Girls born in 1990

On my mind up past my bedtime, no rest at the kingdom
Alone in my place, my heart is away
All that I can think of is, we should get married. So let's stop holding back on this and let's get carried away
Ujue tunabadili lengo la thread mkuu.
Embu turudi kwenye Uzi kwanza
Na hiki kidhungu..mwenzio nmeishia la 3c
 
Zama hizi sio za kuonana na mizimu yenye namba za simu.
Watu wanatekwa na wasiojulikana
Watu wanatekwa ndugu zao watoe hela
Watu wanabakwa
Watu wanatekwa wanapigwa picha za uchi
Halafu atokee mtu anashindwa kujielezea nianze kumsikiliza nionane nae?
Mada imegeuzwa namba ya simu.
 
Kuolewa sio kuamua.
Ingekua ni kuamua tu si tungeshaamua tuolewe?
Nyie mnataka kila mwanamke akae kwenye ndoa ili awafurahishie nyie wanaume aonekane na yeye ni bora.
Ndoa sio kwa ajili ya nyie muone fulani ana ndoa kumbe hana furaha.
Nyie endeleeni kuoa na sisi tukipata tunaowapenda tutaolewa nao.
Miaka 30 sio mwisho wa maisha wala kutongozwa.
Povu. Huyu povu. Huyu inamhusu 100% . Relax bidada....maisha umeyakosea mwenyewe unamnunia nani?

Kaa kwenye ndoa jifurahishe mwenyewe. At the end of the day kumbe una dream za kuolewa.
 
Hawa wadada wenye 30 plus, wengine ni ndugu zetu na wengine ni watarajiwa wetu, huwa wana stress ni hakuna. Hapa watajifanya wapo bold, ila kiukweli wanaungulia ndani kwa ndani.

Hata sisi wanaume huwa tunapata tabu sana kutongoza manzi wa age hiyo kama ana mtu wake tayari na jamaa anaeleweka eleweka. Hata kama demu zamani alikuwaga ganda la ndizi.

Nishakutana nao kama watatu wana plan za kuzaa tu, maana washakata tamaa.

Kiukweli huo sio umri mzuri kwa mwanamke ambaye hana jamaa anayeeleweka.
Nakupa ushuhuda. Kuna mwanamke tuliokuwa tunaachana na kurudiana several times. Kuna tym nilimwambia nataka nimuoe akaniletea nikampiga chini mazima. By then she wa only 23. Akajifanya ana mbwembwe ooh sina shida ya kuolewa...uniache na maisha yangu. Na maneno ya shombo. Nikamwacha kiroho safi.

Baadae tukarudiana. Sasa kuna mdogo wake (cousin) yuko 20yrs alitoka kijijini akaja huku akapata mchumba chap jamaa anataka kuoa. Dogo akataka kukataa eti "bado" anajiona mdogo. Alimpa ushauri mzuri sana...olewa mdogo wangu....mimi mwenzio huwa najisemea ntaolewa tu hata nikiwa 28 au 30.

Mi nlikua nawaskiliza tu. Ndo nikagundua kuwa kumbe wanaongea kwa jeuri tu ila MOYONI WOTE WANAWAZA KUOLEWA NA WANATAMANI. Ila sasa, muda ambao wao wanataka, wa kuwaoa ni wachache.
 
Watu tunaangalia content maana kuna watu wanaandikaga threads ambazo heading haziendanagi na content
Mods hawajarekebisha heading nyie na mna akili sana? ......mada inasema stupid questions like namba yangu umepata wapi? And u stick with number as it was said hilo tu ndio linafanya old cargos msiolewe.

Take your fellows back and claim your fees from respective schools you went.
 
Kwahiyo mnatushauri nini? Maana kuna wengine tuko above 30 na hatuna majamaa ya kueleweka.
Nyie kama zetu mnatushauri tufanyeje ili tuolewe tupunguze hizi stress na frustrations mnazotuona nazo?
Kusema kusikiliza mwanaume ilimradi mwanaume tumeshakataa semeni kingine
Atleast unaomba ushauri. Kuna wenzio wanapinga bila hoja. Okay, jamaa asiyeeleweka yukoje?

Nikwambie kitu, vijana wengi hasa wasomi, huchelewa kuoa sababu maisha wanaona bado magumu. Kuna vijana wengi hawana kazi au wana kazi za kijungu jiko. Shida inakuja wewe mwanamke mwenye degree anawaza utakubali kukaa chumba kimoja au chumba sebule yeye anakomudu kulipa kodi? Ndo maana naye anaonesha kutokuwa tayari

Au unakuta mwanamke una kazi nzuri, mshikaji wako kazi yake anaunga unga...mko tayari kuanza naye hivyo?
 
Mods hawajarekebisha heading nyie na mna akili sana? ......mada inasema stupid questions like namba yangu umepata wapi? And u stick with number as it was said hilo tu ndio linafanya old cargos msiolewe.

Take your fellows back and claim your fees from respective schools you went.
Okay
 
Excuse me, but I answer ONLY what I have been asked by the way kwani huyo niliyemreply alimquote nani?
You girl. You intercept every comment. I can bet you are not in good terms with your so called "husband".
 
Nimegundua humu Marianah ndiye commentator mkuu. Anajibu na kupinga hoja zote....she has got an answer to every question. Sijui tumpe hongera au pole.

Itakavyompendeza Bwana.

Mimiks ni namba mbili. The same rule applies.

Hawa wawili wameonekana kuguswa zaidi na huu uzi. What does it entail?

Mawili, kama inawahusu kuwa ni 30s na hawajaolewa ni ukweli kwamba wana stress na hapa wanatumia kama sehemu ya kutolea stress. Laa, wameolewa, they are not happy with their marriages.

Mind you, mwanamke hawezi kuficha hisia zake. Akiwa na furaha utajua, akichukia utajua, akiwa stressed utajua. Hata kwa anachokiandika utagundua something is wrong.

So these dadas are passing through hard times....hapa watabisha tu si unajua bwana hii ni JF.

Ukitaka uzi watapike nyongo vijana wa kiume...andika kuwa mtu yuko 30 na hana cha maana anachomiliki. Hana nyumba, kiwanja, gari, mchumba (mwanamke anayeeleweka)....utakuta mzozo kama huu wadada. Kina kaka nao wakivutia upande wao....watakwambia maisha hayana formula....na vtu vya kujifariji fariji.


Mwisho kabisa. Vijana tufanye kazi kwa bidii. Ukimaliza chuo pambana within 2 years uwe superb tuwaoe hawa wadada. Sisi ndio chanzo, hatuwaoi, tunawazalisha tu...umri wao unasogea. Wanafika hiyo 30 kama sisi wenyewe kisha tunawacheka ila kimsingi ni kwamba tumeshindwa kuwaoa....sababu hatuna mali.

Ingawa wanawake wa 30yrs sio wa wanaume wa 30s....so kwa hili tuwalaumu mabrother wetu. Sisi (vijana wa late 20s na 30) wake zetu ni mid 1990s mpaka 2000...yaani 1995 kuja juu. Hao ndio wake zetu. Ila unaruhusiwa kuchukua "old cargo" pia, ikimpendeza Mungu na ikikupendeza.

Tchao
 
Back
Top Bottom