Gharama walizotumia CCM kuwalipa Wanamuziki

Gharama walizotumia CCM kuwalipa Wanamuziki

Ahaaa. kama ni hivyo iweje watendaji wa chama mikoani na wilayani wanalalamikia ukata? Au hukuona wakati wa kuomba udhamini jinsi wagombea walivyokuwa wanajinadi kumaliza tatizo la maslahi duni kwa watendaji wa chama? Iweje fedha za kuchezea kweye kampeni zipatikane halfu za kuwalipa viongozi wa ngazi za chini mikonai an wailayni hakuna? Wanakul;a wakubwa tu?
Mbona Ninyi mnaambiwa "makamanda peoooplz....jenga chama jenga chama kwa kujitotea wakati huo huo UNAPIGWA MABOMU NA POLISI MPAKA UTAPAUKA Kwa kuvunja sheria kwa makusudi eti ndio ukamanda-unafikiri Nyerere alipata uhuru wa nchi hii kwa vita.Mbowe ANAENDA KULA RUZUKU DUBAI NA MUKYA
 
kuongezewa makato tusipo fanya yale maamuzi magumu
Unasahau kuwa ukichukua mambo yote seriously hutatoka ukiwa mzima. Hili umelichukulia seriously angalia usije ukatoka si mzima. Ref. o not take life so seriously, you will never get out of it alive....
 
Hizo Ni Kati Ya Zile Bil. 150 Alizotuambia Kamanda Yericko Nyerere! Halafu Bado Majinga Yanaendelea Kuimba " Ccm Ni Ile!"
 
Ukizidisha kwa siku 64 mbona itakuwa tayari imezidi ile inayoruhusiwa kisheria yaani Bilioni 17?
Malipo hayo yanajumuisha usafiri na malazi??

Kwa mwendo huu kumbe matibabu bure yanawezekana kabisa
 
Hawafai ccm tueatoe
 

Attachments

  • 1445073192319.jpg
    1445073192319.jpg
    13.2 KB · Views: 406
Mimi nilikuwa sisiemu kindakindaki ila kwa hili nimeumia sana... Nitampigia kura Lowassa tu hakuna jinsi...huu upuuzi sasa
 
Hata mie naweza tengeneza uzushi huo....ika si vizuri..mko humu kuleta uongo uongo kisa lowasa apite...endeleeni kutumika
 
Kachezee akili za wajinga, hiyo ni propaganda ya kitoto sana, vyama vyote huwa kuna pesa fulani za kampaigne haziabdikwi kuuogopa kushtakiwa. Kuna limit ya matumizi na hii inapitisha limit inayitakiwa. Kwa mtu kama wewe kupata siri kama hiyo hakiwezekani hata kwa NCCR itakuwa imefichwa.
 
[/COLOR]Na hapo ndipo CDM wasipoeleweka.CCM wanapata RUZUKU zaidi ya milioni 800 kwa mwezi kutoka serikalini.Wana Vitega uchumi,wana vyama rafiki nje ya nchi wanashindwaje kulipa wasanii kama fungu la kampeni kama huo walaka wako ni sahihi???!

TETEA RUZUKU,MICHANGO NA MISAADA YA CDM INAYOLIWA NA "MTEI,KOMU,NDESSAPESSA NA MBOWE".Mbona HUJAONESHA WASANII WA UKAWA WANALIPWA KIASI GANI???!Na kwanini hizo fedha mnazotumia kwenye CHOPA NA MAKAMPENI NA KULIPA WASANII MSICHIMBE VISIMA NA KUNUNUA MADAWATI ILI TUIONE TOFAUTI YENU NA CCM??

sindao imeingia kisawasawa angalia ulivyopanic ha ha ha ha....CCM siku ya kufa nyani eheee.............



mwaka huuu rahaaaaa sanaaaaaaaa yaaani.....


unajua kukataliwa basi mwaka huu ndo wenu ha ha ha......
 
Mwenye kuifagilia CCM lazima atakuwa na upungufu wa akili kama ww....uzuri ni kuwa Lowassa ataanza na elimu
Mwambie hiyo "ELIMU" aanze kwanza na WAMASAI Wenzake.Awajengee SHULE na NYUMBA ZA KUISHI.Wanateseka huku yeye anahonga pesa MISIKITINI na MAKANISANI
 
Back
Top Bottom