Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Si bora tungeandamana wapendwa tujue tunakufa kumngoa kikwete kuliko vifo hivi

mabomu yanalipuka mbagala, mtu wa Mwenge anazimia.

damu yetu ni kama yule jamaa wa movie ya Gods Must Be Crazy.

Tunaogopa bang kama Bushmen.
 
ingawa haya mabomu yamelipukia jeshini, lakini hili sio tatizo la usalama wa taifa kweli?....mbona simsikii Nzoka akitoa tamko lolote?
 
Dahh 300?? Nimechoka kabisa naomba isiwe kweli maana eeehhh 300??? Mungu wangu wa rehema!!!!
hata mimi naomba hizi taarifa zisiwe kweli, maana idadi hiyo ya watanzania wenzetu nikubwa mno yaani naanza kukumbuka mambo ya Mv Bukoba...
 
Kila wakifa wengi ndio bora zaidi tutapata kuandamana na kudai wahusika wafikishwe mahakamani na ikibidi waachie ngazi.

umeshiba pilau la maulid mpaka leo basi ni mashuzi tuu...
 
Mziki wenyewe huu hapa duuh

BOMUU.jpg
 
hata mimi naomba hizi taarifa zisiwe kweli, maana idadi hiyo ya watanzania wenzetu nikubwa mno yaani naanza kukumbuka mambo ya Mv Bukoba...


Hapa nilipo mwili wote umepata ganzi 300??? Dahhh yaani aahhh naomba tu isiwe kweli
 
Kuna tatizo kubwa sana katika vichwa vyetu waTZ.
Tunauliza, je hakuna tulichojifunza milipuko ya mbagala? Tunalaumu kuwa baada ya mbagala, hakuna hatua zilizochukuliwa?
Lakini tujiulize pia, kati ya 2005 hadi 2010 tulisema serikali ilivurunda mambo mengi; je ilikuwaje tukairudisha madarakani kwa kishindo vile? Inaonekana hatukujifunza kitu.
Tunisia, Misri wameandamana kwa kuwa hali ya maisha ni ngumu; tumejifunza nini? Mbona hatuandamani?
Spika anavyoendesha bunge kwa ubabe tunajifunza nini na tunachukua hatua gani? Ebu kumbuka alivyomdhiaki yule mbunge aliyekuwa anawasilisha taarifa ya dharura bungeni juu ya noti feki, sasa imedhihirika kuwa noti feki ni nyingi na tayari ziko kwenye mzunguko rasmi.
Ni mambo mengi ambayo yanatokea lakini hatuna tunachofaidika na mafunzo yanayotokana nayo.!!
CCM imekuwa madarakani kwa muda mrefu, tuna malalamiko makubwa lakini hatujifunzi.
Kwa ujumla waTZ hatuko tayari kufanya maamuzi. Tunabweteka bweteee
 
Hivi kwani viongozi wa TZ huwa hawawajibiki jamani??? Sijawahi kuuona nchi ambayo viongozi wake hawako respnsible kwa yanayotokea...jana Kova anaanza kulaumu wananchi ..eti wanakimbia hovvyo so inaweza ikaleta madhara makubwa...wananchi wangefanyaje sasa??? hakuna taarifa rasmi ya kuwaelekeza cha kufanya...halfu unaanza kuwalaumu!!! I hate these leaders for what they are doing....:A S 20::A S 20::A S 20:
kama haogopi hata yeye mbona alituma watu waende sehemu husika itakuwa watu ambao hawana elimu yoyote ya mabomu eti watulie shenzi kabisa
 
Leo tutafikiri na kuongea mengi
Hili jambo lisiishe hivi kwa kupoozwa na siasa za maji taka
Tunahitaji uwajibishwaji wa kweli na kwa vitendo
 
Hivi watu wa child protection mko wapi?? Watoto wametapakaa . Kazi kwenda workshop tu !! Thanx kwa wauguzi, mamedical japo mazngira magumu . Nguvu kazi bdo ni ndogo uwanja wa taifa.
 
Kama mtaalamu mwenyewe wa kutegua amegoma , basi hiyo ujue ni balaa haswaaaa! Kwani yeye hapendi kuishi na huenda alishawashauri wayaondoe na kwenda kuyalipua sehemu safe lakini walimpuuza
 
Duuh sasa sijui hali itakuwaje...mbona hizi habari hatupewi na viongozi watupe mwongozo?
 
kwa kweli mkuu japo habari hii ni ya kusikitisha, jinsi ulivyoiandika imenifanya nicheke sana. Unafaa kuwa mwandishi wa habari yaani hilo gazeti lazima watu wasome coz litawaburudisha. Sasa najikusanya nikiwa nataka kuanzisha gazeti nitakupm

anza na tanzania daima soma makala za katikati nashukuru
 
kuchanganyikiwa muhimu! Ulitaka achekelee mkuu! Hao waliopatwa maafa ni ndugu zetu na watanzania wenzetu lazima tuchanganyikiwe


mkuu
huyu naona punguan anangania jeshi la polisi jeshi la wananchi..sijui katumwa
mpwa tuomboleze hivi vilio then utan tulete baadae
 
Shimbo Shimbo Shimbo.... Mungu anakuona unavyozidi kutoa roho za watanzania. Uko busy na biashara ya Power Tillers unasahau kabisa kuwa kuna maghala ya mabomu yanatakiwa kuteketezwa. Heri Iddi Amini angekuwa hai awe anatuchangamsha changamsha tukae mkao wa kula badala ya kujiingiza katika biashara na kuacha maisha ya watanzania yanapotea.
 
UNICEF, Red Cross and Ustawi wa jamii are at the National stadium helping victims of the Bomb blast. They need food, clothes,etc Please go and help call Julius Kejo 0784 571888 who is on the ground coordinating. Also some of the critically injured victims at Muhimbili need blood, please play your part and give what you can! Thanks you.
Jamani tuache masiala, Damu inahitajika, Mavazi na chakula. Wahanga ni wengi sana, Plz Tanzanians people wenzetu wanahitaji msaada mkubwa sana.
 
- TBC ILISEMA WALITANGAZA WATU WAONDOKE HARASA SANA
- ITV WATU WAKIMBILIE MABONDENI
- ITV/CHANEL 5 WASIKIMBIE HOVYO
- tv ZINGINE WALIONYESHA MZIKI TUUU!
-TBC GHALA LINALOLIPUKA NI NAMBA 5 LINAUWEZO WA KWENDA 10KM
HALAFU HAWASEMI 10KM ZINAKOVER MAENEO GANI!? NCHI INAMATAAHILA HII!
PUMAVU ZENU SAANA, MNATUCHANGANYA KAMA ILIVYOKUWA DOWANS
kwenye nyekundu walikuwa wana mnukuu shimbo kwajinsi walivyo ileta hiyo taarifa kuna sehemu niandka jana usiku kushangaa kwangu kuwa mbonde ndiyo mambo haya fiki!? yaani hii nchi tuna mijitu iliyoingia kazini kwa kubebwa bebwa tu...
 
Back
Top Bottom