Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,618
- 33,475
Simply they gonna reveal themselves from the darkest point .
NONSENSE!!...sijui una miaka mingapi...lakini acha kuandika mashudu
Simply they gonna reveal themselves from the darkest point .
What is syntactic category of the word ''nonsensical? if you are really well buttered.
Mkuu Mashudu ni chakula cha nguruwe nk, siyo mwandiko, are you sober? St Kayumba utawajua tu!NONSENSE!!...sijui una miaka mingapi...lakini acha kuandika mashudu
usihangaike sana kujaza saver! mkuu!Again,NONSENSE!
Mkuu Mashudu ni chakula cha nguruwe nk, siyo mwandiko, are you sober? St Kayumba utawajua tu!
usihangaike sana kujaza saver! mkuu!
Miaka haisadii kitu njoo kiupya km mwenzako! au ulijaribu tu kidhungu hukijui wee mama? ndiyo tatizo la wana Jf vihiyo kujifanyafanya ki malikia!NONSENSE!!...sijui una miaka mingapi...lakini acha kuandika mashudu
Miaka haisadii kitu njoo kiupya km mwenzako! au ulijaribu tu kidhungu hukijui wee mama? ndiyo tatizo la wana Jf vihiyo kujifanyafanya ki malikia!
Mkuu Baeleze! baelezee ana kamsamiati hako hako!!! tu, hana jipya! kulia kushoto ni kale kale tu! some people wanajaribu vitu ambavyo hawawezi! anadhani wote humu ni ma mbululaa!Miaka haisadii kitu njoo kiupya km mwenzako! au ulijaribu tu kidhungu hukijui wee mama? ndiyo tatizo la wana Jf vihiyo kujifanyafanya ki malikia!
Mkuu Baeleze! baelezee ana kamsamiati hako hako!!! tu, hana jipya! kulia kushoto ni kale kale tu! some people wanajaribu vitu ambavyo hawawezi! anadhani wote humu ni ma mbululaa!
aaaaah! mkuu jazba punguza haitakusaidia kujua usilolijua, jibu hoja ya msingi! tukuone ulivo mkalina wewe umetokea wapi??? andika pumba kwa kingereza na wewe kama unataka,ila tutakukumbusha umeandika pumba hata kama ukiandika kwa kisambaa..
aaaaah! mkuu jazba punguza haitakusaidia kujua usilolijua, jibu hoja ya msingi! tukuone ulivo mkali
Ukija kwa stress humu JF utapata taabu sana! km ukiwa mtu! ngoja nifanye yangu ntakujua tu wewe kama wewe ni mtu au wa kuzimu!wewe ni mbulula,angalia tena post niliyoku quote kwanza hivi mtu mzima mwenye akili timamu anaweza kuandika mashudu kama yale?? jisome kama hujielewi tutakusaidia ujielewe..mxiuuuuu
Mbona wale warembo sana tena wako smart ni usipime, kumbe ulikuwa hujui kuongea?hahaha watu ambao hawana kitu kichwani ndio hung'ang'ania vitu kama hivyo,babu wewe kama ni kiingereza nenda kariakoo pale kuna wahudumu wa bar wanakiongea...sio wewe kuandika mashudu yes nimerudia mashudu sababu hakuna neon mbadala kwa uliyoyaandika..narudia usitujazie saver!
Mbona wale warembo sana tena wako smart ni usipime, kumbe ulikuwa hujui kuongea?
Ukija kwa stress humu JF utapata taabu sana! km ukiwa mtu! ngoja nifanye yangu ntakujua tu wewe kama wewe ni mtu au wa kuzimu!
Mara nyingi watu halisi hawana usumbufu, mapepo ya kuzimu yanajifanyaga yana hasira ili kuvuta hisia za watu, hasa km uliwatoroka ukiwaumbua tu...hee
thatha wewe mura nothenthi tuuuu! badili katusi basi tuone!Mbona wale warembo sana tena wako smart ni usipime, kumbe ulikuwa hujui kuongea?
thatha wewe mura nothenthi tuuuu! badili katusi basi tuone!
Weeee! ndo ulivyo danganywa we kweli hukusoma! usipoju hapo kenya tu utapata tabundio ujue kingereza sio kipimo cha usomi..wacha kutuzingua!