NICE LAMECK
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 213
- 28
Sioni haja ya kukata rufaa tusubili uchaguzi mwingine hao magamba watakuwa wamejimaliza wenyewe chama kisiofie gharama wakereketwa tutachangia waseme badget yao ya uchaguzi huo pale watakapokuwa wamekaa sawa.