Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

kaeni mbali ...maana yankweda km nyingi...... halafa huyu waziri wa ulinzi ni bogas kweli

halafu si ndo huyu huyu aliyekuwepo enzi za mabomu ya mbagala?if yes,anapaswa KUJIUZURU!
 
Tulianza na serikali na sasa sina imani n jeshi letu wananchi yaan JeiWii au JWTZ. Siamini kabisa kama hawa watu wanaoshindwa ku control siraha kama wana uwezo wa kutulinda sisi wananchi!
 
Ooh jamani!
Hakuna aliyeumia huko?
Siwapati hewani ndugu zangu.
 
Wamama wanakimbia na watoto wao migongoni wengine wameshikwa mikono.......... jamani madaladalal yamejaa hadi kwenye karia ............MUNGU tunusuru
 
Intelejesia iko wapi bana,mi nilifikiri yale ya Mbagala yasingetokea tena kumbe wapi watu kumbe bado walikuwa wanafikiria njia mbadala za kushinda uchaguzi kwa kishindo na kujidowans
 
Catastrophy! Kuna taarifa kuwa Kuna Basi lenye abiria limepigwa na Moja ya Mabomu hayo! Mungu atunusuru!
 
Oooooi my God....nina jamaa zangu walikua K.I.U campus ya Gongolamboto nawaflash hawapatikani sasa...its so sad!
 
milipuko bado inaendelea nipo kariakoo msimbazi anga yote mwanga wa moto, nadhani nyumba nyingi zatakuwa zimebomoka kwa milipuko mikubwa ya mabomu bora ya mbagala kuliko ya leo
 
Halafu kesho kuna wataalam kibao wa mabomu wataanza kufatilia chanzo......
 
This is too much.Watanzania tunaishia kuchekacheka na kulaani kwenye keyboard.Im ready for peoples power and i mean it! This government has to step down
 
Hivi vituo vyetu vya TV mbona viko nyuma ya wakati kiasi hiki kwanini wasituonyeshe hiyo breaking news

Wana shida gani wanaendelea tu na tamthilia zao? Huu uandishi wa hovyo kabisa!
 
Back
Top Bottom