mtume pauli
Member
- Mar 8, 2012
- 44
- 6
mimi nimeskitika sana hata easter yangu yote imeharibika. ushauri naomba lema asigombee tena badala yake apewe majukumu ya ukatibu mkuu azunguke vijiji vyote kukijenga chama. Dr. slaa akagombee pale arusha mjini kwa hakika atashinda na itakuwa aibu kwa ccm. kwa kuwa 2015 chadema itashinda na kuchukua dola hii mizengwe itakuwa imeisha lema atakuwa na uhakika wa kumiliki arusha ama sehemu yoyote hapa tz. vinginevyo hawa mafisadi wamepanga kuja kuweka pingamizi. hii nchi kikwete ameshaiharibu mkono wa sheria umeegemea upande wa ccm.