Girls born in 1990

Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
5,012
Points
2,000
Marianah

Marianah

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
5,012 2,000
Maandishi yako yanakushangaa mkuu.

Mtu wa kariba unayoielezea hahitaji kutumia muda wake mwingi au maelezo marefu kama ulivyofanya ku validate aina ya maisha anayoyaishi if at all ni kweli anaishi aina hiyo ya maisha.

Pia maandishi yako yanaonesha uko na dreams za kuwa na aina hiyo ya maisha. Goodluck girl.
SMH!!!
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
39,865
Points
2,000
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
39,865 2,000
Nikija hapa jf nikisema kwamba "aagh nimechoka vyakula vya KFC" Kuna watu wataona kwamba hayo maisha ya kula KFC sina najikweza tuu ili nionekane matawi.
Same mimi nikija hapa nikisema vyakula vya mama ntilie vinaniumiza tumbo, nitakandiwa sana kwamba kwanini nakula mama ntilie nisiende sehemu classic ( watakuwa wameamini kweli nakula mama ntilie). Ila nikisema KFC wataona najikweza tuu. (KFC ni mfano tuu haimaanishi ndio best kwangu).

Mwanamke akicomment kuwakandia wanaume ataambiwa ana stress , ndoa yake haina furaha, au hataolewa na vitu kama hivyo.
Mwanamke akisifia wanaume ataonekana anajitongozesha , anatafuta bwana na vitu kama hivyo.

Jee mwanaume akimkandia mwanamke yeye hana stress?? Ndoa yake haina furaha?

Mbona hapa kwenye huu Uzi kuna makombora yanatok kwa wanaume kuja kwa wanawake lakini hamjichukulii kama na nyie mna stress ? Kama mahusiano yenu yana furaha hizo experience mbaya za wanawake mmezipata wapi?.

Yaani mpaka ifike mahali mtu aogope kucomment kwa sababu aki comment mabaya yatakuwa yanachukuliwa ndiyo maisha yake halisi, lakini aki comment mazuri hayachukuliwi ni maisha yake halisi inachukuliwa ni fantasy yake.

Mnasema huku jf watu tunafake maisha ila pale tuu ambapo tutakuwa tumeongelea mambo mazuri kama nyumba, magari, ndoa yenye furaha, kazi nzuri nk. Hapo ni kufake.

Ila tukizungumzia mabaya kama migogoro ya mahusiano, kulala njaa, kupanga uswahilini hapo inakuwa siyo kufake inakuwa ni kweli.


Smh..
Cc Lizarazu.
Hahaha hii comment bwana...
 

Forum statistics

Threads 1,324,981
Members 508,911
Posts 32,179,366
Top