Gharama walizotumia CCM kuwalipa Wanamuziki

Gharama walizotumia CCM kuwalipa Wanamuziki

Sitaki kuongea sana... Piga mahesabu mwenyewe....

Then angalia kwa fedha hiyo madawati mangapi yangepatikana, zahanati ngapi zingejengwa?, walimu wangapi wangelipwa malimbikizo yao?. Je isingeweza kuwasaidia wale wakina mama wanaojifungua sakafuni?

Je isingeweza kupunguza vifo vya watoto?

Na hiyo ni kwa siku moja tu, Ebu zidisha kwa siku 64 za kampeni.
View attachment 299409

Machukizo ya Bwana kubwa ni 1. Kusema uongo 2. Shahidi wa uongo asemae uongo. Pole.
 
fisiem akikubishia mwambie elimu,elimu,elimu km n mwenye akili timamu atakaa kmy coz thnkng capacity zao znatoa alarm ya btr low
 
Sitaki kuongea sana... Piga mahesabu mwenyewe....

Then angalia kwa fedha hiyo madawati mangapi yangepatikana, zahanati ngapi zingejengwa?, walimu wangapi wangelipwa malimbikizo yao?. Je isingeweza kuwasaidia wale wakina mama wanaojifungua sakafuni?

Je isingeweza kupunguza vifo vya watoto?

Na hiyo ni kwa siku moja tu, Ebu zidisha kwa siku 64 za kampeni.
View attachment 299409

Acha unafiki mbona hakuna mahali panapoonesha kuwa ni CCM wameandika!!!! Utadanganya waliokuwa sawa na wewe kielimu lakini mwenye elimu hawezi kudanganyika!!!
Nyaraka halali lazima ioneshe uhalali wake!!! Acha uongo utaadhibiwa kwa sheria ya mtandao!!!
Mwisho unatakiwa kusoma sheria ya gharama ya uchaguzi inasemaje? Na je gharama kama hizo ni kubwa au ndogo? Maana kama mgombea anaruhusiwa kutumia shilingi bilioni tano na pia chama kinaruhusiwa kutumia shilingi bilioni 15. Kama sheria ndo inasema hivyo je kiasi walichotenga kwa ajili ya waburudishaji ni kubwa? Unachotakiwa kujua kuwa chama cha mapinduzi ni kikongwe na pia kina mapato mengi na huwezi kulinganisha na chama chochote cha siasa!!! Na unatakiwa ukumbuke kuwa kwa wingi wa wabunge wake pia wanapata ruzuku ya kutoka serikalini kubwa pia!!! Ndo maana CHADEMA wanatumia kila hila ili walau waongeze ruzuku kupitia mgombea aliyekatwa CCM!!!! Watu kama wewe mpaka unaleta nyaraka feki na kusema kuwa ni za CCM ni miongoni mwao!!! Nyaraka halali ya chama au ya serikali au ya shirika au ya kampuni inatakiwa iwe na viambatanisho halali kuonesha uhalali wake na sio kama hii uloileta ili kuwalaghai wananchi/vijana/watu wasiojua nyaraka halali inatakiwa iweje!! Mnataka wananchi au vijana kuwa na chuki na CCM ili wakupeni kura ili muweze kupata ushindi wa kitapeli. Nadhani hatua stahiki zitachukuliwa na vyombo husika ili kukomesha tabia hii maana unaleta chuki na kufarakanisha wananchi kwa maslahi ya chama chako!!!

NB: Nyaraka hii ni feki kwasababu zifuatazo:-
1) Haina nembo ya chama husika kinachotuhumiwa!
2) Haina muhuri wa chama husika!
3) Haina sahihi ya mwandaaji wa karatasi hiyo/dokezo hilo!
4) Hakuna aliyepitisha ili ilipwe nyaraka hiyo!
5) Nyaraka haina kifungu cha pesa kinachotakiwa kutoka maana bajeti inavifungu tofauti vya matumizi!
6) Nyaraka haina tarehe ya kupitishwa au ya kuandikwa!
7) Nyaraka ya malipo hairuhusiwi kukatwa kama hii inavyoonekana bila kusainiwa kama kuna mabadiliko yoyote!
8) Nyaraka haioneshi inaenda kwa nani yaani unataka nani alipe!
Unatakiwa kutafutwa ili ueleze nini hasa sababu ya kuleta uzi huu na nani kakutuma na nini lilikuwa lengo lake maana unaweza kusababisha hasira toka kwa wananchi wenye hasira kali na wasioweza kujizuia na hatimaye kuanza kupigwa kwa wasanii ama kudhuriwa kwa namna yeyote kwa wasanii wanaoshirikiana na CCM kuwa wanalipwa pesa kubwa kumbe ni uongo!!!
 
Sitaki kuongea sana... Piga mahesabu mwenyewe....

Then angalia kwa fedha hiyo madawati mangapi yangepatikana, zahanati ngapi zingejengwa?, walimu wangapi wangelipwa malimbikizo yao?. Je isingeweza kuwasaidia wale wakina mama wanaojifungua sakafuni?

Je isingeweza kupunguza vifo vya watoto?

Na hiyo ni kwa siku moja tu, Ebu zidisha kwa siku 64 za kampeni.
View attachment 299409

Siasa za maji taka.....hakuna lolote hapo...wee umekaaa chumbani kwako ukatengeneza hiyo paylist....mmeishiwa sera mzeee.....huyo aliyepiga picha hiyo paylist aliipiga huku amening'inizwa kitanzani mbna haionekani kwa ukamilifu wake....madocument yakufoji hayo.....tafuteni lengine hilo mmeshindwa....
 
ni hela za chama sio za serikali... acha watumie tu
 
kweli TANZANIA tutabaki masikini milelel!! yaani wananchi wanachangishwa fedha za maabara kumbe wao wanachezea fedha namna hii!! GOD KNOWS !! IKO SIKU KITAELEWEKA TU
 
nikuwa nimpe magufuli kura yangu ila kwa hii Kufuru Hapana nasema Noo!!! bora nimpe Lowassa watanzania..watanzania wafrai.

siwezi mpa kura yangutena magufuli, anatumia gharama kubwa mno kwenda ilikuwa.
 
Magufuli na CCM wanataka kuinunua ikulu kwa bei yoyote ile!
 
JE!!!..
Magufuli anaweza kuwa wajibisha mafisadi hawa...
JK.
Mmiliki wa Homeshopn center.
Kinana.
Rizwani.
Singhasingha wa IPTL.
Chenge.
Dialo.
Mwigulu.
Rostamu.
Mkapa.
Salma Jk.
Mwakiembe??????ataweza kuwawajibisha hawa au Analeta Ngonjera tu!!!!!!!!!!!!
 
Sitaki kuongea sana... Piga mahesabu mwenyewe....

Then angalia kwa fedha hiyo madawati mangapi yangepatikana, zahanati ngapi zingejengwa?, walimu wangapi wangelipwa malimbikizo yao?. Je isingeweza kuwasaidia wale wakina mama wanaojifungua sakafuni?

Je isingeweza kupunguza vifo vya watoto?

Na hiyo ni kwa siku moja tu, Ebu zidisha kwa siku 64 za kampeni.
View attachment 299409

unadai hiyo ni siku 1 sikumbuki ni jukwaa lipi walipanda wasanii hao wote
hata hivyo kila chama kina vyanzo vya mapato na sheria ya gharama za matumiz ya kampeni ipo wazi so hata usiwaze
bila shaka ishauliza gharama ya kukodi helkopta ya cdm na pia ushapiga hesabu ni sawa na madawati mangapi.
while complaining try to figure out reality of ua complain
 
JE!!!..
Magufuli anaweza kuwa wajibisha mafisadi hawa...
JK.
Mmiliki wa Homeshopn center.
Kinana.
Rizwani.
Singhasingha wa IPTL.
Chenge.
Dialo.
Mwigulu.
Rostamu.
Mkapa.
Salma Jk.
Mwakiembe??????ataweza kuwawajibisha hawa au Analeta Ngonjera tu!!!!!!!!!!!!

hiyo ni kaz ya mahakama hata kama rais atakua lowasa hapaswi kungilia mhimili wa judiciary hivyo cha msingi peleken tu ushahidi ukiwa waz bila shaka watawajibishwa
 
Hii ndiyo halo halisi ya wasanii wetu wanavyoendekeza njaa zao kwenye kampeni za CCM.
 
Attachments

  • FB_IMG_1445418023869.jpg
    FB_IMG_1445418023869.jpg
    28.9 KB · Views: 882
Wasaliti na wanakula fedha za walipa kodi kwa maslai yao binafsi tuna waweka kwenye kumbux2 ya nchi, one day watazilipa tu!
 
Back
Top Bottom