, you can't compete with the government

kwani anapambana na serikali au anasema ukweli kuna mtu kanunua vyeti, pia kama bashite hana vyeti fake si anaweza kwenda mahakamani tu kupeleka vyeti afu akadai fidia anachafuliwa , ila uyu bwana hana vyeti kwaiyo kilichobaki anatumia postion power kupinga zero yake , na watu kama nyie sijui kwanini mna support ujinga wa serikali
 
Let us be objective. Makonda anaweza kuwa alifoji cheti/vyeti. Kwa maelezo ya Gwajima, anamfahamu tangu kijijini kwao alikosoma au kwa maana nyingine sakata hilo analifahamu siku nyingi kwa sababu Makonda hakuwa mafichoni. Ni mwanasiasa amekuwa majukwaani akionekana na wanaomfahamu, akina Gwajima walimuona siku nyingi, huku wakifahamu siyo anayeitwa Makonda.

Swali kwa Gwajima ni kwa nini alikaa kimya miaka yote hiyo, Makonda akapewa ukuu wa Wilaya na akapewa ukuu wa mkoa. Akaanza na mapambano ya ukahaba, Ushoga na shisha Gwajima akiwa kimya! Makonda akaja na mapambano ya madawa ya kulevya na hapo ndo Gwajima na wenzake wakaja juu! Hafai! hafai! hafai! Amefoji! namjua tangu Kolomije, ajitokeze.

Kwa Gwajima huu ni unafiki. Kwa kiongozi wa dini anayejinasibu ni mtumishi wa Mungu, hafai. Hata kama Makonda kafoji, Gwajima ameona asimamie haki, pale tu yeye anapoguswa. Walipoguswa wengine aliona ni sawa. Tunaomba atulie na naona busara haijamuingia ndo maana anafikia hatua ya kujikuza kiasi hicho. Bahati mbaya kwa maoni yangu, mchango wake ktk taifa hili hauonekani. Wapo viongozi wanaostahili kuteta na serikali kwa michango yao kwa miasha ya wananchi. Wanajenga shule, wanajenga hospitali, wanasaidia wenye njaa, nk. Not this self-styled askofu!

Gwajima siyo vetting officer wa wateule wa Rais au wafanyakazi wa serikali!!!!!!!
 
Whistle Blower wa wp???....ujinga ujinga tu...nae angefata utaratibu wa sheria angeenda polisi wafungue jalada la uchunguzi juu ya tuhuma zilizozagaa...kwa ujinga wake anageuza kanisa lake kama sehemu ya mahakama kusikiliza ushahidi..na kutoa hukumu..this is stupid....kila mtu angefanya hivyo kukiwa na tuhuma dhidi ya jambo fulani ...basi unaenda kwenye kijiwe chako kuhukumu...nchi haiendi hivyo bidada jiongeze
Whistle blowers, Steve Nyerere na Bashite mwenyewe walienda polisi ya wapi ili sheria ifuate mkondo kweli kweli! Si wamenyamazishwa tu lakini wengine wakifanya vile vile wanakamatwa ijumaa! Iko siku utakuja kuelewa tu!
 
Let us be objective. Makonda anaweza kuwa alifoji cheti/vyeti. Kwa maelezo ya Gwajima, anamfahamu tangu kijijini kwao alikosoma au kwa maana nyingine sakata hilo analifahamu siku nyingi kwa sababu Makonda hakuwa mafichoni. Ni mwanasiasa amekuwa majukwaani akionekana na wanaomfahamu, akina Gwajima walimuona siku nyingi, huku wakifahamu siyo anayeitwa Makonda.

Swali kwa Gwajima ni kwa nini alikaa kimya miaka yote hiyo, Makonda akapewa ukuu wa Wilaya na akapewa ukuu wa mkoa. Akaanza na mapambano ya ukahaba, Ushoga na shisha Gwajima akiwa kimya! Makonda akaja na mapambano ya madawa ya kulevya na hapo ndo Gwajima na wenzake wakaja juu! Hafai! hafai! hafai! Amefoji! namjua tangu Kolomije, ajitokeze.

