makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,219
Chadema msijazane ujinga bana ,bwana Lema ameona asikate rufaaa kwasababu anauhakika ashapoteza hivyo na kweli alifanya upuuzi kutoa lugha chafu, ,mbunge gani anafujo namna hiyo na kuutukana mkono uliomlisha toka akiwa mdogo, sasa kakua anajikuta na yeye anamabavu ya kuleta fujo na matusi sasa imemcost...
Chivalrous,
Acha ujinga wewe.
Hayo matusi ya Mhe. Lema kama kweli yapo yanazidi yale yaliyokuwa yakiporomoshwa na Mbunge Kihiyo wa Mtera Bwana Livingstone Lusinde kule Arumeru Mash pamoja na wajinga wenzake kina Mwigulu Mchembe,Waziri wa Usingizi-Wassira na Fisadi Mkuu Bwana Mkapa???.
Basi tunataka Livingstone na Wassira nao Mahakama ziwavue Ubunge maana wameenda kuporomosha matusi tena kwenye jimbo lisilo la kwao!!! CCM,Polisi,Mahakama na UWT wanafikiri kuwa wanaweza kucheza na akili za Wadanganyika kama wapendavyo! CCM days are NUMBERED,wafanye wafanyavyo siku zao zinahesabika.
Pambaf zao.