God was created when the first con-man met the first fool

Wewe unauelewa mpana sana..
Nashkuru kunawachache msio watumwa wa hii miiungu watu wa vatican/israel/macca
wanasayans wakubwa kama sir isac newotn wakin plancks wanaamini kuna Mungu ..sasa kuna walevi wametoka wapi sijui et wana pinga.... ngoja nikuulize swali unaamini yesu aliishi hapa duniani??/
 
Hizi doctrine za wahindi na wachina zina wavuruga sana vichwa vyenu
wanasayans wakubwa kama sir isac newotn wakin plancks wanaamini kuna Mungu ..sasa kuna walevi wametoka wapi sijui et wana pinga.... ngoja nikuulize swali unaamini yesu aliishi hapa duniani??/
 
wanasayans wakubwa kama sir isac newotn wakin plancks wanaamini kuna Mungu ..sasa kuna walevi wametoka wapi sijui et wana pinga.... ngoja nikuulize swali unaamini yesu aliishi hapa duniani??/
Na wanasayansi wasio amini mungu mbona hujawataja?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
wanasayans wakubwa kama sir isac newotn wakin plancks wanaamini kuna Mungu ..sasa kuna walevi wametoka wapi sijui et wana pinga.... ngoja nikuulize swali unaamini yesu aliishi hapa duniani??/

Awe aliishi hapa duniani au hakuishi Mimi hainisaidii CHOCHOTE KATIKA MAISHA YANGU. Watu Kama nyie ndio ana msaada kwenu, kuwapokea baada ya kufa😅😅😅
 
hujajibu swali bro...yesu aliishi hapa duniani ..unakubali au unakataa???
 
Kama ushawai kwenda kwenye show ya diamond platnum kabla ya yeye ajapanda kwenye stage kuna wasanii underground wanatoaga burudani

Nahisi ndo kitamkuta jamaa huyu siku ya kiama

"Unabidi uwe na akili kidogo ili ujue nime maanisha nini hapo juu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama unazungumzia Mungu wa kwenye vitabu vya kidini_kweli utakuwa sahihi

Lakini kuhusiana na chanzo kikuu tunachokilejerea kama Muumba_bado hutokuwa sahihi

Dunia tunayoishi ndani yake pamoja na ulimwengu wote kwa ujumla haujatokea kwa bahati mbaya

Kuna ufahamu mkuu unaojidhihirisha kwenye lugha ya vitu vionekanavyo ambayo ni ngumu kuishika kwa haraka_ila mda utaamua

Mkuu mimi nakuelewa sana..
Naweza kusema kirahisi "All is Atum" nadhani nawewe utanielewa hapa
 
wanasayans wakubwa kama sir isac newotn wakin plancks wanaamini kuna Mungu ..sasa kuna walevi wametoka wapi sijui et wana pinga.... ngoja nikuulize swali unaamini yesu aliishi hapa duniani??/

Sar issac hakua mwanasayansi pekee
kijana..na hizi takwimu zako unazitoa wapi kua aliamini katika huyu mungu wenu
 
hujanijibu swali swali bro...unamin kua yesu alikuawako hapa dunian??? au je kwann tunatumia bc kuwakilisha miaka???/ mfano 200bc
Yesu gani?

Brian deaocon?

Kama ndiye yule aliyevaa kichupi yuko msalabani namjua, tofauti na hapo kuna hitajika maelezo ya kina ili nikuelewe
 
Wanga tu hao wanataka kunila nyama kwenye ngoma ya Mahepe.

Waimbe

"Cheketu cheketu Mahepe
Nyama ya mutu, ni tamu
Kasoro kidole cha mwishooo"

Ndiyo maana mara nyingine nakaa nao mbali.
Unaamini wanga wapo?
 
Unaamini wanga wapo?
Kabla ya kujibu, naomba unieleze uelewa wako wa neno "wanga".

Mtu anaposema "wanga", hilo neno unalielewaje?

Nauliza hivi ili tuwe pamoja, nijibu unachouliza, si ninachofikiri umeuliza.
 
Wanga ni watu wanaochezea watu wengine katika hali ya kimazingara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom