God was created when the first con-man met the first fool

Hivi nyie ma-atheist mbona sijawahi kuwasikia hata siku moja mkimpinga Shetani?

Unajua mnajivimbisha vichwa vyenu kujifanya mna akili sana kumbe hakuna kitu.

Hebu niambie, majini (Jini) ni nini na asili yake in ipi?

Mtu mweusi anastaajabisha sana. Ni rahisi kwake kuiga Imani ya mtu mweupe kuliko kuiga mambo yenye faida mf. Teknolojia toka kwa mtu mweupe.

Ni ushamba unawasumbua na sio kingine.

Shetani hajikwezi kipuzii..
Nae pia haexist zaidi ya imagination ndani ya vichwa vya binadamu vilivyojazwa ujinga na woga hasa na huyo mungu wenu
 
Sio kwamba Mungu hayupo, hata wewe pia ni Mungu. Shida inakuja vile tunavyomchukulia huyu Mungu sijui kumwabudu, kumsifu kumtolea sadaka n.k hapa ndipo tulipologwa na wazungu. Hakuna Mungu wa aina hiyo Mungu ni Mimi na wewe yaani sisi ni Mungu.

Bora kunawatu kama ww na mm tuliojiokoa kwenye huu utumwa wa miunguu watuu matapeliii wakutupaa
 
Nitaendelea kuamini Mungu yupo hata Kama hayupo maana sipungukiwi na chochote.
Uwoga huzaa woga ....na Dhambi huzaa Mauti..

amini unacho kiamini leo,kesho sio yako Je ni nani mwnyewe uwezo wa kuamini vyote.....kuwa mbingu na ardhi vina shabiana.....kama huwezi hli kwanini una mashaka na Mungu....
 
Niambie kaka.

It's the return of the prodigal son
The rerun of the profligate Khan, Don
Ayatollah of atheism, JF my Iran
I Ebola the catechism, they better run
Huu Uzi usingekuwa kwenye viwango bila ww Mkuu.. Karibu tena
 
Kabla ya kujibu, naomba unieleze uelewa wako wa neno "wanga".

Mtu anaposema "wanga", hilo neno unalielewaje?

Nauliza hivi ili tuwe pamoja, nijibu unachouliza, si ninachofikiri umeuliza.
Daah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapa ndio upo nifurahishaga... Kiranga kwenye ubora wake
 
Attachments

  • Screenshot_20190701-142411.png
    Screenshot_20190701-142411.png
    47.6 KB · Views: 18
Wame fail wapi?...Hata fundamentals za Modern Physics unazifahamu wewe?

Na hio First cause kwanini iwe ni Mungu Tena Specific God with Human attributes?....Kwanini kisiwe kingine
Mkuu unajua mipaka ya ulimwengu iko wapi?Je sayansi na wanasayansi wamekupa jibu la mipaka ya ulimwengu ilipo?
 
Nitamuuliza tu "ilikuwaje aniumbe njiwa halafu anikataze kula mtama" basi hilo tu_ akinijibu roho nitakabidhi kwake

Tatizo huwa mna matatizo ya namna ya kufikiri vizuri,hii ina sababishwa na sababu nyingi sana ikiwemo tamaa.

Hivi una uhakika ni kweli binadamu ameumbwa tu hivi hivi bila kupewa ala na nyeno za kukabilian an changamoto anazo kutana nazo kila siku na asijue namna ya kuziepuka ?

Mwanadamu alivyo umbwa hakuachwa hivi hivi,akapewa uhuru wa kuchagua kwa maana akipenda atashukuru na akipenda pia atashukuru,lakini akapewa akili,akapewa hawasi na haikutosha Mola wetu akachagua miongoni mwa waja wake akawafanya kuwa mitume na manabii kwa lengo la kutukumbisja kurudi kwa Mola wetu katika kumtii,haya yote hamyaoni.

Vipi huwa mnafikiri nyinyi ? Kufikiri kwa namna hii hata mtoto mdogo hawezi kufikiri kama mnavyo fikiri nyinyi. Umetoa mfano ambao si sahihi,na hili ni tatizo ninalo liona kwenu yaani mnachukua vitu nusu na kufikiri kwa upande mmoja,yaani kufikiri juu juu. Njiwa ni "Hayawani" katika viumbe wasio na akili,vipi akatazwe kula mtama wakati hana nyenzo ya kumfanya ang'amue baya na ovu ? Lakini wewe ni binadamu una akili na umepewa nyenzo za kukusaidia kujua baya lipi uliache na jema lipi ulifanye ?

Kama hujaelewa maelezo haya mafupi,niambie ili nike nikutolee mfano au mifano,huenda ukaelewa.

