babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,391
- 21,068
hiyo budget iko very edited,nyie waungwana mnabishania vyama.tatizo ni mfumo.hao jamaa wamarekebisha kwenye makubaliano ya show,lakini total wameacha vilevile.usishangae hao wote ni ukawa ikishinda