God was created when the first con-man met the first fool

Kinachofanya huo uongo wa kuwepo Mungu udumu hadi leo ni nini? ni wazi inaonekana hadi leo kumekosekana ukweli wa kuweza kuondoa huu uongo na ndiyo maana hadi leo huo uongo bado upo kwa maana ukweli bado haujajulikana.
Kwani uongo ukidumu na kuaminika kwa kuwa ukweli wa kuuondoa uongo huo haujajulikana, huo uongo unaacha kuwa uongo kwa sababu ukweli haujajulikana?
 
Ona hii nguruwe!!!!

Umesoma post zangu vzr??

By the way, siwezi kuhangaika na ww, kila uzo unacomment UHARO
Huwa nasoma kwanza kisha najibu au nahoji.

Kusema nimeandika UHARO hakufanyi nilichokiandika kiwe UHARO kweli.

Nacheka sana. Ukiwa na hoja au jambo jipya nistue, nije kumaliza kazi yangu kama nilivyimaliza hapa.

Nipo ....
 
The belief that God sacrificed God to God to save God's creation from God.

Huitaji kutumia nguvu kubwa sana kama akili yako inaupeo wa kufikiri japo surface thinking..

Wengi wenu humu mmelishwa dogmas na mmeishia na imagination kila mtu na zake juu yuu ya mungu anafananaje/yukoje na yupo wapi..

Niishie kusema belief has no place where the truth is concerned, and the truth God is just an illusion in Your imaginations
Una mawazo mazito sana. Umesoma? Kama umesoma, umesomea mambo gani mwenzetu ukaelimika hivi hadi wewe ukafikia kujua yote haya, ambayo wengine hatuyajui?
 
Back
Top Bottom