hahaahaaaa....asa ata chura hana akikaa mpaka viti vinalalamaUkiona unasema mwanamke anajishaua ujue sio saizi yako. Kaa pembeni
nyie endeleeni kujifaragua muzae uzeeni watoto wawaite bibiSi uchague sasa. Kwani ulishikiwa mtutu kuoa huyo unaesema mzee sijui kashachuja
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua.nyie endeleeni kujifaragua muzae uzeeni watoto wawaite bibi
Labda nikupe emailHebu nipe basi namba yako binti mrembo

Ya mtaani yakoje😂😂Maringo ya kwenye keyboard![]()
Inaonekana limekuuma,hahahahaahHivi umekielewa ulichokiandika kwenye comment iliyopita na comment hii? Hauoni kama unajicontradict mwenyewe? Mwanzo umesema mwanamke hatakiwi kushindana na mwanaume
Kwamba eti mwanamke ndiyo anatakiwa atunze bikira na mwanaume hana bikira hivyo umemaanisha siyo lazima ajitunze sasa hivi unasema eti haujasema kuwa mwanaume afanye zinaa kwamba eti mwanamke akijitunza na mwanaume naye atajitunza
Kwahiyo umerudi pale pale nilipokuwa naongelea mimi na umekubali kwamba na mwanaume naye anatakiwa ajitunze hivyo wote wanaume na wanawake wanatakiwa wajitunze si ndiyo? Mbona tutaelewana tu haya maandiko hayakuwekwa kwa ajili ya wanawake tu shauri zenu
Jifanyeni mnajua kutunisha misuli hadi kwa aliyewaumba eti kisa ninyi ni wanaume na tukiwaambia ukweli mnasema wanawake tunataka usawa au ushindani na ninyi sasa mimi nimeona twende kimaandiko zaidi ili tuone huo usawa au ushindani nauleta mimi au maandiko na ili ukibisha usinibishie mimi bali umbishie Mungu!
UsinitisheMenopause is around you..! Healthly birth giving is in between 20 to 35yrs.
Nenda kasome Mithali 31 yote ndo imeelezea sifa zote za mke mwema halafu uje utuonyeshe mstari kutoka humo unaosema kuwa sifa mojawapo ya mke mwema ni kuwa bikira
Inaonekana limekuuma,hahahahaah
Mkuu wewe kila siku nikupe vifungu
Teh ndio umegundua leo
Hebu nisaidieni kushangaa!!!Kwani alifanya siri watu wasijue?
Haki ya nani mwanaume mwenye mwanamke wewe ana kazi ya ziada ya kudeal nawe. Ulivyo kabishi ka busha la mzee wa Tumbatu umegeuza mada kuwa ni kujibu swali la wapi mtu amepata namba yako. Shubaamit maisha kama magumu achana nayo.Kiiruu ndo umejua leo? Pole mwaya mbona watu wengi wanajua na mimi mwenyewe ndiyo niliwataarifu kuwa nimebadili ID au ulitaka hadi nikuombe wewe ruhusa?
Natamani nini?