Gharama walizotumia CCM kuwalipa Wanamuziki

Gharama walizotumia CCM kuwalipa Wanamuziki

chama cha mafisadi wamezoea kuiba, hao wengine ni millioni tatu ila imewekwa tano!
 
Soma vizuri hiyo budget sio ya siku moja na hiyo hela siyo ya serikali ni ya CCM

Kwa akili yako unadhani kuna alieko jukwaa hili na hata jf kwa ujumla unaweza kumdanganya. Diamond platnums afanye shoo yenye malipo ya chini ya mil.20 na orodha inaonyesha amelipwa kiasi hicho hicho na siku hiyo alifanya shoo tano kwa maana alihamisha vyombo vyake vya muziki na watu wake na akalipwa jumla ya million 100.Pia uelewe kila mwanamziki alikuwa akilipwa kadri ya ukubwa na umaarufu wa jina lake. Uelewe hayo yalikuwa malipo ya siku moja utazidisha mara maonyesho aliyofanya. Usichoeleweka ni kutudanganya kuwa hizo sio hela za serikali bali ni za ccm huku zikiwemo tetesi kuwa hizi kampeni zao zimeifilisi hazina na mifuko ya kijamii labda niwaachie wenzangu walizungumzie hilo.
 
Ccm wana hela za kulipa wasanii, kubandika mabango nchi nzima, Kununua wasanii(Ray, Aunt, Nature etc.), Kununua mawakala ILA haina hela za madawati na dawa hospitalini!!! Go to hell ccm!
 
CHADOMO wengi wao ni watu wa kusoma gazeti la sani na udaku baas, Kama huyu mtoa mada ndio kachagulia kutoa propaganda kwenye social media basi amefeli sana tena sana hafai, ningekuwa mimi Lowasa shilingi simpi kwani ni JUHAA kupitiliza. Gurunzi
 
kama ni hivyo uhuru lingeongoza kuuzwa mtaani maana kwa unavyosema ccm ni wasoma sana magazeti.....
 
Sitaki kuongea sana... Piga mahesabu mwenyewe....

Then angalia kwa fedha hiyo madawati mangapi yangepatikana, zahanati ngapi zingejengwa?, walimu wangapi wangelipwa malimbikizo yao?. Je isingeweza kuwasaidia wale wakina mama wanaojifungua sakafuni?... Je isingeweza kupunguza vifo vya watoto?....

Na hiyo ni kwa siku moja tu... Ebu zidisha kwa siku 64 za kampeni.
Hii ndio nchi ya wajinga. Mtu anaimba imba anapewa lundo la pesa wakati kule vijijini watoto wana kunywa maji yaliyo changanyika na mavi ya ng'ombe. Hivi kuna sababu yoyote ya kuwa na Chama kama hiki hapa nchini?
 
kweli wasanii wanatofautiana, mmoja analipwa mil100 mwingine analipwa mil3, Alikiba analipwa ngapi hapo sijaona vizuri
 
Hivi fedha ambazo ukawa wanatumia katika kuzunguka na chopa nchi nzima na maposho wanayogawana kina mbowe na watu wake si wangejenga wao hizo zahanati, wakanunua wao hayo madawati, pamoja wakasaidia kuwalipa walimu ili wananchi wawape consideration kuwa wao ndio viongozi imara kuliko porojo na pumba wanazozitoa sasa hivi
Unaelewa ulichoandika lakini? Uliwahi kuona chama cha siasa kisichokuwa madarakani wakifanya hayo? Wanatoza kodi? Hata hivyo mimi nilifikiri hao wanamziki wana mapenzi ya kweli na chama wanachokiuza kumbe wapo kibiashara! Ndiyo maana sasa ninasikia wakilalamika kwenye taarifa ya habari ya channel 10 kubaguana kwa itikadi za kisiasa. This was unnecessary and the musicians did not think through before doing it!
 
Soma vizuri hiyo budget sio ya siku moja na hiyo hela siyo ya serikali ni ya CCM

bil 75 walizochukua cwt je! Kiisha viongozi wa cwt wakazawadiwa u dc, hakuna noma kuna siku Mungu atatufuta machozi siye wanyonge
 
Well said,sina cha kuongeza.Itoshe kusema kwamba kila lililo na mwanzo lina mwisho.Wataalam wetu wanalipwa fedha kiduchu, hawa wahuni wanapewa hela zote hizi,kweli CCM imeishiwa pumzi.Inauma sana.Hawa jamaa hawana kabisa nia ya kubalika.Halafu hii inatokea mbele ya macho ya mtu anayedai kuwa hapa kazi tu.Huu ni udanganyifu wa wazi kwa watanzania.
Sitaki kuongea sana... Piga mahesabu mwenyewe....

Then angalia kwa fedha hiyo madawati mangapi yangepatikana, zahanati ngapi zingejengwa?, walimu wangapi wangelipwa malimbikizo yao?. Je isingeweza kuwasaidia wale wakina mama wanaojifungua sakafuni?... Je isingeweza kupunguza vifo vya watoto?....

Na hiyo ni kwa siku moja tu... Ebu zidisha kwa siku 64 za kampeni.
 
398,000,000x64=25,472,000,000 wakati huo huo malimbikizo ya madai ya wafanyakazi wa uma ni 18,000,000,000 bado 7,472,000,000 ingebaki kusomesha wanafunzi 2118 chuo kikuu au 211,800 wa advanced level au 423,600 wa o level
 
Hapa bado wa BONGO MOVIE! Kweli nchi inatafunwa! Halafu MAGUFULI analalamika hospitali hazina dawa, wakati fedha zote wamepeleka kwenye mambo ya kipuuzi, CCM wajinga sana!
 
Back
Top Bottom