Invisible
Robot
- Feb 11, 2006
- 9,075
- 7,878
Kwani bendera za Marekani zimeonekana zikipepea kwenye milingoti ya taa barabara ya Nyerere .. Bendera yetu haipo!!
Za Tanzania zipo sema zimelegea mbele ya za Marekani. Ni hilo tu..
More pics guys!
Kwani bendera za Marekani zimeonekana zikipepea kwenye milingoti ya taa barabara ya Nyerere .. Bendera yetu haipo!!
Hii thread ya picha folks!!!!!!
Zulia la Bungeni lina bendera ya taifa! siku hizi tumeamka tushaondoka huko watu wanavaa vitambaa kichwani, bendera wa kwenye magari kama majuu...
Wanajuana siku nyingi
First Lady akimkumbatia Mtoto wa Kitanzania wa Miaka 15 Silvia Makene ambaye ni muathirika
Huyu mtoto mbona anafanana na yule "alietunguliwa"na ungo akikata anga za kanisa kutoka Mtwara kwenda Morogoro kwenye "mkutano" wa mwaka
__________________
The greatest lesson in life is to know that even fools are right sometimes
Moshe Dayan,
Mkuu, wenyeji wenyewe hawajui Bush yuko wapi na wala hawana muda wa kufahamu. Hakuna mtalii anayekwenda nchi kwa sababu aliwahi sikia Bush kaenda..
Kifupi huu ujio wa Bush tunautukuza sisi wenyewe kwa fikra za malaya aliyepata mzungu pale Jolly club!...Anachofikiria yeye ni dollar tu bila kufikiria kwamba hata huyo mzungu anaweza kuwa na Ukimwi..
Mwisho, jiulize mzungu anayenunua mapenzi na malaya hivi nani mwenye kufaidi mahuasiano hayo. Je, hayo mabusu na vishindo vya vinyaji ni kielelezo cha mapenzi ya kweli?...
Hivyo basi ikiwa sisi tunampokea Bush kwa akili za malaya, well and good lakini kama tunafikiria mapenzi na fadhila tu bila kuvua chupi zetu mkuu tumepotea..
samahani ni ukumbi wa picha, duh!