Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,905
Unajua tatizo ni pale mtu anapofikiri kutokuamini kwake Mungu ndio kunafanya asiwepo huyo Mungu na ndiyo maana ukimwambia athibitishwe kuwa kweli hakuna uwepo wa huyo Mungu atakwambia kisichokuwepo(asichoamini yeye) hakithibitishiki. Hawatofautishi kati ya kutokuamini kwao na kutokuwepo kweli hicho wasichoamini na ndiyo maana ikawezekana anayepinga Mungu kuja kukubali au kusema Mungu yupo na kuacha msimamo wa kuwa hayupo,maana hivi hivi tu isingewezekana mtu ambaye anajua kabisa kitu fulani hakipo na ana uhakika huo kuja kubadili tena na kusema hicho kitu kipo.