RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,807
- 129,666
Ukijua nilipotoa namba inakuongezea nini? Usipojua nilipotoa namba inapunguza nini?Utasikia ooh ulinipa mbagala wakati mbagala hujawahi fika.
Mwanaume anaepiga simu unamuuliza namba umetoa wapi anajielezea mbona anasikilizwa?
Yapo yale mabolizozo anakwambia nimepewa tu na mtu nataka tuonane tuongee vizuri.
Zama hizi za kutekana uanze kumsikiliza mwanaume asieweza kujielezea inawezekana kweli?
Ukianza kukata viunoo tu nakata simu na sikupokelei mpaka ujue uanaume wako kwa kujiamini uelezee namba umetoa wapi