Kwa Gwajima huu ni unafiki. Kwa kiongozi wa dini anayejinasibu ni mtumishi wa Mungu, hafai. Hata kama Makonda kafoji, Gwajima ameona asimamie haki, pale tu yeye anapoguswa. Walipoguswa wengine aliona ni sawa. Tunaomba atulie na naona busara haijamuingia ndo maana anafikia hatua ya kujikuza kiasi hicho. Bahati mbaya kwa maoni yangu, mchango wake ktk taifa hili hauonekani. Wapo viongozi wanaostahili kuteta na serikali kwa michango yao kwa miasha ya wananchi. Wanajenga shule, wanajenga hospitali, wanasaidia wenye njaa, nk. Not this self-styled askofu!

unafiki ni bwana yule aliyemteua bashite mana alisema hadharani kuwa anamjua details zote na hawezi kuteuwa mchafu, na mnafiki yule ambaye anatumbua watu kwa vyeti fake wakati kuna mmoja anashindwa kumtumbua kisa mahaba yake na mwisho tunataka cheti original hata kama gwajima mnafiki kasaidia kujua bashite ni fake anapaswa kuwa jela miaka mitatu
 
Gwajima bado ana laana ya kumchukua mke wa Emmanuel Mbasha.
 
Whistle Blower wa wp???....ujinga ujinga tu...nae angefata utaratibu wa sheria angeenda polisi wafungue jalada la uchunguzi juu ya tuhuma zilizozagaa...kwa ujinga wake anageuza kanisa lake kama sehemu ya mahakama kusikiliza ushahidi..na kutoa hukumu..this is stupid....kila mtu angefanya hivyo kukiwa na tuhuma dhidi ya jambo fulani ...basi unaenda kwenye kijiwe chako kuhukumu...nchi haiendi hivyo bidada jiongeze
ye kasema eti anaongea na familia yake kama mkuu alivoenda kwenye tv et...
 
Whistle Blower wa wp???....ujinga ujinga tu...nae angefata utaratibu wa sheria angeenda polisi wafungue jalada la uchunguzi juu ya tuhuma zilizozagaa...kwa ujinga wake anageuza kanisa lake kama sehemu ya mahakama kusikiliza ushahidi..na kutoa hukumu..this is stupid....kila mtu angefanya hivyo kukiwa na tuhuma dhidi ya jambo fulani ...basi unaenda kwenye kijiwe chako kuhukumu...nchi haiendi hivyo bidada jiongeze[mm/QUOTE] ushauri wako mzuri na ungemfikishia Daud Bashite kuwa nchi haiendi kwa kugeuza media na cheo kama forum ya kutoa hukumu na udaku wa kudhalilisha watu bila ushahidi
 
Umeandika vizuri,ila ushindwa kuelezea kiini cha ugomvi wa gwajima na makonda.MAKONDA ALITUMIA VIGEZO GANI KUMWEKA GWAJIMA KWENYE ILE ORODHA YA WAUZA MADAWA NA KWENDA KUMTANGAZA HADHARANI????

mkemia alimpima hatumii.nyumbani kwake alisachi hakuna kitu.KWANZA GWAJIMA ANA HEKIMA KAMA NI MIMI NINGEFUNGUA KESI MAHAKAMANI DHIDI YAKE KWA KUNI CHAFULIA JINA
Gwajina ana Hekima! Hekima ipi hiyo? Ndo maana nasema tunaendesha ushabiki. Mwaka jana tu alipotutuswa kwa kumtukana Kadinari Pengo, hadi akazimia wewe ulikuwa na umri gani?
 
Gwajina ana Hekima! Hekima ipi hiyo? Ndo maana nasema tunaendesha ushabiki. Mwaka jana tu alipotutuswa kwa kumtukana Kadinari Pengo, hadi akazimia wewe ulikuwa na umri gani?
Hatuongelei ya mwaka Jana hi ni issue ya Daudi Bashite haina uhusiano na Pengo
 
Wengi walifahamu kuwa elimu ya RC ina utata lakini hakuna aliyethubutu kufungua mdomo, leo hii Gwajima ameliweka hadharani tena amemleta mzee kutoka kijiji cha Kalomije anaemfahamu RC tangu enzi anasoma shule ya msingi kwa jina la Daudi Bashite.

Gwajima alikua amepanga mipango ya kuweka swala bayana J2, Ijumaa anawekwa ndani kumfunga mdomo.

FREE GWAJIMA, HE IS A WHISTLE BLOWER.
Afichae moto upande wa nguo hakika moshi utamuumbua
 
Bashite yupo bize na kubadili staili za sala na swala...hakyananii, hii ya kuhudhuria swala ijumaa na ibada jumapili lazima ile ziro igeuke kua iv
Anaombewa kila siku kwa sababu gani? Ili vyeti vipatikane au hii ishu iishe ghafla tu?
 
Jitoe ufahamu mpaka uwe dc

Wewe sijui nitumie neno gani? Nani kakuambia nina shida ya Udc? Gwajima alitakiwa alijue hili kuwa kule kupimwa na kupekulkwa ni muendelezo tu wa yeye kuwa katika rada.

Na washawasha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom