Gharama walizotumia CCM kuwalipa Wanamuziki

Gharama walizotumia CCM kuwalipa Wanamuziki

stata mzuka

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2012
Posts
4,834
Reaction score
1,765
Wakuu hizi hapa chini ni Gharama walizotumia Chama Cha Mapinduzi katika kuwalipa Wasanii wanaozunguka nao katika Fiesta.

Kwanini watumie Gharama kubwa namna hii ya fedha ikiwa..Walimu, Wastaafu ktk jumuiya hawajalipwa fedha zao. Vile vile huduma za kijamii hakuna.
Sitaki kuongea sana... Piga mahesabu mwenyewe....

Then angalia kwa fedha hiyo madawati mangapi yangepatikana, zahanati ngapi zingejengwa?, walimu wangapi wangelipwa malimbikizo yao?. Je isingeweza kuwasaidia wale wakina mama wanaojifungua sakafuni?

Je isingeweza kupunguza vifo vya watoto?

Na hiyo ni kwa siku moja tu, Ebu zidisha kwa siku 64 za kampeni.
View attachment 299409
 
Attachments

  • 1444975923018.jpg
    1444975923018.jpg
    106.2 KB · Views: 4,088
Duuuuh watu wapiga pesa chafu aisee Diamond Mill 100 Astakafir Allauh
 
Fiesta hii itafilisi nchi

Kumbe ndio maana wote wamekimbilia huko

Na ray kigosi analamba ngapi??
 
We unafkiri Ile hashtag ya #HapaKaziTu inakuaje? Wale wafuata mkumbo kisa Diamond akili hakuna
Hapa nimeanza kuelewa kwanin Dangote huwa anaipenda CCM kufikia mpk hatua ya kumtukana mzee Lowassa kisa Mil 100 lakin sio makosa yake tamaa zina msumbua ngoja aingie madarakani kama atamkumbuka hata kwa salamu
 
Hadi Christian Bela?
Mbona sijawahi kuona hata akipost yuko kwa show za kijani
 
Wakuu hizi hapa chini ni Gharama walizotumia Chama Cha Mapinduzi katika kuwalipa Wasanii wanaozunguka nao katika Fiesta.

Kwanini watumie Gharama kubwa namna hii ya fedha ikiwa..Walimu, Wastaafu ktk jumuiya hawajalipwa fedha zao. Vile vile huduma za kijamii hakuna.
View attachment 299352

Utaambiwa pesa ya Serikali ni tofauti na ya chama na Kikatiba wanaruhusiwa kufanya chochote waonacho ni sahihi katika kujihakikishia "ushindi" kwa kutumia Ruzuku yao.

Hii ndiyo Tanzania, ni zaidi ya uijuavyo.
 
jamen bushoke,,,naomba source
hiyo namba ya sim sharia ya mtandao inamhusu
 
Duh! Ama kwa hakika pesa ni kitu hatari.Sasa nimeamini bila shaka kwamba mbele ya pesa akili ya mtu na elimu yake,vyote viwili HUENDA LIKIZO kwa muda.
 
Utaambiwa pesa ya Serikali ni tofauti na ya chama na Kikatiba wanaruhusiwa kufanya chochote waonacho ni sahihi katika kujihakikishia "ushindi" kwa kutumia Ruzuku yao.

Hii ndiyo Tanzania, ni zaidi ya uijuavyo.

Huwezi kuitofautisha ccm ns serikali.Hawa ndio wanautulazimisha sisi malofa na mapumbavu kuchangia fedha kwa ajili ya maabara na chemicals shule za sekondari.,huku wao wakiwalipa wasanii wawatetee kulinda ulaji wao! CCM itoke,haifai,ing'olewe.
 
Sitaki kuongea sana... Piga mahesabu mwenyewe....

Then angalia kwa fedha hiyo madawati mangapi yangepatikana, zahanati ngapi zingejengwa?, walimu wangapi wangelipwa malimbikizo yao?. Je isingeweza kuwasaidia wale wakina mama wanaojifungua sakafuni?

Je isingeweza kupunguza vifo vya watoto?

Na hiyo ni kwa siku moja tu, Ebu zidisha kwa siku 64 za kampeni.
wasanii.jpg
 
kumbe mwana fa hana akili hata kidogo, yani pamoja na masters hiyo millioni nane ndio imemfanya ajitoe akili hadi kufikia kutukana wapinzani, nimeamini upumbavu hautoki kwa kwenda shule
 
Fiesta hii itafilisi nchi

Kumbe ndio maana wote wamekimbilia huko

Na ray kigosi analamba ngapi??

Ray alilipwa MILIONI 50 ya usajili toka ukawa na kila mkutano mmoja wanapewa MILIONI 2...keep in mind huko vijijini hata milioni 2 au 3 inachimba kisima cha maji
 
Back
Top Bottom