Godbless Lema avuliwa ubunge

Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
kamam kuna typing aerror msnisamehe but abar za uhakioka kabsa noi kuwa Lea,ma aawachane na mpango Wa kukata rufanins kwani MagAmvba waTAchelewesha Kesi makKusiudi. na pia wanadsema alishitakiwa PIA na wmwanasharia mkuua wa serekalI lakini yeye weREma aMEKaRTIA rufaa.

stay tune.
This is childish...Tuna kindergatten humu eeh?
 
hapo safi sana ufanyike mapema kabla ya vuguvugu la Arumeru halijapoa

nimeipenda signature yako lakini ningependa uongeze hii
frustration is given by expectationdivide by
outcome
ie
frustration = expectation/outcome
frustration=expectation/outcome= when the answer is above one
 
Wewe ni Mtanzania kweli?!Lazima ni Mjapani au Mchina aisee.
 
Hizi gharama zote za uchaguzi anabebeshwa mwananchi, Lini tutaachana na hizi chaguzi ndogondogo.
 
Mwezi mei tunafanya uchaguzi. Nimefanya rearch ya haraka haraka, nimekuta tayari CDM wana kura zaidi ya elfu tisini. Kwenye research yangu nimehusisha vyama peke yake.
 
huyu jamaa ni mtu anayeanzisha jambo bila kuwa na strategy

ajira milioni moja,maisha bora kwa kila mtanzania,mabilioni ya rais,kuvua gamba

what a failure
 
Chondechonde CHADEMA,Tufanye kitu kitakacho waadabisha CCM milele!
Tutumie nguvu ya wastan kwenye kampeni,na nguvu intensive itumike kuwasih wana Arusha kwenda kupiga kura!
Kulinda kura iwe suala la kufa na kupona!
HAKIKA TUNAWEZA,
Lema,president of ARUSHA!
 
Mwezi mei tunafanya uchaguzi. Nimefanya rearch ya haraka haraka, nimekuta tayari CDM wana kura zaidi ya elfu tisini. Kwenye research yangu nimehusisha vyama peke yake.

Aiseee magamba watajutia sana maamuzi yao maana watapata kipigo cha mbwa Arusha. Kipigo hicho kitakuwa ni salamu kwa JK na mikoa mingine kuwa CCM haitakiwai hata kuzimu alipo shetani.
 
kamam kuna typing aerror msnisamehe but abar za uhakioka kabsa noi kuwa Lea,ma aawachane na mpango Wa kukata rufanins kwani MagAmvba waTAchelewesha Kesi makKusiudi. na pia wanadsema alishitakiwa PIA na wmwanasharia mkuua wa serekalI lakini yeye weREma aMEKaRTIA rufaa.

stay tune.
dah! mkuu unalikata gogo nini? maliza kwanza ndo uposti labda una point at...
 
rais huyu ameletwa kwenu na nec, kwa msaada wa watu wa usalama

mwaka 2010 - viongozi wa dini (maaskofu na masheikh) ndo waliomba cdm wakubali matokeo.

Wizi wa kura za uraisi ulikuwa wazi kabisa. Sasa madhara ya kumsamehe huyu vasco da gama ndo haya.

Tumeepusha shari ila matendo yake yasio na huruma kwa watanzania ndo yataleta shari.

Ni kwamba 2010 tuliahirisha shari tu, ila jamaa atatugharimu sana watanzania.

Kulingana na maoni na hasira za wana arusha, ni wazi kuwa damu inaweza kumwagika na itakuwa mbaaayaa saana.

Nimesikia tetesi kuwa ccm wameapa kuchukua jimbo la arusha kwa njia yoyote.

Na wananchi wa arusha wameapa kumpa cdm kura zote.

Hapa itakuwa wananchi vs dola ya mafisadi.

So wananchi watapiga kura halafu wao watajifanya wanachakachua. Hapo ndipo damu itamwagika.

Kwanza tayari raisi ameshamwaga damu arusha january 05, anatakata kuongeza nyingine.
 
Lema akate rufaa kwa wananchi, hakuna haja ya kwenda mahakamani. Ubunge ni wake magamba wanatapatapa. Jaji anataka apewe cheo na mkuu wa kaya
 
Chadema mposti akaunti ya benki tuanze kuchanga angalau tilioni 1. Tunaweza. Weka, weka akaunti watanzania tuna huzuni ya zaidi ya kufiwa kufiwa....hatukubali...hakuna kukata rufaaa,,, piiiipooooooooz!!!

Bora kufa na njaa kuliko kuchukuliwa mateka
 
kwa wenye data,chaguzi ndogo mfano arumeru inaigharimu serikali sh ngapi?miaka mitano itapita tunakimbizana na chaguzi ndogo tuuu!kodi inapotea,mwananchi haletewi maendeleo wala hatekelezewi ahadi alizopewa,wabunge kutoka vyama vyote watajikuta hawajatekeleza chochote jimboni kwao!hasara kwako,hasara kwangu,hasara kwa kila mmoja wetu,HASARA KWA TAIFA!
 
Hapa inakuwaje tena Lema alipie gharama za uchaguzi au ndo lengo la kumuua kiuchumi aonekane hana fedha za maendeleo jimbonj wanajua bado ni mbunge

ngoja wanasheria waje wafafanue kisheria zaidi,lakini kwa upeo wangu wa mwananchi wa kawaida anayeshindwa kesi analipa gharama za kesi husika!
 
Hizi gharama zote za uchaguzi anabebeshwa mwananchi, Lini tutaachana na hizi chaguzi ndogondogo.

kwenye katiba mpya lazima tulizungumze hili pamoja na viti maalum!tutaweka option mbili wananchi tuamue,mbunge akiondoka madarakani kwa namna yoyote ile basi 1.chama chake kiteue mbadala wake au 2.aliyekuwa mshindi wa pili achukue nafasi yake endapo tu tofauti ya kura kati yake na mshindi iko ndani ya 10%!refer matokeo jimboni kwa marehemu regia mtema!

watu wataamua tuachane na chaguzi ndogo!
 
kwanza naomba niwe tofauti kidogo
tukirudi nyuma uchaguzi wa karatu 95 dr alishinda uchaguzi wa ubunge ila hakupata madiwani wa kutosha akasubiri hadi 2000 kwenye kampeni zake alieleza wazi madiwani wa ccm ndiyo kikwazo kwenye kuwaletea maendeleo watu wa karatu hivyo tumpe madiwani wa kutosha .

tulimwelewa tukampa madiwani wengi tu wakachukua halmshauri mpaka leo tuje kwa mh lema anataka shortcut hana subira kweli alishinda ubunge lakini madiwani walizidiwa kwa hiyo ni wazi ccm ingeongoza manispaa na ukifuatilia chokochoko ilianzia uchaguzi wa meya wa jiji my take lemd next time jifunze kutoka kwa wabunge wengine na uwe na subira .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom