Sheria zinasemaje? ataruhusiwa kugombea tena?
Ya!!! Uchaguzi mdogo una manufaa makubwa kwa upande wa CHADEMA kwani chama kinazidi kujitangaza zaidi, na kila uchaguzi mdogo utakapo kuwa unafanyika ni wazi CHADEMA itaibuka mshindi.duh!!! uchaguzi mdogo tena
ndiyo, mahakama imemruhusuSheria zinasemaje? ataruhusiwa kugombea tena?
Chadema na helicopter yenu ndio mshapoteza jimbo hivyo sasa CCM ndio watashika hatamu hapo mjini ,mtake msitake ubunge wa Arusha mjini utakwenda kwa CCM,
Mhhhhhhh kwa hyo pesa zingine tena zinaenda kuchezewa tena ?? au hakutakuwa na kampeni tena?? Hivi kweli tutafika kwa mtindo huu??
Umefufuka????hayo ni maneno ya losers...
CDM inatia huruma sana, juz tu mmeshangilia kuongeza mbunge, leo tena mnaomboleza kumpoteza mwingine!!!Ama kweli ng'ombe wa maskini hazai!!
Godbless Lema wewe bado ni Mh. Mbunge wetu tutapiga kura tena kudhihirishia ulimwengu wote na mafisadi wote kuwa wewe ni chaguo la wananchi wa Arusha.
Tupo Pamoja Brother.
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeees Power