Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,514
Yale yale ya Arumeru.Hata mumsimamishe Slaa, hampati kitu hapa. CCM tumejipanga kulichukua hili jimbo hata kwa bilion 900. Mtajibeba!!!
Yale yale ya Arumeru.Hata mumsimamishe Slaa, hampati kitu hapa. CCM tumejipanga kulichukua hili jimbo hata kwa bilion 900. Mtajibeba!!!
magessa mulongo..,mkuu wa mkoa wa arusha..,na ndiye aliyeshinikiza kipindi flani godbless lema atupwe rumande
jaji gabriel rwakibira..huyu ndiye aliyepindua ubunge wa lema kwa kuhongwa na mafisadi
naomba jina la hakimu aliyehukumu kesi hiyo......
Slaa ubunge si sizi yake mwache alee vijana wa kupambana na majukwaaCCM wanasubiri Lema asimamishwe kugombea tena na watamuwekea pingamizi, lakini pia watatumia sana hoja ya kwa nini wachaga waongoze Arusha, hivyo watawagawa wananchi.
DR SLAA kwa sasa ubunge si saizi yake mwache alee vijana wa kazi
Sasa kwa sababu Watanzania tunatarajia kumkabidhi nchi Dr Slaa mwaka 2015, nadhani itakuwa vizuri kama nafasi ya Ubunge ya Arusha mjini tukimweka Dr Slaa ambaye nina uhakika atashinda kwa asilimia 98.
Viongozi wa CHADEMA liangalieni hili, kaeni chini na Lema, na Lema apewe majukumu mengine ya chama.
Slaa kuwa mbunge itakuwa ni nafasi nzuri ya kujiandaa kuongoza taifa kuanzia mwaka 2015.
Tunaomba mtuwekee argument za Muheshimiwa Judge tuweze kujua logic manake sikuona taratibu zilizopindishwa zaidi ya mtu kusema sio mkazi, ni mjamzito na ataolewa na ana ujauzito wa EL.Lema kavulia ubunge rasmi...
Hii ni taarifa rasmi toka hapa mahakamani!
Kama watu wakiielewa kauli hii wala hakuna shida kabisa kuizika CCM, mimi nawasubili jimbo la Segerea, halafu hivi Majaji kama hawa hawalogeki hata kwa majini?.....nina babu yangu ana majini ya kutosha kabisa!!
Yaani we Masikini kweli.Mungu wanamkumbuka kitambo ndio maana anawaonyesha njia ya kuiondoa CCM madarakani.Arumeru wamekwambia Walianza na Mungu wakamaliza na Mungu.Sasa Arusha the same applies,kama unajua kiingereza,maana najua nyie na Kiarabu Kiarabu na nyinyi.Arusha tunakuja kihivi:"Uweza Watoka JUU"
This is an insult. Hapa mnamaanisha sisi hatutakiwi CDM, maana yake na narudia tena maana yake CDM ni chama cha kikristo na wakristo tu!!
Hivi ni kwamba wewe hujasoma alichokiandika mleta uzi huu au unafanya kusudi? kama hujasoma unawezaje kuchangia? Mbona imejieleza wazi kabisa, au huna cha kuuliza?Duh noma sana! Mbona hapakuwa na ushahidi? je anaruhusiwa kugombea?
Jaji...poleni makamanda:A S cry:naomba jina la hakimu aliyehukumu kesi hiyo......