Wana JF napenda kuwataarifu kuwa CDM inakata rufaa dhidi ya hukumu kwani kifungu alichosoma Judge kinamzuia Lema kugombea kwa miaka mingine mitano,nikirpoti kutoka Arusha mjini ni mimi mgeni wenu wa JF
unapeleka wapi mkuu haya ndiyo matumizi ya pesa kwetuFedha zangu za kodi jamani oneni huruma!!!!!!!!!!!
Hizi chaguzi zimekuwa too much sasa.
Kuna thread kule jukwaa la siasa inaelezea mkanganyiko wa vifungu alivyotumia judge. Alichotamka sicho kilichoandikwa!
Napenda kuwapongeza viongozi wa Chadema, kwa uamuzi wa kuamua kutokukata rufaa, ili kiongozi wetu asiwe mbunge wa rufaa. Big up Mh. Lema, tupe a/c tuweze kuchangia pesa waliokuambia ulipe fasta. Peoples... Power... Source: BBC