Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Watu 300 mpaka sasa wamefariki dunia kwa milipuko ya mabomu Gongo la Mboto.

SOURCE: MSALABA MWEKUNDU

Source haina kichwa wala miguu, BBC News - Home wamesema ni watu 32. Pls unapotoa taharifa hakikisha source yako ni ya uhakika, tuache mambo ya upuuzi kwenye janga la Taifa.
 
leo asubuhi 12.00am BBC walikuwa wanasema 10 na Radio one saa 1 asubuhi wamesema 13 kutoka Hospital ya Amana

Lakini inawezekana wakafika 200 maana waliokufa kwenye tukio hawajahesabika
kutoka watu 19 kwa mjibu wa Pinda mpaka watu 200, atakuwa ametudanganya sana...
 
mpendwa ulimuita masihi wa bwana PDIDY MWONGO
NA HUYU NI PDIDY??

Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png


Join Date : 20th October 2009
Posts : 121
Thanks 17 Thanked 23 Times in 13 Posts

Rep Power : 21


Did you find this post helpful? |
icon1.png
Watu 300 wamekufa mpaka sasa gongo la mboto.


Watu 300 mpaka sasa wamefariki dunia kwa milipuko ya mabomu Gongo la Mboto.

SOURCE: MSALABA MWEKUNDU

U cant hide the truth

progress.gif
Reply Reply With Quote Thanks

<LI class="postbit postbitim" id=post_thanks_box_1632782 style="DISPLAY: none">

Dahh 300?? Nimechoka kabisa naomba isiwe kweli maana eeehhh 300??? Mungu wangu wa rehema!!!!
 
Wapendwa nalia kwa uchungu sana maana misri idadi hii ya vifo imekuja kwa ushindi wa amani kwa kumgongoa fedhuli mubaraka nadhana mungu amewachukua mapema mno sana sana ndugu zetu hawa laiti wangesubiriwa kwenye maandamano tunayotarajia kuondoa uchafu wa rais kikwete na bazazi zake..anyway tutafanyaje mungu ndie anaepanga lakini hili naona mwanadamau ndie amepanga hivi vifo bwana ametoa bwana ametwaa
mungu awape rehema zake wafiwa na moyowa uvumilivu kwa muda huu wa majonzi mgumu usioweza kuaminika katika maisha yao kwa kuondokewa na wapendwa wao ,walezi wao wazaaziwao walioaamini daima
 
Nasikia imetolewa taarifa kuwa saa saba wanalipua maghala yaliyobaki na kwamba watu wakae umbali wa 20km from eneo la tukio. Naombeni kama kuna wenye habari kamili juu ya hili... Km 20 si ni mpaka wapi sijui...mh! Na tuliopo maofisini huku na familia nyumbani kazi zitaenda kweli. M/Mungu tusaidie na familia zetu..........
 
source haina kichwa wala miguu, bbc news - home wamesema ni watu 32. Pls unapotoa taharifa hakikisha source yako ni ya uhakika, tuache mambo ya upuuzi kwenye janga la taifa.

tatizo lako toka la saba unades chuo unadesa sasa hata degree yako inakuwa mgogoro kwenye kusoma vitu vidogo kama hivi soma vizuri src uje tena
 


mungu tuepushie dhahama hiiz jamani...habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuna strong bomb manne 4 ayajalipuka watu wameombwa kukaa nje yanyumba zao kwa muda maana haya yana atahari kubwa kuliko yaliolipuka na uhakika wa kuyategua kama ya mbagala akuna hili hali bado jesdhi likishauriana wayafanyaje...habari zaidi zinasema yule mtaalamu wao alieongoza kulipua mabomu yaliobaki huko mbagala amekataa kabisa kwa hayo ma nne..hali kitunda kuna mabomu yameonekana njian kama unatembea sehemu hizo tafadhali uwe na chupa ya koka kola ukiliona linakuja unalirushia linaogpa rangi nyeusi kwa tahadhari tu ...sijasema uvae ngu nyeusi kama uko msiban
Mkuu, kuna watu wengi sana wanafatilia hizi habari, hapo kwenye nyekudu kuna ukweli gani?
 
Ndugu zangu watanzania kwanza tupeane pole kwa yaliotukuta na yanayoendelea kutukuta nasema hivi maana inaonekana huu ni muendelezo wa kila sehemu yalipo mabomu ya jeshi
Habari zaidi kutoka jeshi la polisi zinasema mabomu 4 yaliobaki ambayo inasemekana ni hatari zaidi kuliko yalliolipuka na huku mtaalamu wao alielipua mabomu kule mbagala akikataa kushiriki kuyalipua haya yalobaki jeshi la polisi linatazamia kulipua hayo mabomu SAANANE ZA MCHANA local time

Hivyo hivi sasa kuna maandamano barabaran na pembezoni watu wakiondoka maeneo ya gongolamboto na kwingineko wakiwa wanatembea bila kupenda akika ni mazoezi yanayotuonyesha kumbe hata hwa jamaa wa gym wanakula hela zetu bure kama tukiamua kweli kweli..namwona bibi vizee zaidi ya watatu wakitembea kama wako darasa la saba na speed kali hakika ni hali tete ni vizuri rais nae akaja kuona shida wanayopata watanzania badala ya kusubiri CHEKI za DOWANS ZINATOKA LINI AMA LINI MKATABA MPYA UNAANDIKWA KUTUMIA MITAMBO YA DOWANS

kwa kweli mkuu japo habari hii ni ya kusikitisha, jinsi ulivyoiandika imenifanya nicheke sana. Unafaa kuwa mwandishi wa habari yaani hilo gazeti lazima watu wasome coz litawaburudisha. Sasa najikusanya nikiwa nataka kuanzisha gazeti nitakuPM
 
Kila wakifa wengi ndio bora zaidi tutapata kuandamana na kudai wahusika wafikishwe mahakamani na ikibidi waachie ngazi.
 
Source haina kichwa wala miguu, BBC News - Home wamesema ni watu 32. Pls unapotoa taharifa hakikisha source yako ni ya uhakika, tuache mambo ya upuuzi kwenye janga la Taifa.

Taarifa ya BBC na TBC1 inalingana? TBC! wamesema 17, Waziri mkuu amesema 9,BBC 32 na Red cross 300, we unamwamini yupi? Acha kupost na wewe upupu, Jua kwamba Msalaba mwekundu ndio watu wanaoshiriki sana kwenye hili janga na afisa wao mmoja amekaliliwa akisema kuwa takribani watu 300 wamepoteza maisha yao, kwahiyo kama unabisha manake unabishana watu wa msalaba mwekundu. kwa mtizamo wako wewe unaweza mbishia daktari ukiambiwa mgonjwa wako amefariki.Poleni wahanga wa mabomu ya Gongo la mboto,serikali inataka kuficha idadi wa watu waliopoteza uhai wao, Wanaleta siasa hata kwenye maisha ya watu.
 
Back
Top Bottom