Wengi walifahamu kuwa elimu ya RC ina utata lakini hakuna aliyethubutu kufungua mdomo, leo hii Gwajima ameliweka hadharani tena amemleta mzee kutoka kijiji cha Kalomije anaemfahamu RC tangu enzi anasoma shule ya msingi kwa jina la Daudi Bashite.
Gwajima alikua amepanga mipango ya kuweka swala bayana J2, Ijumaa anawekwa ndani kumfunga mdomo.
FREE GWAJIMA, HE IS A WHISTLE BLOWER.
.
24 Nao waliposikia, wakampazia Mungu sauti zao kwa moyo mmoja, wakisema, Mola, wewe ndiwe Mungu, ndiwe uliyefanya mbingu na nchi na bahari na vitu vyote vilivyomo;
25 nawe ulinena kwa Roho Mtakatifu kwa kinywa cha babaetu Daudi, mtumishi wako,Mbona mataifa wamefanya ghasia,Na makabila wametafakari ubatili?
26 Wafalme wa dunia wamejipanga,Na wakuu wamefanya shauri pamojaJuu ya Bwana na juu ya Kristo wake.
27 Maana ni kweli, Herode na Pontio Pilato pamoja na Mataifa na watu wa Israeli, walikusanyika katika mji huu juu ya Mtumishi wako mtakatifu Yesu, uliyemtia mafuta,
28 ili wafanye yote ambayo mkono wako na mashauri yako yamekusudia tangu zamani yatokee.
29 Basi sasa, Bwana, yaangalie matisho yao; ukawajalie watumwa wako kunena neno lako kwa ujasiri wote,
30 ukinyosha mkono wako kuponya; ishara na maajabu vifanyike kwa jina la Mtumishi wako mtakatifu Yesu.
31 Hata walipokwisha kumwomba Mungu, mahali pale walipokusanyika pakatikiswa, wote wakajaa Roho Mtakatifu, wakanena neno la Mungu kwa ujasiri.
.
WAAMINI KWA NIA MOJA MUITENI MUNGU JUU YA DHULMA HII YA WATAWALA DHINI YA KANISA.
MAANA MTU YULE ALIYEWASINGIZIA DAWA ZA KULEVYA WATUMISHI KULICHAFUA KANISA ,NDIE SASA ROHO MBAYA KAMA ILIYOMWINGIA YUDA ISIKARIOTE DHIDI YA YESU, IMEMWINGIA NA IMEMTUMA KUKIJAZILIZA KIKOMBE CHA UOVU WAKE.