Nipo ...
 
Niishie kusema belief has no place where the truth is concerned, and the truth God is just an illusion in Your imaginations

Unaweza kinitenganishia kati ya Imani na mashaka ?

Au niambie,tu Imani ni nini au kuamini ni nini ?

Ukishindwa kunipa maana ya Imani,nitakuuliza kwanini umeamua kuongelea mambo ambayo huna elimu nayo ? Je hivi ndivyo ukivyo fundishwa na walimu wako ?

Tuendelee....
 
Mkuu
Labda mimi ni msaidie kidogo, na nikelimishe na wewe mfia dini usieelewa hataulichofunzwa na hao wachungaji/matapeli..

Belief..ni kuamini mambo usio yajua yani ni umbumbumbuu wakitu usichokielewa
 
Hakuna maana ya hii ya Imani. Nakufundisha wewe sasa, Imani ina vijenzi vitatu bila vijenzi hivyo haiwi Imani.

1. Kusadikisha moyoni.
2. Kutamka kwa ulimi.
3. Kufanyia kazi viwili hivyo,yaani kutenda kwa imani unayo iamini.

Asili ya tamko imani,ni la kiarabu,mwenye kuamini jambo fulani huwa hana shaka juu ya jambo hilo,ndio maana nikakuuliza swali la mtego,uka chemka. Hata wakana Mungu wana amini ya kuwa Mungu hayupo na huwa hawana shaka juu ya kuamini kwao huko,kwahiyo wanakuwa wamesadikisha moyoni,wakatamka kwa ulimi na kutenda kwa kile wanacho kiamini.

Imani kwa mujibu wa usawa na kinyume chake,kuna imani potofu na imani sahihi,ama ya kwanza hii inakuwa imejengeka katika ujinga na matamanio ya nafsi kama vile imani ya ukana Mungu,imani za kishirikina na mfano wake,na hii ya pili ni ile iliyo jengeka katika elimu na uhalisia.

Kwahiyo,imani potofu imejengeka kwa ujinga na matamanio na imani sahihi ya kweli imejengeka katika misingi ya elimu.

Sasa,nakupa tahadhari siku nyingine usiongee au kuandika jambo usilo kuwa na elimu nalo.
 
Mkuu
Labda mimi ni msaidie kidogo, na nikelimishe na wewe mfia dini usieelewa hataulichofunzwa na hao wachungaji/matapeli..

Belief..ni kuamini mambo usio yajua yani ni umbumbumbuu wakitu usichokielewa

Hakuna maana ya Imani ya sampuli hii.Nakufundisha wewe sasa kubusu Imani, Imani ina vijenzi vitatu bila vijenzi hivyo haiwi Imani.

Wewe unachanganya madesa hapa..
Na jamaa hapo kadefine vema kua imani ni dogma mliyolishwa pale mnaposhindwa kutumia logical thinking kukabiliana na mazingira yenu na mnaishia kwenye imani kusadikika ie yesu mungu shetani na upuzi mwingine

Athiest hana imani shekhee..
Logical thinking ndio pricipal, sasa nyny wafia dini mnakuja kuleta ma imani yenu kwenye mambo ya msingi, Lazma yawe addressed tuwafumbue macho angalau..
 
Wewe unachanganya madesa hapa..
Na jamaa hapo kadefine vema kua imani ni dogma mliyolishwa pale mnaposhindwa kutumia

Kuarifisha sio kigezo tatizo ni je maana aliyoitoa ni sahihi na je ipo ? Hakuna maana ya Imani kama aliyoitoa huyo.
logical thinking kukabiliana na mazingira yenu na mnaishia kwenye imani kusadikika ie yesu mungu shetani na upuzi mwingine

Misingi ya logic nani ameiweka ? Na kwanini tuiamini ?

Unaweza kutumia logical thinking kujua ukweli juu ya kifo au kujua kwanini tupo duniani nje ya dini au kwanini ?

Suala la Yesu kuwa Mungu hil kwa wengine,suala la uwepo wa shetani najua lip,tatizo lenu ni kuwa hamuwezi kukanusha mambo kielimu.

Mathalani unaweza kutumia logical thinking kukataa uwepo wa Shetani ? Haa nazungumzia ile misingi ya elimu ya Logic maan hata sisi tunaijua ila tuliona inatufanya kuwa wajinga.
Athiest hana imani shekhee..

Ndio maana nikasema huwa hamjui nini mnacho kiegemea.

Atheism ni dini ambayo misingi yake imejikita katika kumkana Mungu. Kwa maana wao wanaabudu akiki zao na fikra na uhuru usio kuwa na mipaka.

