Gharama walizotumia CCM kuwalipa Wanamuziki

Gharama walizotumia CCM kuwalipa Wanamuziki

Sitaki kuongea sana... Piga mahesabu mwenyewe....

Then angalia kwa fedha hiyo madawati mangapi yangepatikana, zahanati ngapi zingejengwa?, walimu wangapi wangelipwa malimbikizo yao?. Je isingeweza kuwasaidia wale wakina mama wanaojifungua sakafuni?... Je isingeweza kupunguza vifo vya watoto?....

Na hiyo ni kwa siku moja tu... Ebu zidisha kwa siku 64 za kampeni.
View attachment 299409

Inaumiza kichwa sisi masikini hatuna kitu alafu nchi inaliwa na wachache million 100 mtu analipwa tena unaniambia chagua magufuli . Hapati kura yng akafie mbele kura yangu kwa ukawa.
 
Soma vizuri hiyo budget sio ya siku moja na hiyo hela siyo ya serikali ni ya CCM
 
Siku zote huwa nasema dawa ni kuindoa hiki chama madarakani tu maana wana matumizi mabaya ya fedha.....
Nanitazidi kukichukia hko chamaaa cha magambaz
Sasa dawa sio kukiondoa chama tena maana ushahidi unaonyesha chama kimekuwa kikishindwa katika chaguzi zilizopita, hapa dawa ni kinga ni bora kuliko kuponya.
Hakikisha unalinda kura yako ili kuiondoa ccm madarakani. Kumbuka kulinda kula ni haki ya kikatiba na sio kwamba inatolewa na JK, cha msingi ukae mita 200 kutoka kituo cha kupigia kura.

= = = = = = = = = = =
Sheria ipo wazi ni m200 imeandikwa kwenye katiba ibara ya 104.

Acheni walipwe vijana wetu nyie mnataka waletwe wasanii wa nje? pesa hizo zinabaki nchini kuliko yule mtoto fredy anapeleka nje kununua majumba huko London. yaani wanakwenda kukuza uchumi wa Tanzania.
 
Alafu wale Makatibu Kata wao wanatembea kwa miguu kutwa mzima hata maji ya kunywa hakuna.

TRA mpo ? 380.000.000 x64= 24.320.000.000tsh.

PAYE kama mnawakata wafanyakazi 13% in excess of 170.000tsh hapo angalau panadol kadhaa hatukosi kwenye hizo mabilioni

Ocampo four

Last edited by a moderator:

Kweli wewe ni kilaza, mbona ibara ya 104 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haiongelei habari za kulinda kura mita 200???

Sijui umekula maharage ya Wapi wewe!!!
 
Acheni walipwe vijana wetu nyie mnataka waletwe wasanii wa nje? pesa hizo zinabaki nchini kuliko yule mtoto fredy anapeleka nje kununua majumba huko London. yaani wanakwenda kukuza uchumi wa Tanzania.
Ivi ukiwa ccm uwezo wa kufikiri unapungua!Ukienda pale halmashauri Kisarawe ukiuliza kwa nini walimu hawajapanda madaraja wanasema hawana ela kumbe ela wanapewa wasanii.Nyie ccm nyinyi wapuuzi nyie ccm nyinyi iwe mvua iwe jua mtaondoka tu.
 
Alafu wale Makatibu Kata wao wanatembea kwa miguu kutwa mzima hata maji ya kunywa hakuna.

TRA mpo ? 380.000.000 x64= 24.320.000.000tsh.

PAYE kama mnawakata wafanyakazi 13% in excess of 170.000tsh hapo angalau panadol kadhaa hatukosi kwenye hizo mabilioni

Ocampo four

At least wapo transparent mpaka umepata budget. Sasa budget ya kuuza chadema kwa kina azizi umeiona? Halafu hiyo chadema hela inatoa wapi za kukodi helkopta? Maana ccm tunajua walikoiba ama kupata
 
Last edited by a moderator:
Sina uhakika kama ni kweli, lkn kama ni kweli basi tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiri.
 
Soma vizuri hiyo budget sio ya siku moja na hiyo hela siyo ya serikali ni ya CCM
Na hapo ndipo CDM wasipoeleweka.CCM wanapata RUZUKU zaidi ya milioni 800 kwa mwezi kutoka serikalini.Wana Vitega uchumi,wana vyama rafiki nje ya nchi wanashindwaje kulipa wasanii kama fungu la kampeni kama huo walaka wako ni sahihi???!

TETEA RUZUKU,MICHANGO NA MISAADA YA CDM INAYOLIWA NA "MTEI,KOMU,NDESSAPESSA NA MBOWE".Mbona HUJAONESHA WASANII WA UKAWA WANALIPWA KIASI GANI???!Na kwanini hizo fedha mnazotumia kwenye CHOPA NA MAKAMPENI NA KULIPA WASANII MSICHIMBE VISIMA NA KUNUNUA MADAWATI ILI TUIONE TOFAUTI YENU NA CCM??
 
Back
Top Bottom