Ndugu wapendwa
kwa walio karibu na gongo la mboto wanaweza kwenda kwenye hospital na mdk waaminifu awafichi ukweli wengi wamekufa tofauti na serikali kuudanganya umma watu kumi tu .....,akika imefika wakati serikali ya tanzania kuwajibika kwa hili kama ni kuhujumiana basi wasituadhiri wananchi na kama mabomu yaliletwa yame expire kwa nini watu wasiwe responsible na hiili????
WEWE MTOTO WA MWINYI EMBU JIUZUL NAONA KAZI IMEKUSHINDA NILIJUA YA MBAGALA BAHATI MBAYA NIKAANDIKA NAHISI SASA NAONA WAZI KAZI IMEKUSHINDA..NA KWA TAARIFA MBAYA HAKUNA HATA KIONGOZI ALIEENDA MAHOSPITALINI SI WAZIRI WA ULINZI WALA MAGENERAL WAKE...............,
HUU NI UPUZI TUSIUKUBALI HATA KIDOGO WATANZANIA NA THIS TIME TUTAANDAMANA KUMPUNGUZIA KAZI HUYU RAIS ASIEJUA MADARAKA YAKE
Mkuu hizo zitakuwa habari za mtaani!katika hali ya kawaida sio raisi kufanya kitu kama hicho!!Nilisikia asubuhi kuwa wafungwa jana usiku walifunguliwa kutokana na milipuko, kuna mwenye taarifa zaidi juu ya hili?
Mi kwa linchi ka letu lolote linaweza kutokea yaani sitashangaa kama hii stori itakua ya kweli..Mkuu hizo zitakuwa habari za mtaani!katika hali ya kawaida sio raisi kufanya kitu kama hicho!!
Hizi picture zilipigwa kutokea wapi?
Waziri mkuu kalidanganya tena bunge, basi itabidi wengi wajiuzuru kwa hili....Ndugu wapendwa
kwa walio karibu na gongo la mboto wanaweza kwenda kwenye hospital na mdk waaminifu awafichi ukweli wengi wamekufa tofauti na serikali kuudanganya umma watu kumi tu .....,akika imefika wakati serikali ya tanzania kuwajibika kwa hili kama ni kuhujumiana basi wasituadhiri wananchi na kama mabomu yaliletwa yame expire kwa nini watu wasiwe responsible na hiili????
WEWE MTOTO WA MWINYI EMBU JIUZUL NAONA KAZI IMEKUSHINDA NILIJUA YA MBAGALA BAHATI MBAYA NIKAANDIKA NAHISI SASA NAONA WAZI KAZI IMEKUSHINDA..NA KWA TAARIFA MBAYA HAKUNA HATA KIONGOZI ALIEENDA MAHOSPITALINI SI WAZIRI WA ULINZI WALA MAGENERAL WAKE...............,
HUU NI UPUZI TUSIUKUBALI HATA KIDOGO WATANZANIA NA THIS TIME TUTAANDAMANA KUMPUNGUZIA KAZI HUYU RAIS ASIEJUA MADARAKA YAKE
Tuwe na subira. Kama itagundulika kuwa ni ajali, ieleweke kuwa ajali ni ajali, hata kama ilitokea Mbagala yaweza kutokea pengine pia, hizo ndo ajali.