Girls born in 1990

Girls born in 1990

suburini kwanza tumalizane na hawa fresh commodities akina Saint Anne ambao ndio wanasumbua na hili swali la “namba angu umeipataje”?

Tukimaliza tunawaita na nyie mje mcomment maana nyie hamna jipya na tayari mmeshaanza kua undergo Diminishing marginal return graph yenu imeshaanza kuporomokahata mfanye nini
Hivi mwanamke mnaanza kumhesabia kuwa ni mtu mzima akishafika miaka mingapi?
 
Hivi mwanamke mnaanza kumhesabia kuwa ni mtu mzima akishafika miaka mingapi?

if you have already hit 28+ wewe tayari ni gazeti la jioni na graph yako ina -ve slope hata ufanye nini.
 
ahahaa!!! unasema tu hivyo maana age bado inaruhusu kutamka haya uyasemayo!

usiombe yakukute wewe!

huwa inafika mahali yaani hata ujipake make up kilo 6, lakini hakuna hata wa kukwambia “dadaa umependeza kweli leo”..... “dada samahani naomba blah blah” .. “dada nisubiri niku...”!! kila dume unayekutana nae anakuangalia mara moja tu kisha anaegeukia kushoto anaendelea na 50 hamsini.

Hali kama hii ikikuta kwa muda wa miezi 6 siku ukipigiwa na namba ngeni hauwezi ukajibu kwa nyodo hata kidogo. tena nikikata simu wewe ndio unanipugia
Mwambie huyu aliyevunja ungo juzi..! Festiiya huwa wanajisahau Ngoja malize chuo 2021, ataelewa haya tusemayo.
 
Nani mimi au? Uchungu utoke wapi wakati mimi nina ndoa my dear? Nawaonea tu huruma hawa wanawake wanaokubali to dance to your tunes na kuamini kila maneno mnayowaambia wafalme wa dunia hii! Hehehehe I can imagine them not living their best life just because they want to be called wife materials!
ahahaha... mbona kama umeandika kwa uchungu sana!!?
 
kwa mfano kama wewe unapenda mwanaume akujibuje hilo swali ili uridhike?
Kama unajiona umezubaa zubaa huna mbinu, kuwa tu mkweli. Ila kama mwanaume umefanya research yako na hutaki kukutana na hili swali. Basi unaeza ukaweka appointment katika kitu anachofanya bidada, kama mfanyabiashara, mwambie tu unataka kununua hiyo bidhaa hata kama hutaki.

Kama yuko kwenye professional fkani tengeneza tatizo linaloweza tatuliwa na hiyo kazi yake. Tengeneza mazoea nae kwa vyovyote vile.

Ila sio kama mnavyotaka nyie. Slope!
 
Nani mimi au? Uchungu utoke wapi wakati mimi nina ndoa my dear? Nawaonea tu huruma hawa wanawake wanaokubali to dance to your tunes na kuamini kila maneno mnayowaambia wafalme wa dunia hii! Hehehehe I can imagine them not living their best life just because they want to be called wife materials!
Just imagine not living your best life to be someone's wife. And it doesn't happen. Kwasababu muoaji hana masharti mengi kama mganga wa kienyeji.
 
Mwanaume anaeshindwa hata kujieleza namba katoa wapi wa kazi gani. Wacha tugonge tu 50. Hilo ni swali gumu lakini huwa mwanamke anatafuta assurance akijua ulipotoa namba atakua comfortable kwako pia sema wanaume hamjui na mnaona hilo swali ni gumu kweli kweli.
Utasikia ooh ulinipa mbagala wakati mbagala hujawahi fika.
Mwanaume anaepiga simu unamuuliza namba umetoa wapi anajielezea mbona anasikilizwa?
Yapo yale mabolizozo anakwambia nimepewa tu na mtu nataka tuonane tuongee vizuri.
Zama hizi za kutekana uanze kumsikiliza mwanaume asieweza kujielezea inawezekana kweli?
Ukianza kukata viunoo tu nakata simu na sikupokelei mpaka ujue uanaume wako kwa kujiamini uelezee namba umetoa wapi
 
Nani mimi au? Uchungu utoke wapi wakati mimi nina ndoa my dear? Nawaonea tu huruma hawa wanawake wanaokubali to dance to your tunes na kuamini kila maneno mnayowaambia wafalme wa dunia hii! Hehehehe I can imagine them not living their best life just because they want to be called wife materials!
Na hao wanawake hawapo humu. Wakawashike masikio dada zao waliokata tamaa kisa ndoa ndio watasikiliza simu hata zinazopigwa na vichaa ili wasifukuze they Mr. Rights.
Kwa sisi hata tugonge 40 tutauliza tu namba zilipotoka na hatuwezi ishi kuwafurahisha ili tuitwe wife material
 
Jina la thread inabidi liwe NAMBA YANGU UMETOA WAPI maanake ndio kinachojadiliwa.
 
Utasikia ooh ulinipa mbagala wakati mbagala hujawahi fika.
Mwanaume anaepiga simu unamuuliza namba umetoa wapi anajielezea mbona anasikilizwa?
Yapo yale mabolizozo anakwambia nimepewa tu na mtu nataka tuonane tuongee vizuri.
Zama hizi za kutekana uanze kumsikiliza mwanaume asieweza kujielezea inawezekana kweli?
Ukianza kukata viunoo tu nakata simu na sikupokelei mpaka ujue uanaume wako kwa kujiamini uelezee namba umetoa wapi
Jina lako na mwaka unaozungumziwa kwenye thread vinaendana....
 
Na hao wanawake hawapo humu. Wakawashike masikio dada zao waliokata tamaa kisa ndoa ndio watasikiliza simu hata zinazopigwa na vichaa ili wasifukuze they Mr. Rights.
Kwa sisi hata tugonge 40 tutauliza tu namba zilipotoka na hatuwezi ishi kuwafurahisha ili tuitwe wife material
Humu wanawake wote ni smart,wameolewa na wanaume wa maana na hata ambao hawajaolewa wana waume watarajiwa smart na wenye pesa. Wacha tukashike masikio waliokata tamaa kitaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom