Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Ndugu zangu wapendwa hali ni tete
Jeshi limeamua sasa kuwakimbiza watu waliokuwa wakitembea kuelekea mjini na kuwaomba mwenye pumzi akimbie kadri awezyo hali si njema na hivi punde wanatarajia kupeleka mabasi kuwabeba kuanzia tazara....hayo mabomu manne yaliobaki yanafikiriwa kulipuliwa saa nane laikni mmoja wa mameja nilienae hapa anaewakimbiza watu kuelekea mjini anasema hali si nzuri na awana uhakika kama yatafika mpaaka saa nane kabala ayajalipuka yenyewe mwenyezi mungu tuokoe na dhahama hii kama ......,
 
Ndugu zangu watanzania kwanza tupeane pole kwa yaliotukuta na yanayoendelea kutukuta nasema hivi maana inaonekana huu ni muendelezo wa kila sehemu yalipo mabomu ya jeshi
Habari zaidi kutoka jeshi la polisi zinasema mabomu 4 yaliobaki ambayo inasemekana ni hatari zaidi kuliko yalliolipuka na huku mtaalamu wao alielipua mabomu kule mbagala akikataa kushiriki kuyalipua haya yalobaki jeshi la polisi linatazamia kulipua hayo mabomu SAANANE ZA MCHANA local time

Hivyo hivi sasa kuna maandamano barabaran na pembezoni watu wakiondoka maeneo ya gongolamboto na kwingineko wakiwa wanatembea bila kupenda akika ni mazoezi yanayotuonyesha kumbe hata hwa jamaa wa gym wanakula hela zetu bure kama tukiamua kweli kweli..namwona bibi vizee zaidi ya watatu wakitembea kama wako darasa la saba na speed kali hakika ni hali tete ni vizuri rais nae akaja kuona shida wanayopata watanzania badala ya kusubiri CHEKI za DOWANS ZINATOKA LINI AMA LINI MKATABA MPYA UNAANDIKWA KUTUMIA MITAMBO YA DOWANS

mkuu jeshi la polisi linahusikaje hapo? au ulimaanisha jeshi la wananchi?
 
Watu 300 mpaka sasa wamefariki dunia kwa milipuko ya mabomu Gongo la Mboto.

SOURCE: MSALABA MWEKUNDU
 
Pia inaweza kuwa hujuma kutoka kwenye nchi fulani anetuona ni maadui....
Wamegundua uzembe wa intelijensia yetu na kuwa iko bize na kuwachunguza kina Slaa......wakatuma majasusi yametushughulikia sasa...
Nchi hii sasa kila mtu hasa kwenye majeshi yetu anawaza kujijazia tumbo lake tu iwe kwa kujiomba au kwa kutowajibika sawasawa, sasa ufanisi wa kazi utatoka wapi??
 
Taarifa za TBC ni 17 na wametaja hata sehemu maiti zilipo. Hizo maiti zako 300 ziko wapi?
 
Jamani polisi waelekezwe eneo la tukio maana wao ni mashujaa wa kuzuia maandamano tu ila wakisikia wizi au mabomu yamelipuka wanajifanya raia.......
PLEASE NENDENI GONGO LA MBOTO MKAZUIE MABOMU
 
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA

Tarehe 16 February, 2011

PRESS RELEASE
Mlipuko wa bomu umetokea katika kambi ya Jeshi iliyopo eneo la Gongolamboto tarehe 16 Februari, 2011 muda wa saa mbili na dakika ishirini usiku. Mlipuko huo wa kwanza umesababisha milipuko mengine. Chanzo chake bado kinachunguzwa. Jeshi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama linaendelea kuchukua hatua za usalama katika eneo la ajali. Wananchi wanashauriwa kutokusogea karibu na eneo la tukio wala kugusa kitu wasichokifahamu. Vile vile wanaombwa kutoa ushirikiano kwa Jeshi au vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama na kutoa taarifa za mabomu na risasi zitakazoonekana katika maeneo yao. Jeshi linatoa masikitiko kwa madhara na usumbufu uliotokea kwa wananchi wa Dar es Salaam na hasa waliopo karibu na eneo la tukio.

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano, Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
SLP 92023, Simu: 0764 7421621
Email:ulinzimagazine@yahoo.co.uk
uuh!

poor poor informations....website yao haiko updated...mpaka leo haieleweki ukitaka kuwatumia email utume wapi....hio au tpdfwebsite@cats-net.com....
 
So sad! I am confused and speechless, I can sense what is happening there!

I hate those who are talking and forcing some leaders to resign because they wont do so, I will love and support those who will demonstrate for that leaders must resign! guys lets fight for our real freedom, kubinya binya keyboard wont help anything, I know someone will say 'anza wewe' the question here is how many are thinking the same and are ready for this peaceful demo??
 
mpendwa ulimuita masihi wa bwana PDIDY MWONGO
NA HUYU NI PDIDY??

Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 20th October 2009
Posts : 121
Thanks 17 Thanked 23 Times in 13 Posts

Rep Power : 21

Did you find this post helpful? |
icon1.png
Watu 300 wamekufa mpaka sasa gongo la mboto.

Watu 300 mpaka sasa wamefariki dunia kwa milipuko ya mabomu Gongo la Mboto.

SOURCE: MSALABA MWEKUNDU

U cant hide the truth

progress.gif
Reply Reply With Quote Thanks

<LI class="postbit postbitim" id=post_thanks_box_1632782 style="DISPLAY: none">
 
Ndugu zangu watanzania kwanza tupeane pole kwa yaliotukuta na yanayoendelea kutukuta nasema hivi maana inaonekana huu ni muendelezo wa kila sehemu yalipo mabomu ya jeshi
Habari zaidi kutoka jeshi la polisi zinasema mabomu 4 yaliobaki ambayo inasemekana ni hatari zaidi kuliko yalliolipuka na huku mtaalamu wao alielipua mabomu kule mbagala akikataa kushiriki kuyalipua haya yalobaki jeshi la polisi linatazamia kulipua hayo mabomu SAANANE ZA MCHANA local time

Hivyo hivi sasa kuna maandamano barabaran na pembezoni watu wakiondoka maeneo ya gongolamboto na kwingineko wakiwa wanatembea bila kupenda akika ni mazoezi yanayotuonyesha kumbe hata hwa jamaa wa gym wanakula hela zetu bure kama tukiamua kweli kweli..namwona bibi vizee zaidi ya watatu wakitembea kama wako darasa la saba na speed kali hakika ni hali tete ni vizuri rais nae akaja kuona shida wanayopata watanzania badala ya kusubiri CHEKI za DOWANS ZINATOKA LINI AMA LINI MKATABA MPYA UNAANDIKWA KUTUMIA MITAMBO YA DOWANS

Na mimi nimepata taarifa kwa watu wawili tofauti wao wanasema jeshi linategemea kuyalipua mabomu mengine mawili watu wanahimizwa kutoka huko gongo la mboto, maana hamna umeme wanaombwa kuwaarifu watu kwa simu. Jamani mbona tunakwenda pabaya??? Mwenyezi Mungu tunusuru.
 
PDIDY umezungumza la mana kabisa,badala ya watu kukaa na kudiscuss malipo ya dowans yatalipwaje(sio hayatalipwaje) wangeelekeza nguvu zao kuokoa raia G/Mboto.Sasa hivi akili za hawa DOWANS na mawakala wao zimeganda kwenye mkataba mpya unaondaliwa kuliokoa taifa(kama sio kulihujumu).HIVI NCHI HII IMELOGWA???????
Tunaingia mkataba na mwizi.

Hee?? Dowans before the lives of the citizens????
Sijaelewa hapo kabisa
 
Si bora tungeandamana wapendwa tujue tunakufa kumngoa kikwete kuliko vifo hivi
 
ITV walionyesha usiku wa saa saba kidogo tu kabla ya kuondoa (sijui kwa amri ya nani) na kurudisha Aljazeera.

Na vipi kama Aljazeera wakiamua kuonyesha live kwenye tukio watarudishia wapi?
 
Back
Top Bottom