Girls born in 1990

Girls born in 1990

Usijichoshe kuanza kuelezea mtu asiekujua mama.
Yani wanaonaga mtu akiwa na vitu wanavyovitamani wao na hawana basi anabrag au hana anaandika kujifurahisha.
Eti JF wote. Kwahiyo kama mtu ana ndoa asiseme? Ni wivu tuu unawasumbua na wameshazoea kuwaweka kundi fulani wanawake wa JF ndio maana wakiona ambae hayupo huko wanapata hasira na kuanza kutoa comments za chuki
Yaani wanapenda kuambiwa kile wanachotaka kusikia tu yaani kwao mtu yeyote anayetetea single mothers basi na yeye ni single mother mtu yeyote anayetetea unmarried women basi na yeye ni unmarried woman mtu yeyote anayewaambia ukweli anaonekana anataka usawa au ushindani nao na mtu yeyote anayewaponda anaonekana ameshawahi kutendwa kwenye uchumba au ndoa

Mwanaume mwenzao akianzisha uzi wowote wa kuwaponda wanawake basi wanasema "ukisikia yalaa ujue limempata" yaani furaha yao ni kuona wanawake wote tunakubaliana na pumba na shudu wanazoongea kuhusu sisi halafu mbaya zaidi wanalazimisha ionekane kwamba wanawake tu tuna stress za mapenzi ila wanaume hawana na wala hawajawahi kuwa nazo kabisa ndiyo maana wote wanajitutumua humu

Kuna mmoja humu alinilazimisha nikubali eti kuwa mimi ni single mother nikamwambia oohh kumbe shida yako ni kusikia hivyo tu haya basi mimi ni single mother yaani nilivyomwambia hivyo alifurahi kweli akapata pa kutolea maneno yake nikaamua kujitolea tu kuwa trashcan ya stress zake ili afurahi na roho yake

Maana ndicho wanaume wengi humu wanachokitaka ukiponda tu hoja zao utaitwa majina yote mabaya sasa kwa vile mimi nimeshawajulia hata hawanisumbui nawapa makavu kama kawaida maana najua hata wakiniita hayo majina mabaya hayawezi kubadilisha ukweli wala uhalisia
 
Si ndio hapo sasa
Mtu akishakata tamaa ndio basi tena. Lazima ashikwe masikio.
Halafu kwanini mtu uamini anavyoishi mwingine na wewe unatakiwa uishi kama yeye?
Mtu anakwambia hutakiwi kupita 30 hujaolewa, ni wapi waliweka hiyo kanuni? Utakuta wao wenyewe hata mahusiano imara hawana ila wameshupaza shingo watu waolewe.
Wao kuoa wameshindwa wanataka sisi tuolewe na nani sasa?
 
psychology haidanganyi.. na hakuna kiumbe ambacho kiko transparent kama nyie wanawake!

Akiwa na furaha utajua tu
akiwa na uzuni utajua tu
Akiwa na tatizo utajua tu
Akichepuka utajua tu

ahaha... wewe kama uko kwenye mahusiano basi hauna ndoa/mahusiano ya furaha hata kidogo Marianah
Ndicho unachotaka kusikia, haya basi sina mume mimi ni single mother nina watoto kila mmoja na baba yake baba zao walinitenda vibaya hovyo wakaniacha.

Na sasa ninatafuta mwanaume humu JF wa kunioa ili tusaidiane maisha wala hata sina sifa zozote za mwanaume ninayemhitaji nahitaji mwanaume yeyote tu ili mradi awe na uume
 
Ndicho unachotaka kusikia, haya basi sina mume mimi ni single mother nina watoto kila mmoja na baba yake baba zao walinitenda vibaya hovyo wakaniacha.

Na sasa ninatafuta mwanaume humu JF wa kunioa ili tusaidiane maisha wala hata sina sifa zozote za mwanaume ninayemhitaji nahitaji mwanaume yeyote tu ili mradi awe na uume
😀😀😀😀😀
 
I second you!!
Watanzania tuna ugonjwa wa kujumuisha. Sikushangai!

Mwanamke akiwa na misimamo, mwanaume anashindwa kwenda beyond and above misimamo ya mwanamke. Mnajumusiha ana stress yule, umri ushaenda and blaah blaah. Mwanamke strong needs strong or strongest man, mwanaume legelege ndio hivo tutabaki kusoma uzi zenu.

Wanaume wakitanzania ni waoga sana, hawawezi kudeal na mwanamke anaejielewa. Watabaki kutafuta mwanamke wanaeza kumburuza kama gari bovu. A woman who can't reason neither question anything a man does.
 
By the way uzi unafungwa saa ngapi jamani?

Sisi old cargo tutaendelea kuuliza maswali ndivyo tulivyokubaliana.

Sijui wenzetu mmekubaliana vipi ili tufunge uzi.

We are exhausted
 
Hiyo itakuwa ngumu aise
Je nikikutajia huyo mtu ukawa humjui ? Utachukua hatua gani ?

Kisha nikakwambia "Sababu unae ongea nae hapa ndio muhusika mwenyewe na sina nia mbaya na wewe,naomba unisikilize". Je utanipa nafasi ya kunisikiliza ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom