Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,331
- 7,885
It's a long weekend boss
united vipi leo! ushindi upo?
It's a long weekend boss
Ofcourse
Haya Mkuu endelea kushangaa
Watanzania tuna ugonjwa wa kujumuisha. Sikushangai!Hawa wadada wenye 30 plus, wengine ni ndugu zetu na wengine ni watarajiwa wetu, huwa wana stress ni hakuna. Hapa watajifanya wapo bold, ila kiukweli wanaungulia ndani kwa ndani.
Hata sisi wanaume huwa tunapata tabu sana kutongoza manzi wa age hiyo kama ana mtu wake tayari na jamaa anaeleweka eleweka. Hata kama demu zamani alikuwaga ganda la ndizi.
Nishakutana nao kama watatu wana plan za kuzaa tu, maana washakata tamaa.
Kiukweli huo sio umri mzuri kwa mwanamke ambaye hana jamaa anayeeleweka.
Yani nani analifahamu lengo langu wakati huku kwangu naona namba ngeni?? Lengo lako kwako, jifunze kuliwasilisha, unataka mi niotee?Mwanaume aliyezubaa zubaa ndio yukoje?
pia kwanini nipite kwenye mlolongo wote huo na wakati lengo langu linafahamika kabisa ni nini?
Nitauliza hili swali Hadi mwisho.ahahaa!!! unasema tu hivyo maana age bado inaruhusu kutamka haya uyasemayo!
usiombe yakukute wewe!
huwa inafika mahali yaani hata ujipake make up kilo 6, lakini hakuna hata wa kukwambia “dadaa umependeza kweli leo”..... “dada samahani naomba blah blah” .. “dada nisubiri niku...”!! kila dume unayekutana nae anakuangalia mara moja tu kisha anaegeukia kushoto anaendelea na 50 hamsini.
Hali kama hii ikikuta kwa muda wa miezi 6 siku ukipigiwa na namba ngeni hauwezi ukajibu kwa nyodo hata kidogo. tena nikikata simu wewe ndio unanipugia![]()
Akishabaleghe tu.Haya Mkuu endelea kushangaa
Hivi swali la kutaka kujua aliye mpa mtu namba yako lina faida gani hasa baada ya mtu kukueleza nia yake ?Na hao wanawake hawapo humu. Wakawashike masikio dada zao waliokata tamaa kisa ndoa ndio watasikiliza simu hata zinazopigwa na vichaa ili wasifukuze they Mr. Rights.
Kwa sisi hata tugonge 40 tutauliza tu namba zilipotoka na hatuwezi ishi kuwafurahisha ili tuitwe wife material
Ukishaambiwa utachukua hatua gani au huwa inachukua hatua gani?Nitauliza hili swali Hadi mwisho.
Kama rizki ipo ipo tu
Watanzania tuna ugonjwa wa kujumuisha. Sikushangai!
Mwanamke akiwa na misimamo, mwanaume anashindwa kwenda beyond and above misimamo ya mwanamke. Mnajumusiha ana stress yule, umri ushaenda and blaah blaah. Mwanamke strong needs strong or strongest man, mwanaume legelege ndio hivo tutabaki kusoma uzi zenu.
Wanaume wakitanzania ni waoga sana, hawawezi kudeal na mwanamke anaejielewa. Watabaki kutafuta mwanamke wanaeza kumburuza kama gari bovu. A woman who can't reason neither question anything a man does.
Watanzania tuna ugonjwa wa kujumuisha. Sikushangai!
Mwanamke akiwa na misimamo, mwanaume anashindwa kwenda beyond and above misimamo ya mwanamke. Mnajumusiha ana stress yule, umri ushaenda and blaah blaah. Mwanamke strong needs strong or strongest man, mwanaume legelege ndio hivo tutabaki kusoma uzi zenu.
Wanaume wakitanzania ni waoga sana, hawawezi kudeal na mwanamke anaejielewa. Watabaki kutafuta mwanamke wanaeza kumburuza kama gari bovu. A woman who can't reason neither question anything a man does.
Old cargo tumekubaliana upuuzi wao wa umri wawapeleeke dada zao na watoto wao.By the way uzi unafungwa saa ngapi jamani?
Sisi old cargo tutaendelea kuuliza maswali ndivyo tulivyokubaliana.
Sijui wenzetu mmekubaliana vipi ili tufunge uzi.
We are exhausted![]()
Sio kwamba hajaamua ila anakua hajawa tayari kubeba yoyote for sake ya kuwa na mume na yeye. Awaridhishe walimwengu wasimuone nungayembe anagonga 30 hana mume.Humu wengi mna ndoa imara, wasio na ndoa hawajaamua.
Usinitishe.Mwambie huyu aliyevunja ungo juzi..! Festiiya huwa wanajisahau Ngoja malize chuo 2021, ataelewa haya tusemayo.
Huwezi kunielewa bro. Sababu hamna ninachobisha. Najaribu kutoa opinion yangu kama wewe ulivyotoa. And the bad thing about opinion everybody has his/hers unlike fact.Wanaume gani hao uliokutana nao wapo tofauti na wa kitanzania ?
Mimi nimezingua observation
Sijakuelewa ! wewe unachobisha ni nini? kwamba above 30 years hawana stress za mahusiano?
Mimi nimezungumzia umri ukiwa umeenda kwa sisi mabaharia huwa tunapata tabu kumuingiza kingi mdada ambaye ana jamaa anayeeleweka, hata kama huyo mdada zamani alikuwa chama la wana.
Nikasema, wadada wakifikia 30+ na hawana mtu anayeeleweka huwa wanakuwa na stress za mahusiano. Kwa maneno mengine ni kwamba akiwa at early 20s huwa anaona muda bado upo, ila akishagonga au akikaribia 30 indicator inawaka. Na hiyo mbona ni obvious, akifikisha umri huo anaona umri wa kupata watoto au familia unayoyoma.
Tunaendelea na mazungumzo.Ukishaambiwa utachukua hatua gani au huwa inachukua hatua gani?
Unaumia?
Je nikikutajia huyo mtu ukawa humjui ? Utachukua hatua gani ?Tunaendelea na mazungumzo.
Nikishajua inanipa assurance ya kuendelea na mazungumzo pasi na Shaka..na hili swali huwa nauliza kwa mtu ambaye Ni mara ya kwanza nakutana nae.
Mtu ninayemjua,aidha tuliishi mtaa mmoja ama tunasali pamoja ama namjua kwa namna nyingine yoyote..hata km sina mazoea nae Sana hili swali siwezi kumuuliza
Huwezi kunielewa bro. Sababu hamna ninachobisha. Najaribu kutoa opinion yangu kama wewe ulivyotoa. And the bad thing about opinion everybody has his/hers unlike fact.
What you said is not fact it's your opinion so as what I said. Na ndio maana unaona uzi unaendelea hauna mwisho cause nobody speaks fact. Tunapumzikiana in this long long weekend.
Have a great one.