Imani kama nilivyo kwambia,hivi unaweza kuamini jambo usilo lijua na ukaita imani,kwanza vipi liwezekane hilo ? Hakuna maana ya imani kama aliyoitoa mdau.

Nakumbuka nilikuuliza swali,na kama si wewe basi nakuuliza swali. Je Imani ina kaa pamoja na mashaka ? Je unaweza kuitenganisha imani na kujua ?
Logical thinking ndio pricipal, sasa nyny wafia dini mnakuja kuleta ma imani yenu kwenye mambo ya msingi, Lazma yawe addressed tuwafumbue macho angalau..

Kasome historia ya Elimu ya logic,kisha uje nikuonyeshe udhaifu wa misingi ya kufikiri kwa logic na kwanini huwezi kuujua ukweli kupitia logical thinking.
 
Tatizo huwa mna matatizo ya namna ya kufikiri vizuri,hii ina sababishwa na sababu nyingi sana ikiwemo tamaa.

Hivi una uhakika ni kweli binadamu ameumbwa tu hivi hivi bila kupewa ala na nyeno za kukabilian an changamoto anazo kutana nazo kila siku na asijue namna ya kuziepuka ?

Mwanadamu alivyo umbwa hakuachwa hivi hivi,akapewa uhuru wa kuchagua kwa maana akipenda atashukuru na akipenda pia atashukuru,lakini akapewa akili,akapewa hawasi na haikutosha Mola wetu akachagua miongoni mwa waja wake akawafanya kuwa mitume na manabii kwa lengo la kutukumbisja kurudi kwa Mola wetu katika kumtii,haya yote hamyaoni.

Vipi huwa mnafikiri nyinyi ? Kufikiri kwa namna hii hata mtoto mdogo hawezi kufikiri kama mnavyo fikiri nyinyi. Umetoa mfano ambao si sahihi,na hili ni tatizo ninalo liona kwenu yaani mnachukua vitu nusu na kufikiri kwa upande mmoja,yaani kufikiri juu juu. Njiwa ni "Hayawani" katika viumbe wasio na akili,vipi akatazwe kula mtama wakati hana nyenzo ya kumfanya ang'amue baya na ovu ? Lakini wewe ni binadamu una akili na umepewa nyenzo za kukusaidia kujua baya lipi uliache na jema lipi ulifanye ?

Kama hujaelewa maelezo haya mafupi,niambie ili nike nikutolee mfano au mifano,huenda ukaelewa.

Nipo ...
Ngumu kweli kukuelewa mufti ukiwa unafafanua Jambo

Yaani ni kama unakitabu unakitumia kufafanulia hoja za watu humu..huwi wewe Sijui kwa nini.!? Inaleta uvivu wa reply
 
Itabidi nibadilishe namna ya uandishi.

Niambie wapi hukaelewa nikueleweshe.
 
Ukweli ni kwamba mungu muweza wa yote na mjuzi wa yote mwenye uwezo wote aliyeumba huu ulimwengu ambao una mabaya ya kila aina hayupo, angekuwepo kusingekua na mabaya wala kutilia shaka juu ya uwepo wake
Mungu yupo yeye kaumba wewe Ndio unahukumu ubaya na uzuri wa uumbaji wake kwa kutumia illusive faculties zako. Nothing you see, touch or feel is real. The real thing does not change.
 
The belief that God sacrificed God to God to save God's creation from God.
Huitaji kutumia nguvu kubwa sana kama akili yako inaupeo wa kufikiri japo surface thinking..
Wengi wenu humu mmelishwa dogmas na mmeishia na imagination kila mtu na zake juu yuu ya mungu anafananaje/yukoje na yupo wapi..
Niishie kusema belief has no place where the truth is concerned, and the truth God is just an illusion in Your imaginations
hata kuamin hakuna Mungu ni imagination na dogmas mliolishwa na hao ma-socialist vilevile....if to believe on God is foolishness I decide to be stupid
 
The belief that God sacrificed God to God to save God's creation from God.

Huitaji kutumia nguvu kubwa sana kama akili yako inaupeo wa kufikiri japo surface thinking..

Wengi wenu humu mmelishwa dogmas na mmeishia na imagination kila mtu na zake juu yuu ya mungu anafananaje/yukoje na yupo wapi..

Niishie kusema belief has no place where the truth is concerned, and the truth God is just an illusion in Your imaginations
Shibe mwana malevya kwa kweli. Yaani tukiona kakitu kokote tunauliza mtengenezaji wake (maker) ila sisi hatuamini kama kuna aliyefanya tukawepo. hiyo miti, hayo mawe, hizo bahari muumbaji wake ndiye Mungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom