sikudhani kama mahakama imeoza kiasi hiki cha kuamua kukataa mbunge halali
aliechaguliwa na wananchi kwa kura halali
kama suala la matusi basi kila mbunge alitukana mbona nao hawajapigwa chini?
hapa iko namna na nijuavo watu wa Arusha hakutakalika
Wasikate rufaa watashinda ila kwa sasa mahakama ndio imepoteza hadhi yake kabisa
jaji kama yule sikudhani kama hatatumia busara ya kujali chaguo la wananchi,kuangalia garama za kurudia uchaguzi ni kubwa sana ,jaji mzoefu hatumii sheria peke yake anaangalia vigezo kama hivo kutoa tathimini kama hali halisi ya uchumi na athari zake na pia anapima hasara
amejihabribia, kaharibu sifa ya mahakama na wananchi. shame on him
Kumbe na humu kuna wanasiasa uchwara, kila kitu kahongwa, hata kule kigoma alihongwa? Tukitaka mambo yaende vizuri hapa tufanye mjadala bila kuegemea upande mmoja.
Hawa ndo majaji walioteuliwa na kilaza kwa mkupuo. ni mazao ya wanyang'anyi. Utofauti wa kura kati ya Lema na yule Mama ni mkubwa muno na ambao Jaji angeweza kupima. But, kuna Polisi hapo Arusha alisema itamtia kidole. Ni aibu kwa Mahakama zetu kuwa kitengo cha matakwa ya wanasiasa. but, tuko ukingoni mwa ukombozi wa taifa letu.
Wanamageuzi amkeni M4C ndio kwanza inaanza hata kasi bado, hakuna kulala.. tumetoka AM sasa ni Arusha Mjini na hapa tutawaonyesha zaidi ya AM maana hakika hawataambulia kitu si kwa mabomu wala kwa wizi.. Rejao, Ritz, Ms, Ribosome, Pasco na wengine mpo/ Lianzisheni tena lakini ukweli mtaujua mwisho wa wakati.
CCM ingejua chaguzi ndogo ni kaburi lao ingejitahidi kuziepuka lakini ndio hivyo tena..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.