Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Hivi hazina yetu hali ikoje?
Huko hazina tulisha kausha ndiyo tukauza hisa za TBL,NMB,
Hivi hazina yetu hali ikoje?
alafu wale makatibu kata wao wanatembea kwa miguu kutwa mzima hata maji ya kunywa hakuna.
Tra mpo ? 380.000.000 x64= 24.320.000.000tsh.
Paye kama mnawakata wafanyakazi 13% in excess of 170.000tsh hapo angalau panadol kadhaa hatukosi kwenye hizo mabilioni
ocampo four
Na haya malipo wasanii wengine
Na haya malipo wasanii wengine
kuongezewa makato tusipo fanya yale maamuzi magumuYou are now taking life so seriously. Unajua linalofuata
Ni fundi sana wa kutunga uwongo mkuu.
Soma vizuri hiyo budget sio ya siku moja na hiyo hela siyo ya serikali ni ya CCM
Sitaki kuongea sana... Piga mahesabu mwenyewe....
Then angalia kwa fedha hiyo madawati mangapi yangepatikana, zahanati ngapi zingejengwa?, walimu wangapi wangelipwa malimbikizo yao?. Je isingeweza kuwasaidia wale wakina mama wanaojifungua sakafuni?... Je isingeweza kupunguza vifo vya watoto?....
Na hiyo ni kwa siku moja tu... Ebu zidisha kwa siku 64 za kampeni.
/QUOTE]
Hivi kuna faida gani kuleta habari kama hizi ambazo hazina ukweli wowote?
[/COLOR]Na hapo ndipo CDM wasipoeleweka.CCM wanapata RUZUKU zaidi ya milioni 800 kwa mwezi kutoka serikalini.Wana Vitega uchumi,wana vyama rafiki nje ya nchi wanashindwaje kulipa wasanii kama fungu la kampeni kama huo walaka wako ni sahihi???!TETEA RUZUKU,MICHANGO NA MISAADA YA CDM INAYOLIWA NA "MTEI,KOMU,NDESSAPESSA NA MBOWE".Mbona HUJAONESHA WASANII WA UKAWA WANALIPWA KIASI GANI???!Na kwanini hizo fedha mnazotumia kwenye CHOPA NA MAKAMPENI NA KULIPA WASANII MSICHIMBE VISIMA NA KUNUNUA MADAWATI ILI TUIONE TOFAUTI YENU NA CCM??