Gwajima is a whistle blower

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,773
Wengi walifahamu kuwa elimu ya RC ina utata lakini hakuna aliyethubutu kufungua mdomo, leo hii Gwajima ameliweka hadharani tena amemleta mzee kutoka kijiji cha Kolomije anaemfahamu RC tangu enzi anasoma shule ya msingi kwa jina la Daudi Bashite.

Gwajima alikua amepanga mipango ya kuweka swala bayana J2, Ijumaa anawekwa ndani kumfunga mdomo.

FREE GWAJIMA, HE IS A WHISTLE BLOWER.
 
hawa jamaa wana calculation za kijinga sana.

sidhani kumkamata na kumweka ndani gwajima,italeta hofu kwa wanao hoji uhalali wa elimu ya ndg. daudi bashite aka paul makonda,bali itawapa kiburi zaidi cha kuendelea kukazia hoja zao.
 
hawa jamaa wana calculation za kijinga sana.

sidhani kumkamata na kumweka ndani gwajima,italeta hofu kwa wanao hoji uhalali wa elimu ya ndg. daudi bashite aka paul makonda,bali itawapa kiburi zaidi cha kuendelea kukazia hoja zao.
Tena ndio wanatufanya tuzidi kufuatilia swala hili, tunae tu Daudi Bashite hata akiombewa na sisi tunaomba dua zetu.
 
Baba bashite anazunguka na ziara zake tu, elimu ya mwanae haimuhusu, mawaziri wote wa elimu kimyaaaa...hakuna aliyejitokeza kutoa ufafanuzi..maajizo kutoka juu ni kumkamata Gwajima...hakika elimu ya bashite inatia mashaka sanaa
Ni hivyo mkuu, angalau hata wakina Mwigulu walikuja kudefend rumours that were said about them, who is he to tell us even with division 0 he could have been RC.
 
20170303_051501.jpg
 
Yupo serious sana hapo nahic mtume alimshukia akasemezana nae kwa lugha...leo kakumbuka kuvaa kiustadhi ..hajavaa viatu katinga sendo
 

Attachments

  • IMG-20170303-WA0010.jpg
    IMG-20170303-WA0010.jpg
    71.4 KB · Views: 140
Mpaka mtu ana teuliwa kuwa RC ni taratibu zipi za kiutawala hufuatwa?

Hivi kuna mtumishi wa Mungu wa dhehebu la Kikiristo aseye juu kuwa ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu. Yesu mwenyewe alimtuma mwanafunzi wake amvue samaki wakatoa fedha ya ushuru kinywani mwa samaki. Kwa nini Bwana Yesu hakusema dunia na vyote viijazavyo akiwemo na kaisari ni mali yake. Na akatae kujidemote kwa kaisari?

Lakini je ukweli kuhusu suala la vyeti unahitaji kusimamiwa na yeyote? Ukweli kama ilivyo nature unajisimamia wenyewe na hamna wa kuuzuia.

Na washawasha!
 
Mpaka mtu ana teuliwa kuwa RC ni taratibu zipi za kiutawala hufuatwa?

Hivi kuna mtumishi wa Mungu wa dhehebu la Kikiristo aseye juu kuwa ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu. Yesu mwenyewe alimtuma mwanafunzi wake avumvue samaki wakatoa fedha ya ushuru kinywani mwa samaki. Kwa nini Bwana Yesu hakusema Dunia na vyote viijazavyo akiwemo na kaisari ni mali yake. Na akatae kujidemote kwa kaisari?

Lakini ukweli kuhusu suala la vyeti unahitaji kusimamiwa na yeyote? Ukweli kama ilivyo nature unajisimamia wenyewe na hamna wa kuuzuia.

Na washawasha!
Mkuu umeona wapi kiongozi wa madhehebu ya dini anawekwa ndani kwa kosa la utumiaji wa madawa ya kulevya na yakosekane nyumbani kwake na pia mwilini mwake.
 
Wengi walifahamu kuwa elimu ya RC ina utata lakini hakuna aliyethubutu kufungua mdomo, leo hii Gwajima ameliweka hadharani tena amemleta mzee kutoka kijiji cha Kalomije anaemfahamu RC tangu enzi anasoma shule ya msingi kwa jina la Daudi Bashite.

Gwajima alikua amepanga mipango ya kuweka swala bayana J2, Ijumaa anawekwa ndani kumfunga mdomo.

FREE GWAJIMA, HE IS A WHISTLE BLOWER.
Whistle Blower wa wp???....ujinga ujinga tu...nae angefata utaratibu wa sheria angeenda polisi wafungue jalada la uchunguzi juu ya tuhuma zilizozagaa...kwa ujinga wake anageuza kanisa lake kama sehemu ya mahakama kusikiliza ushahidi..na kutoa hukumu..this is stupid....kila mtu angefanya hivyo kukiwa na tuhuma dhidi ya jambo fulani ...basi unaenda kwenye kijiwe chako kuhukumu...nchi haiendi hivyo bidada jiongeze
 
Whistle Blower wa wp???....ujinga ujinga tu...nae angefata utaratibu wa sheria angeenda polisi wafungue jalada la uchunguzi juu ya tuhuma zilizozagaa...kwa ujinga wake a ageuza kanisa lake kama sehemu ya mahakama kusikiliza ushahidi..na kutoa hukumu..this is stupid
Hata kama mnajiona mko juu ya sheria na kuita whistle blowing ni ujinga you are days are numbered.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom