Godbless Lema: Ujumbe wa CDF ulikuwa unamlenga zaidi Rais kuliko Wakimbizi aliowazungumza

Nwm ndiyo nani,unaogopa nini kutaja jina Kama siyo mnafiki!?
NWM=Naibu waziri mkuu was sokomoni!!!

Acha kututia aibu na wewe vipi!!?

Wanataka kutuongoza from a far Kwa kumtumia mole huyo!!

Yaani kama huyo Jamaal akapenya akawa ndie tunaongozwa kutokea milima ya Ruhengeri kupitia USA kuleeee!!

Nadhani!!
 
Kauli ya cdf,muono na mtazamo was lema!
Pamoja na hashtags za kigogo eti "JESHI LIMETAWALA"
zinanifanya nianze kuhisi mambo sio shwari kama oxygen tunavoivuta!!

Wakati huo;-

1.Mlinzi mkuu wa jk ameitwa na Bwana was majeshi!

Hatujakaa sawa

2.Mstaafu was medani za kivita jeshini name kaitwa na Bwana was majeshi!

Hatuja Kaa saw;-

3.mzee mwinyi nae yupo huko hospitali anatibiwa nae!!!

Ngoja nisi complicate labda no akili zangu ndogo zinanisumbua!

Wakati hayo yakiendelea Makonda no Raise myendaji mwenye kuwajibisha Hadi mawaziri wakati Raise aliyeapa yupo na katulia tuliiiii kama maji mtungini,kina Bashe nao wanatunisha misuli!!!

Ebanaaeh!saa kumi simba anacheza tukacheki gem!!

Weekend njema wakuuu!!
Parakatumba
 
Kauli ya cdf,muono na mtazamo was lema!
Pamoja na hashtags za kigogo eti "JESHI LIMETAWALA"
zinanifanya nianze kuhisi mambo sio shwari kama oxygen tunavoivuta!!

Wakati huo;-

1.Mlinzi mkuu wa jk ameitwa na Bwana wa majeshi!

Hatujakaa sawa

2.Mstaafu was medani za kivita jeshini nae kaitwa na Bwana wa majeshi!

Hatuja Kaa saw;-

3.mzee mwinyi nae yupo huko hospitali anatibiwa nae!!!

Ngoja nisi complicate labda ni akili zangu ndogo zinanisumbua!

Wakati hayo yakiendelea Makonda ni Rais mtendaji mwenye kuwajibisha Hadi mawaziri wakati Rais aliyeapa yupo na katulia tuliiiii kama maji mtungini,kina Bashe nao wanatunisha misuli!!!

Ebanaaeh!saa kumi simba anacheza tukacheki gem!!

Weekend njema wakuuu!!
Hahahahhaha vipi huko AFCON
 
special mental case
Tafadhali naomba tu kujua hivi Viingereza vyako Viwili vibovu na ulivyovichapia ulijifunzia wapi? Kwani ungeandika tu kwa Lugha yetu ya Kiswahili usingeeleweka na kuonekana ni Msomi kama unavyotaka wakati kumbe ukweli ni kwamba UMEVIMBIWA UPUMBAVU mwingi?

Screenshot_20240202-203850.png

Screenshot_20240202-205325.png
 
Back
Top Bottom