SUPER PREDATOR
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 2,093
- 725
Duuuu ukawa mnatisha yaani mnashambulia mpaka ndani ya ccm
Wasaliti na wanakula fedha za walipa kodi kwa maslai yao binafsi tuna waweka kwenye kumbux2 ya nchi, one day watazilipa tu!
Duuuu ukawa mnatisha yaani mnashambulia mpaka ndani ya ccm
Wasaliti na wanakula fedha za walipa kodi kwa maslai yao binafsi tuna waweka kwenye kumbux2 ya nchi, one day watazilipa tu!
unadai hiyo ni siku 1 sikumbuki ni jukwaa lipi walipanda wasanii hao wote
hata hivyo kila chama kina vyanzo vya mapato na sheria ya gharama za matumiz ya kampeni ipo wazi so hata usiwaze
bila shaka ishauliza gharama ya kukodi helkopta ya cdm na pia ushapiga hesabu ni sawa na madawati mangapi.
while complaining try to figure out reality of ua complain
Wakuu hizi hapa chini ni Gharama walizotumia Chama Cha Mapinduzi katika kuwalipa Wasanii wanaozunguka nao katika Fiesta.
Kwanini watumie Gharama kubwa namna hii ya fedha ikiwa..Walimu, Wastaafu ktk jumuiya hawajalipwa fedha zao. Vile vile huduma za kijamii hakuna.
View attachment 299352
nikuwa nimpe magufuli kura yangu ila kwa hii Kufuru Hapana nasema Noo!!! bora nimpe Lowassa watanzania..watanzania wafrai.
siwezi mpa kura yangutena magufuli, anatumia gharama kubwa mno kwenda ilikuwa.
Naomba usiwe mtu wa kutekwa akili maana hujaangalia nyaraka vizuri na kufikiria uhalali wa nyaraka bali kukubali kila unaloambiwa!!! Angalia uhalali wa nyaraka je ni halali!!! Kuwa mwenye uelewa na kuwa makini kwa wanaotaka kuwatumia wasiojua kwa maslahi yao!!! Kwa hili nakushauri angalia upya uamuzi wako kwasababu zifuatazo!!!
1) Haina nembo ya chama husika kinachotuhumiwa!
2) Haina muhuri wa chama husika!
3) Haina sahihi ya mwandaaji wa karatasi hiyo/dokezo hilo!
4) Hakuna aliyepitisha ili ilipwe nyaraka hiyo!
5) Nyaraka haina kifungu cha pesa kinachotakiwa kutoka maana bajeti inavifungu tofauti vya matumizi!
6) Nyaraka haina tarehe ya kupitishwa au ya kuandikwa!
7) Nyaraka ya malipo hairuhusiwi kukatwa kama hii inavyoonekana bila kusainiwa kama kuna mabadiliko yoyote!
8) Nyaraka haioneshi inaenda kwa nani yaani unataka nani alipe!
9) Hiyo ni pesa ya umma lazima ifuate taratibu zote ndo maana vyama vyote lazima huwa mahesabu yao yakaguliwa na CAG
10) Maana mwandishi kuna uwezakano mkubwa alikaa mwenywe na hivyo kuandika anayoona yatasaidia kuongeza wapiga kura kwa kutumia ulaghai huu
mwandishishi anatakiwa kutafutwa ili aeleze nini hasa sababu ya kuleta uzi huu na nani kakutuma na nini lilikuwa lengo lake maana unaweza kusababisha hasira toka kwa wananchi wenye hasira kali na wasioweza kujizuia na hatimaye kuanza kupigwa kwa wasanii ama kudhuriwa kwa namna yeyote kwa wasanii wanaoshirikiana na CCM kuwa wanalipwa pesa kubwa kumbe ni uongo!!!
haya weka hizo gharama za kweli!
kama huna kakojoe ulale !!!