Tatizo humu ndani WATU WANAJADILI KIPOPOMA POPOMA, NARUDIA TENA, WATU NI MAPOPOMA.
★WANAOAMINI UWEPO WA MUNGU NI MAPOPOMA.
★NA WALE WASIOAMINI UWEPO WA MUNGU NAO NI MAPOPOMA VILE VILE
kila mtu badala ajenge hoja, anavutia upande wake kwa kuongozwa na hisia,mihemko na pre-conceived perceptions. Hamuwezi kujadili mkiwa nyutro (neutral)??? Mjenge hoja za kueleweka??
Kwa mfano, WASIOAMINI UWEPO WA MUNGU MTWAMBIE UHAI ULITOKA WAPI??? mmkiulizwa mnaruka ruka tu na kukwepa maswali, utasikia NINI MAANA YA...UNAELEWA NINI KUHUSU...UNAMAMISHA NINI UNAPOSEMA...msikwepe maswali, jibuni maswali popoma nyie.
NA WALE WANAOAMINI UWEPO WA MUNGU (WA KWENYE VITABU) mjibu maswali Kama yanavyoulizwa, sio mnaruka ruka tu, popoma nyie.
Huyo Mungu wa kwnye biblia, ameshindwa kumuua shetani ili kuondoa shida zote???
Mungu wenu anaweza yote, anaweza KUSEMA TU (kwa kuwa mungu wenu ana mdomo) NAAMURU SHETANI ANGAMIA, TEKETEA KUANZIA MUDA HUU, NAKUFUTILIA MBALI MILELE NA MILELE USIWEPO TENA WATU WANGU WANIABUDU KWA MAISHA YAO YOTE.
ila Sasa, badala yake, KUANZIA PALE EDENI Mungu mwenyewe alishindwa kumuua kwa mikono yake mwenyewe wakati alikuwa na uwezo wa kumkamata na kumfutilia mbali.
Akaamua kutumia gharama ya kumtuma Yesu aje duniani, IKACHUKUA MIAKA 30+, Cha ajabu Sasa, kwa miaka yote hiyo eti mission ilikuwa kumnyang'anya ufunguo shetani, SERIOUS????
Niltgemea labda Yesu angekuja kumuangamiza shetani kabisa, futilia mbali hukoo..eti akazama kuzimu, akasota siku sijui 3, yote hayo kwa lengo la lupokonya ka ufunguo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
MASWALI
1 Je, ardhi ina mlango, komeo na kufuli??
2 toka shetani apokonywe ufunguo kumekuwa na unafuta gani katika maisha ya maanadamu??
3 Ni ukombozi gani aliouleta huyo yes wenu kwa mwanadamu kiafya, kiimani (kutotenda dhambi) na kiamani (kaleta amani duniani)????