God was created when the first con-man met the first fool

The belief that God sacrificed God to God to save God's creation from God.

Huitaji kutumia nguvu kubwa sana kama akili yako inaupeo wa kufikiri japo surface thinking..

Wengi wenu humu mmelishwa dogmas na mmeishia na imagination kila mtu na zake juu yuu ya mungu anafananaje/yukoje na yupo wapi..

Niishie kusema belief has no place where the truth is concerned, and the truth God is just an illusion in Your imaginations
Can you prove that illusion bro??
 
Wame fail wapi?...Hata fundamentals za Modern Physics unazifahamu wewe?

Na hio First cause kwanini iwe ni Mungu Tena Specific God with Human attributes?....Kwanini kisiwe kingine
Hahaha kikingine kipi bro.?? Toa mfano bas wa icho kingine..kwa mfano....
 
Jibu ni Rahisi tu..!
God ni simple answer ya swali lolote Lile
So wajinga wengi wanakimbilia hapo kujibu maswali magumu
Ndio swali langu linauliza hapo kwanini hiyo hali iendelee kuwepo hadi leo? ni kwamba hadi sasa hakuna aliyeweza kujibu hayo maswali magumu na ndiyo maana hadi leo bado wanaendelea tu kuamini Mungu?

Lakini pia vp wale ambao walikuwa wanakana uwepo wa Mungu ila baadaye wakaja kukubali uwepo wa Mungu,hawa unawazungumziaje?
 
The belief that God sacrificed God to God to save God's creation from God.

Huitaji kutumia nguvu kubwa sana kama akili yako inaupeo wa kufikiri japo surface thinking..

Wengi wenu humu mmelishwa dogmas na mmeishia na imagination kila mtu na zake juu yuu ya mungu anafananaje/yukoje na yupo wapi..

Niishie kusema belief has no place where the truth is concerned, and the truth God is just an illusion in Your imaginations

Kama unazungumzia Mungu wa kwenye vitabu vya kidini_kweli utakuwa sahihi

Lakini kuhusiana na chanzo kikuu tunachokilejerea kama Muumba_bado hutokuwa sahihi

Dunia tunayoishi ndani yake pamoja na ulimwengu wote kwa ujumla haujatokea kwa bahati mbaya

Kuna ufahamu mkuu unaojidhihirisha kwenye lugha ya vitu vionekanavyo ambayo ni ngumu kuishika kwa haraka_ila mda utaamua
 
The belief that God sacrificed God to God to save God's creation from God.

Huitaji kutumia nguvu kubwa sana kama akili yako inaupeo wa kufikiri japo surface thinking..

Wengi wenu humu mmelishwa dogmas na mmeishia na imagination kila mtu na zake juu yuu ya mungu anafananaje/yukoje na yupo wapi..

Niishie kusema belief has no place where the truth is concerned, and the truth God is just an illusion in Your imaginations
Sawa acha sisi tuamini hivyo hivyo
 
Kinachofanya huo uongo wa kuwepo Mungu udumu hadi leo ni nini? ni wazi inaonekana hadi leo kumekosekana ukweli wa kuweza kuondoa huu uongo na ndiyo maana hadi leo huo uongo bado upo kwa maana ukweli bado haujajulikana.
"Ukweli" bila framework hauwezi kujulikana.

Kwa sababu

1. Ukweli unategemea framework.
2. Mambo yanabadilika na muda.
3.Mchakato wenyewe wa kutafuta ukweli unabadilisha ukweli.
4.Ukweli mmoja unategemea ukweli mwingine ili kuuthibitisha
5. Hakuna ukweli unaosimama bila makisio ambayo hayajathibitishwa.

Ndiyo maana, tukiongelea ukweli, ni lazima tuongelee framework, assumptions na margin of error.

Kwa mfano

Namba kumi katika framework ya decimal system ni 10.

Lakini, ukitaka kuandika namba kumi katika binary system, huandiki 10, unaandika 1010.

Sasa mtu akikuuliza, kwa ukweli, namba kumi kitarakimu inaandikwaje?

Bila kujau framework, unaweza kuandika 10, kumbe mtu anataka kuandika machine language code za computer, na kwa binary code, kumi inaandikwa 1010.

Na hiyo hiyo namba kumi katika hexadecimal framework inaandikwa A.

Sasa bila framework, kumi kuiandika ni vigumu, maana anayeandika 10 yuko sawa, anayeandika 1010 yuko sawa, na anayeandika A yuko sawa.

Kutegemea na framework.
 
Kiranga is back
 
Niambie kaka.

It's the return of the prodigal son
The rerun of the profligate Khan, Don
Ayatollah of atheism, JF my Iran
I Ebola the catechism, they better run
Umetishaa sana,hakika ukimya wako ulileta ombwe kubwa sana
 
Sio kwamba Mungu hayupo, hata wewe pia ni Mungu. Shida inakuja vile tunavyomchukulia huyu Mungu sijui kumwabudu, kumsifu kumtolea sadaka n.k hapa ndipo tulipologwa na wazungu. Hakuna Mungu wa aina hiyo Mungu ni Mimi na wewe yaani sisi ni Mungu.
Tupo pamoja mkuu
 
Wewe unauelewa mpana sana..
Nashkuru kunawachache msio watumwa wa hii miiungu watu wa vatican/israel/macca
 
Sio kwamba Mungu hayupo, hata wewe pia ni Mungu. Shida inakuja vile tunavyomchukulia huyu Mungu sijui kumwabudu, kumsifu kumtolea sadaka n.k hapa ndipo tulipologwa na wazungu. Hakuna Mungu wa aina hiyo Mungu ni Mimi na wewe yaani sisi ni Mungu.
wanasayans wakubwa kama sir isac newotn wakin plancks wanaamini kuna Mungu ..sasa kuna walevi wametoka wapi sijui et wana pinga.... ngoja nikuulize swali unaamini yesu aliishi hapa duniani??/
 
Back
Top Bottom