[emoji23][emoji23][emoji23]kwani tukifika 30 tutakufa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sisi Wanaume ni forever Young. Yani tupo kama Pombe. Inavokaa muda mrefu ndo inazidi kuwa tamu [emoji1787][emoji1787]. Sasa waache waendelee kusema Namba yangu umetoa wapi. Watakaa hadi Nyonga Zifunge
[emoji23][emoji23][emoji23]kwani tukifika 30 tutakufa?
Sio kwamba utakufa. Chamoto utakiona
Chamoto kipi?Hufi, ila cha moto utakiona moyoni
Chamoto kipi?
Msitutishe[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah waache tu waendelee na maringo jazz band[emoji851][emoji851][emoji851]
Mabaharia tuko kwenye kibasi cha Y2K sahivi